Je, ni kweli usipokuwa na wake wawili eSwatini unafungwa?

Serikali ya eSwatini imekanusha taarifa kuwa mfalme Mswati III

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 weeks ago

Malunde

MAFURIKO YA WANAWAKE YAIKUMBA ESWATINI..MFALME MSWATI AAGIZA KILA MWANAUME AOE WAKE WAWILI LA SIVYO UTUPWE JELA!

Mfalme wa Eswatini, Mswati wa III amewataka vijana wa nchini kwake waliofikia umri wa kuoa, waoe haraka na kusisitiza kuwa wanatakiwa waoe wake wawili au zaidi, kinyume na hapo atawatupa lupango/jela wote wasiotekeleza agizo hilo kuanzia Mwezi Juni, 2019.

Mswati wa III ana jumla ya wake 15 na watoto 25. Baba yake ambaye pia alikuwa mfalme wa nchi hiyo, alikuwa na wake 70 na watoto zaidi ya 150.
Mswati alitoa onyo kali kwa mwanaume au mwanamke atakayekiuka agizo hilo atahukumiwa kifungo cha...

 

3 years ago

Raia Mwema

Kweli shemeji, kweli kweli kweli unathubutu kuwachapa watu kwa sababu wana mawazo tofauti na ya kwako?

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,

Uzitoni Street,

Bongo.

 

Mpenzi Frank,

MBONA hujaja Bwana? Nakuomba uje usuuze roho yangu wakati namenyeka kusuuza nguo za miungu wetu (ingawa nakuhakikishia nguo zao zina harufu zilezile za sisi akina hohehahe, ukiacha marashi yao ya bei mbaya … lakini usiseme maana yaweza kuwa tusi!).  Nakuomba mpenzi wangu maana kweli ninaogopa kurukwa na akili bila kuwa na mtu wa aina yangu, tena mpenzi wangu, niweze kuongea naye bila wasiwasi ya kukemewa,...

 

1 year ago

Malunde

MAGUFULI : WATANZANIA MNA RAIS KWELI KWELI,JIWE KWELI KWELI...SITISHWI NA SITISHIKI


Rais Dkt. Pombe Magufuli amesema uwepo wake madarakani ni kutaka kuwatoa watanzania katika shida mbalimbali walizokuwa nazo na kuwapelekea eneo ambalo watakula raha ili siku atakapokuja kufa basi hata Mungu ampe nafasi ya kuwaongoza Malaika mbinguni.

Dkt. Magufuli ametoa kauli hiyo wakati alipokuwa anazungumza na wananchi wa mkoa wa Singida muda mchache kabla ya kukizindua kiwanda cha mafuta ya Alizeti Mount Meru Millers kilichojengwa mkoani humo.
"Nataka niwahakikishie watanzania kuwa mna...

 

1 year ago

BBC

Swaziland has a new name - eSwatini - but what else has changed?

Swaziland has changed its name to eSwatini. But will the lives of its citizens change?

 

1 year ago

BBC

Swaziland king renames country 'the Kingdom of eSwatini'

King Mswati III declares a name change at events celebrating independence and his 50th birthday.

 

4 years ago

GPL

KAMA UMEMPENDA KWELI, WATOTO WAKE KITU GANI?

MAPENZI ni kitu cha ajabu sana. Ni hisia ambazo huibuka zilipojificha na huja zikiwa na nguvu ya hatari na kubwa mno tena ya ajabu. Hisia zisizokubali kupingwa kwa kile ambacho zimeamua. Hisia zisizokubali kurudi nyuma bali kwenda mbele katika kuhakikisha zinatimiza kusudio la kumpata ziliyedhamiria. Hisia zisizokuwa na macho zaidi ya macho kufunikwa na upofu, hisia zisizoweza kuchagua kama ziliyempenda ni mtu mwenye mtoto au...

 

4 years ago

Bongo5

Ni kweli zimeisha? 50 Cent anauuza mjengo wake kwa dola milioni 8.5!

Rapper 50 Cent amepunguza bei ya kuuzia mjengo wake wa kifahari uliopo Connecticut. Nyumba yake yenye ukubwa wa 50,000-square-foot iliyopo mjini Farmington, wenye vyumba 21 na bafu 25 sasa anauuza kwa dola milioni 8.5. Awali nyumba hiyo alikuwa anaiuza kwa dola milioni 18.5 mwaka 2007 lakini bei hiyo iliendelea kushuka. Wanasheria wanaomwakilisha amesema atajaribu kuiuza […]

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani