Je Real Madrid itahifadhi taji lake la vilabu bingwa Ulaya?

Real Madrid wanawania ushindi wa mara ya tatu mfululizo kutaka kushinda taji la klabu bingwa Ulaya, Paris St-Germain wanavunja rekodi huku Barcelona wakionekana kudidimia

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

6 months ago

BBCSwahili

Droo ya vilabu bingwa Ulaya: R Madrid dhidi ya Tottenham

Klabu ya Tottenham itakabiliana na mabingwa watetezi wa kombe la vilabu bingwa Ulaya Real Madrid katika awamu ya kimakundi ya kombe hilo.

 

3 years ago

Vijimambo

NANI KWENDA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO, NI BINGWA MTETEZI REAL MADRID AU ATLETICO MADRID

Kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti ( mwenye kofia ) akifuatilia mazoezi ya wachezaji wake kabla ya kurudiana na Atletico Madrid leo usiku.Wachezaji wa Real Madrid ( kutoka kushoto kwenda kulia ) Daniel Carvajal, Marcelo Vieira na Sami Khedira wakijifua tayari kuwakabili wapinzani wao Atletico Madrid leo usiku.
Baada ya mchezo watakumbatiana hivi!!! Kocha wa Real Madrd Carlo Ancelotti( kushoto ) akiwa na kocha wa Atletico Madrid, Diego Simeone. 
Robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Ulaya...

 

4 years ago

Tanzania Daima

Real Madrid walivyopigana kishujaa kubeba taji la 10 Ulaya

UKUBWA Dawa. Inaaminika hivyo na ukweli utabaki hivyo daima, ingawa mara nyingine ukubwa huwa si dawa wala kikwazo kwa asiye na sifa hiyo (ya ukubwa) kufanya yake. Maswali mengi kuhusu...

 

2 years ago

BBCSwahili

Real Madrid kidedea klabu Bingwa Ulaya.

Michuano ya klabu Bingwa ulaya imeendelea kwa michezo kadhaa ikiwa ni hatua ya makundi kuelekea hatua ya 16 bora.

 

7 days ago

BBCSwahili

Klabu bingwa Ulaya: Je Zinedine Zidane ataepuka shoka Real Madrid?

Baada ya msimu mbaya ambao ni vigumu kuelewa , je ufanisi wa michuano ya klabu bingwa itanusuru kazi Zinedine Zidane katika klabu ya Real Madrid?

 

10 months ago

BBCSwahili

Realy Madrid kuivaa Atletico Madrid klabu bingwa Ulaya

Michuano ya klabu bingwa Ulaya hatua ya nusu fainali inaanza leo kwa mchezo mmoja wa Durby ya Madrid

 

1 year ago

BBCSwahili

Michuano ya vilabu bingwa Ulaya kuendelea

Mshambuliaji wa Tottenham Harry Kane ataendelea kuuguza jeraha lake la kifundo cha mguu wakati ambapo timu yake inakabiliana na CSKA Mosco

 

2 years ago

Dewji Blog

News Alert:Real Madrid mabingwa Ulaya usiku huu, yajichapia Atletico Madrid 5-3

Real Madrid ya Hispania usiku huu wamefanikiwa kunyakua taji la Klabu Bingwa Ulaya baada ya kuwalaza wenzao wa Atletico Madrid, mchezo uliomalizika kwa mikwaju ya penati huku mashujaa hao Real Madrid wakiibuka kwa ushindi wa penati 5-3.

Awali mchezo huo, ulikuwa wa kasi na kuvutia, lakini Real Madrid walijipatia bao lao la kwanza la kuongoza kwa kipindi cha kwanza tu cha mchezo kupitia kwa mchezaji wake Sergio Ramos na bao hilo lilidumu kwa dakika zote 45 cha mchezo kipindi cha...

 

2 years ago

Dewji Blog

Real Madrid yatinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, kupambana na wapinzani wao Atletico Madrid

Nusu fainali ya pili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya Real Madrid na Manchester City ilichezwa usiku wa Jumatano ambapo Real Madrid ilipata nafasi ya kuibuka na ushindi wa goli moja kwa bila, goli ambalo limewapa nafasi ya kufuzu fainali ya mabingwa hayo.

Goli pekee la Real Madrid katika mchezo huo lilipatikana baada ya kiungo wa Manchester City, Fernando kujifunga katika dakika ya 20 baada ya Gareth Bale kupiga mpira ambao ulimgonga na kuelekea golini.

Baada ya matokeo hayo sasa Real...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani