JECHA AMALIZA MUDA WAKE TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jecha Salim Jecha amemaliza muda wake wa majukumu ya tume hiyo kwa kipindi cha miaka mitano kilichoanzia Aprili 30,2 013 hadi Aprili 29, 2018 ambapo yeye na wajumbe wa tume hiyo wamekabidhi ripoti yao ya kazi.

Akitoa taarifa yake kwa Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, Jecha amesema kuwa tume inaamini kwamba, mafanikio yaliyopatikana wakati wa utekelezaji wa majukumu yake hasa ya kiuchaguzi yalitokana na ushirikiano wa wadau mbalimbali na...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

Jecha Salim Jecha bado matatani kwa kufuta uchaguzi wa Zanzibar wa Oktoba 25,2015

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemzuia shahidi wa kwanza katika kesi inayomkabili Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na wenzake watatu, kujibu swali linalohusu mamlaka ya kikatiba ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC),  kufuta uchaguzi uliofanyika Oktoba 25,2015. Kwa mujibu wa Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba , swali hilo la Lissu halina mashiko.

Lissu alimuuliza shahidi ambaye ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi Ilala, Salum Hamduni kwamba, Jecha...

 

3 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.

 

2 years ago

Habarileo

Jecha aibuka, atetea kufuta uchaguzi Zanzibar

BAADA ya kimya kirefu, hatimaye Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salum Jecha amefunguka na kuelezea kuwa uamuzi aliouchukua wa kufuta uchaguzi wa Zanzibar wa mwaka 2015 baada ya kubainika kuwa na dosari, ulifanyika kwa kufuata taratibu, kanuni, Sheria na Katiba ya Zanzibar.

 

2 years ago

Michuzi

BALOZI WA ISRAEL NCHINI AMALIZA MUDA WAKE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Israel nchini anayemaliza muda wake Mhe. Yahel Vilan.

Balozi huyo alikutana na Makamu wa Rais na kumuaga rasmi kwani muda wake wa kutumikia nchini ulikuwa umemalizika. akamu wa Rais alisema anafurahi kuona Idadi kubwa ya Watalii kutoka Israel wanaokuja Tanzania .

“Tunawakaribisha sana Tanzania ,waje kwa wingi wao, tunawakaribisha kwa mikono miwili” na...

 

3 years ago

IPPmedia

The Zanzibar Electoral Commission (ZEC) chairman, Jecha Salim Jecha


IPPmedia
The Zanzibar Electoral Commission (ZEC) chairman, Jecha Salim Jecha
IPPmedia
The United Nations has said it is working closely with the government of Tanzania in many areas including the implementation of the Democratic Empowerment Project, which seeks to enable the country to conduct credible elections. Reacting to yesterday's ...
Clerics call for calm in ZanzibarDaily News | The National Newspaper (press release) (blog)
Tanzanian leader is prepared to end Zanzibar political...

 

3 years ago

Mzalendo Zanzibar

TAARIFA YA MWENYEKITI WA ZEC MHE. JECHA SALIM JECHA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UCHAGUZI MKUU 2015

http://zec.go.tz/en/?p=1673

The post TAARIFA YA MWENYEKITI WA ZEC MHE. JECHA SALIM JECHA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UCHAGUZI MKUU 2015 appeared first on Mzalendo.net.

 

3 years ago

Dewji Blog

Tamko kuhusu ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar

DSC_0733

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akiongea na waandishi wa habari (hawako pichani) leo mchana makao makuu ya ofisi za Tume, mtaa wa Barack Obama jijini Dar es Salaam.

DSC_0737

Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mhe. Nyanduga akitoa tamko kuhusu ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.

Ushauri wa THBUB kwa Tume ya Uchaguzi Zbar.doc 

 

4 years ago

Michuzi

TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR YATANGAZA MAJIMBO YA UCHAGUZI ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Jecha Salim Jecha akito taarifa kwa vyombo vya Habari juu ya majimbo ya uchaguzi ya Zanzibar. Kuona majimbo yote ya uchaguzi zanzibar, BOFYA HAPA

 

2 years ago

Zanzibar 24

Nafasi za Kazi za muda kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi

Tume ya Taifa ya uchaguzi  inawatangazia wananchi wote wa ZAnzibar hususan wakaazi wa jimbo la dimani katika mkoa wa mjini magharibi kuwa, inahitaji watendaji wafuatao:-

 

MRATIBU WA UCHAGUZI NGAZI YA MKOA (REC) NAFASI  1 AFISA UCHAGUZI NGAZI YA WILAYA (RO) NAFASI 1 AFISA UCHAGUZI MSAIDIZI (ARO) NAFASI 2

 

UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI

Maombi yatumwe na kuambatanishwa na nakala za vyeti, maelezo binafsi ya muombaji(CV),picha ndogo mbili (2) na namba ya simu ya muombaji  kwa:-

Mkurugenzi wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani