JENERALI MABEYO AANZA ZIARA RASMI NCHINI CHINA KWA LENGO LA KUDUMISHA USHIRIKIANO WA KIJESHI

Na Ripota Wetu, Blogu ya jamiiMKUU wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama ya Tanzania Jenerali Venance Mabeyo ameanza ziara rasmi nchini China yenye madhumuni ya kudumisha ushirikiano wa kijeshi kati ya Tanzania na China.
Taarifa kwa vyombo vya habari inaeleza kuwa Jenerali Mabeyo ameanza ziara Mei mwaka huu na hiyo inatokana na mwaliko wa Jeshi la Ukombozi la Watu wa  China.Akiwa huko atafanya mazungumzo rasmi na Mkuu wa Majeshi wa China Jenerali LI Zuocheng. Aidha, atakutana na Waziri wa Ulinzi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aanza ziara rasmi ya China

Jakaya-Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumanne, Oktoba 21, 2014, anaanza ziara rasmi ya siku sita katika Jamhuri ya Watu wa China kwa mwaliko wa Rais Xi Jinping, ikiwa ni ziara yake ya pili nchini humo akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano.

Baada ya China, Rais Kikwete atafanya ziara rasmi ya siku tatu nchini Vietnam kwa mwaliko wa Rais wa nchi hiyo.

Wakati wa ziara yake nchini...

 

4 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete aanza ziara rasmi ya China leo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na IGP Ernest Mangu wakati akiondoka katika Uwanjawa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wakuamkia leo tayari kuanza ziara rasmi ya siku sita katika Jamhuri ya
Watu wa China kwa mwaliko wa Rais Xi Jinping.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala MheRaymond Mushi wakati akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa waJulius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wa...

 

3 years ago

GPL

TANZANIA NA CHINA KUENDELEA KUDUMISHA USHIRIKIANO

Balozi wa China nchini Tanzania Bw. Lu Youqing (wa pili kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC- wa kwanza kulia), Bw. Clement Mshana pamoja na Makamu wa Rais wa Makampuni ya StarTimes, Bi. Guo Ziqi (wa kwanza kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vyombo vya Habari, Uchapishaji, Redio, Filamu na Luninga, Bi. Yang Peili (wa pili kulia) wakifurahia zawadi za vitambaa vilivyonakshiwa na...

 

3 years ago

Dewji Blog

Tanzania kufungua Ubalozi wake nchini Qatar kwa lengo la kuimarisha mahusiano na ushirikiano

Tanzania inatarajia kufungua Ubalozi wake nchini Qatar kwa lengo la kuendeleza na kuimarisha zaidi uhusiano na ushirikiano kati ya nchi hizo huku ikitilia mkazo katika sekta za gesi asilia, utalii, usafiri wa anga na mawasiliano.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema hayo leo tarehe 16 Juni, 2016 Ikulu Jijini Dar es salaam alipokutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar hapa nchini Mhe. Abdallah Jassim Al Maadadi.

Pamoja na kutangaza kuufungua Ubalozi...

 

3 years ago

Michuzi

TANZANIA NA CHINA KUENDELEA KUDUMISHA USHIRIKIANO KUPITIA UTAMADUNI

 Balozi wa China nchini Tanzania Bw. Lu Youqing (wa pili kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC- wa kwanza kulia), Bw. Clement Mshana pamoja na Makamu wa Rais wa Makampuni ya StarTimes, Bi. Guo Ziqi (wa kwanza kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vyombo vya Habari, Uchapishaji, Redio, Filamu na Luninga,  kulia) Bw. Clement Mshana wakati wa uzinduzi wa Maonyesho ya Filamu na Tamthiliya za Beijing kupitia kwenye Luninga ya mwaka 2015. Uzinduzi huo...

 

3 years ago

Dewji Blog

Tanzania na China kuendelea kudumisha ushirikiano kupitia UTAMADUNI

2 (1)Makamu wa Rais wa Makampuni ya StarTimes, Bi. Guo Ziqi (kushoto) akipokea zawadi ya kinyago kilichochongwa na wasanii wa Tanzania kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC- wa kwanza kulia) Bw. Clement Mshana wakati wa uzinduzi wa Maonyesho ya Filamu na Tamthiliya za Beijing kupitia kwenye Luninga ya mwaka 2015. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ikiwa ni jitihada za kukuza filamu pamoja na uhusiano wa kiutamaduni baina ya nchi hizo...

 

10 months ago

Michuzi

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo amvisha cheo Luteni Jenerali Paul Massao

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo (kushoto) akimvisha cheo Luteni Jenerali Paul Massao baada ya kupandishwa cheo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika hafla iliofanyika leo tarehe 16 April, 2018 Makao Makuu ya Jeshi, Upanga jijini Dar es Salaam.

 

1 year ago

Michuzi

JENERALI MABEYO AWATAKA WACHEZAJI WA GOFU LUGALO KUREJESHA HESHIMA KWA KUWA VINARA WA MCHEZO HUO

Na Luteni Selemani Semunyu JWTZMKUU  wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo amewataka wachezaji wa Gofu wa Klabu ya Jeshi ya Lugalo kuhakikisha wanarejesha heshma ya jeshi kwa kuwa kinara katika michezo na kuzalisha wachezaji bora wanaowakilisha nchi kimataifa.
Aliyasema hayo Makao Makuu ya Jeshi Upanga  jijini Dar es Salaam  wakati akiagana na wachezaji Sita wa Gofu wanaotarajia kuwakilisha nchi katika michuano ya wazi ya wanawake nchini  Nigeria IBB Ladies Open Championship  2018...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani