Jerry Muro kayaandika haya baada ya Simba kuwafunga…..

muro

Simba na Yanga ni miongoni mwa timu kubwa za mpira Afrika Mashariki ambazo kwa historia ya mpira inasemekena ndio timu zenye upinzani mkubwa hasa zinapokutana uwanjani,January 10 2017 timu hizi zilikutana tena uwanja wa Shekh Amri Abeid kwenye kombe la Mapinduzi na kutoa matokeo ya penalt 4-2. Aliyekua msemaji wa Yanga ambaye kwa sasa anatumikia adhabu yake aliyopewa […]

The post Jerry Muro kayaandika haya baada ya Simba kuwafunga….. appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

Bado kifungo cha mwaka mmoja kinamuumiza Jerry Muro, leo kayaandika haya

Actor Usher Raymond IV poses for photographers upon arrival at the screening of the film Hands of Stone at the 69th international film festival, Cannes, southern France, Monday, May 16, 2016. (AP Photo/Joel Ryan)

Jerry Muro ni mkuu wa idara ya habari ya club ya soka ya Yanga ambaye alizichukua headlines kuanzia magazetini juzi baada ya kusimamishwa kwa mwaka mmoja kujihusisha  na soka. July 13 2016 Jerry aliandika kwenye page yake ya Instagram maneno yafuatayo >>> ‘kila nikizifikiria figisu za soka la bongo aisee nachoka kabisaa, ngoja niwe mbali kwa muda japokua […]

The post Bado kifungo cha mwaka mmoja kinamuumiza Jerry Muro, leo kayaandika haya appeared first on...

 

2 years ago

MillardAyo

Baada ya Simba kuituhumu TFF kuibeba Yanga, taarifa zimemfikia Jerry Muro, kasema haya

DSC_9198

Baada ya Simba kuendelea na malalamiko ya muda mrefu kuwa klabu ya Dar Es Salaam Young African inapendelewa na shirikisho la soka Tanzania TFF kwa mambo kadhaa, ikiwemo wachezaji na viongozi wake kutopewa adhabu. Mchana wa March 16 mkuu wa idara ya habari wa Yanga Jerry Muro ameweka wazi suala hilo. Jerry amelazimika kuweka wazi kwa […]

The post Baada ya Simba kuituhumu TFF kuibeba Yanga, taarifa zimemfikia Jerry Muro, kasema haya appeared first on TZA_MillardAyo.

 

1 year ago

MillardAyo

Jerry Muro baada ya Haji Manara wa Simba kufungiwa na TFF

Saa kadhaa baada ya shirikisho la soka Tanzania TFF kupitia kamati ya nidhamu ya TFF kutangaza kumfungia mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Simba Haji Manara kwa utovu wa nidhamu na kukutwa na makosa matatu. Afisa habari wa zamani wa Yanga ambaye nae alifungiwa mwaka mmoja Jerry Muro ametumia ukurasa wake wa instagram […]

The post Jerry Muro baada ya Haji Manara wa Simba kufungiwa na TFF appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Channelten

Sakata la Jerry Muro – TFF yasisitiza haya

muro

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF limeendelea kusisitiza kwamba adhabu aliyopewa msemaji wa klabu ya soka ya Yanga na kamati ya Maadili ya TFF, ya kufungiwa kutojihusisha na soka kwa mwaka mmoja pamoja na faini ya shilingi milioni 3 ni muafaka na hakutakuwa na mabadiliko na endapo Jerry Muro ataona kuwa hajatendewa haki, milango ipo wazi wakati wowote kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo.

Afisa Habari wa TFF Alfred Lucas amewaambia waandishi wa habari kuwa Muro alitumiwa barua ya...

 

2 years ago

Mwananchi

MAONI: Ningekuwa Jerry Muro, haraka ningefanya haya

Wiki iliyopita timu ya waandishi wa habari wa Magazeti ya Mwananchi ilifanya mahojiano na Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ikiwa ni siku mbili tu baada ya kuchaguliwa kuendelea kushika wadhifa huo katika klabu hiyo kwa kipindi cha miaka minne ijayo kwa mujibu wa Katiba.

 

2 years ago

MillardAyo

Malalamiko ya Simba kuhusu matusi ya Jerry Muro

DSC_0717

February 25 mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Haji Manara ameingia kwenye headlines baada ya kuamua kuweka wazi lililo moyoni mwake na kumtuhumu afisa habari wa klabu ya Dar Es Salaam Young African Jerry Muro kuwa anawatolea maneno ya kashfa na matusi viongozi wa Yanga. Manara ameingia kwenye headlines baada ya […]

The post Malalamiko ya Simba kuhusu matusi ya Jerry Muro appeared first on TZA_MillardAyo.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Maneno ya Jerry Muro baada ya TFF kumfungia manara

Baada ya kamati ya nidhamu ya TFF kutoa hukumu ya kumfungia kwa muda wa miezi 12, adhabu iliyoenda sambamba na faini ya Tsh. Milioni 9 kwa msemaji mkuu wa Simba kutokana na makosa matatu.

Afisa habari wa zamani wa Yanga ambaye nae alifungiwa mwaka mmoja Jerry Muro ametumia ukurasa wake wa instagram kuandika “Mtuache sasa tupumzike, tuliyofanya kwa taifa hilo haswa kwenye mpira nadhani yametosha, Waswahiba karibu kijiweni @hajismanara“

The post Maneno ya Jerry Muro baada ya TFF...

 

2 years ago

Dewji Blog

Jerry Muro awakaribisha mashabiki wa Simba kuishabikia Yanga

Mchezo wa pili wa Shirikisho la Afrika wa Yanga ambayo inataraji kuwa mwenyeji wa TP Mazembe katika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam umetangazwa kuwa ni bure kwa mashabiki wa soka ili waweze kushangilia kwa wingi na kuisapoti timu hiyo.

Taarifa za kiingilio kuwa bure katika mchezo huo zilitolewa na Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro na kueleza kuwa wamemua kuwapa mashabiki wa soka nchini nafasi ya kutizama mchezo huo ili kuishabiki Yanga ambao ndiyo wawakilishi...

 

2 years ago

MillardAyo

AUDIO: Kauli ya Jerry Muro baada ya kufungiwa mwaka mmoja

soccerCLIPART

Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Yanga Jerry Muro jioni ya July 7 2016 ameingia kwenye headlines baada ya shirikisho la soka Tanzania TFF kupitia kamati ya maadili, kutangaza kumfungia mwaka mmoja kujihusisha na soka na faini ya Tsh milioni 3. Jerry Muro amefungiwa na kamati ya maadili kwa makosa mawili, moja alilifanya […]

The post AUDIO: Kauli ya Jerry Muro baada ya kufungiwa mwaka mmoja appeared first on MillardAyo.Com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani