Jeshi la Australia lapewa nguvu mpya kukabiliana na ugaidi

Hii imetokana na shatuma kuhusu jinsi polisi waliitikia kisa cha ugaidi cha mwaka 2014 mjini Sydney.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Bongo5

Serikali yaahidi kulipa nguvu jeshi la polisi kukabiliana na uhalifu

Waziri wa mambo ya ndani, Mwigulu Nchemba, amesema serikali inatambua umuhimu wa askari polisi na ndio maana ina mkakati wa kuliwezesha jeshi hilo vitendea kazi bora.

6

Waziri Nchemba ameyasema hayo Jumatano hii alipokuwa akitoa ufafanuzi wa matukio ya kuvamiwa kwa askari kujeruhiwa au hata kuuawa.

“Serikali inatambua umuhimu wa askari polisi, wanapokuwa katika kutimiza majukumu yao ya kila siku. Napenda kulihakikishia bunge lako tukufu kwamba serikali itaendelea kuliwezesha jeshi la polisi...

 

8 months ago

Zanzibar 24

Habari Picha:Jeshi la Polisi lapewa mafunzo Pemba

 

Mratibu wa mafunzo ya haki za binadamu Sahima Salim kutoka Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, akitoa maelezo ya mafunzo hayo, kwa watendaji wa Jeshi la Polisi wilaya ya Mkoani Pemba, mafunzo hayo yalifanyika ofisi ya ZLSC Chakechake.

 

 

Mratibu wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Fatma Khamis Hemed, akifungua mafunzo ya haki ya binadamu kwa watendaji wa Jeshi la Polisi wilaya ya Mkoani, mafunzo hayo yalifanyika mjini Chakechake Pemba.

 

Watendaji...

 

3 years ago

BBCSwahili

Australia kuchunguzi Ugaidi

Uchunguzi mpya umeanzishwa rasmi nchini Australia katika mji wa Sydney kutokana na shambulio la kigaidi.

 

3 years ago

BBCSwahili

Mikakati ya kupambana na ugaidi Australia

Waziri mkuu wa Australia Tony Abbot ametangaza mikakati mipya ya kupambana na ugaidi

 

3 years ago

BBCSwahili

Washukiwa wa ugaidi wakamatwa Australia

Polisi nchini Australia wamewakamata wanaume watano kufuatia oparesheni ya kupambana na ugaidi kwenye mji wa Melbourne.

 

2 years ago

BBCSwahili

Mvulana akiri mashtaka ya ugaidi Australia

Mvulana wa umri wa miaka 17 aliyekamatwa na polisi mjini Melbourne mwezi Mei mwaka huu, amekiri mashtaka yanayohusiana na ugaidi.

 

9 months ago

Channelten

Jeshi la Misri lataka kuimarisha ushirikiano na jeshi la Marekani katika mapambano dhidi ya ugaidi

12

Mnadhimu mkuu wa jeshi la Misri Luteni Jenerali Mahmoud Hegazy amesisitiza kuwa Misri inatakiwa kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kijeshi na Marekani, hasa katika mapambano dhidi ya ugadi, ili kukabiliana na changamoto ya usalama ya kikanda.

Luteni Jenerali Hegazy amesema hayo alipokutana na Ofisa mwandamizi wa jeshi la Marekani Bw. Michael Garrett mjini Cairo. Wakuu hao wamejadili njia za kuimarisha ushirikiano wa kijeshi kati ya nchi hizo mbili, zikiwemo kufanya luteka ya pamoja,...

 

11 months ago

BBCSwahili

Polisi wachunguza kisa cha "ugaidi" Australia

Khayre, 29 alipigia kituo kimoja cha habari wakati huo na kusema kuwa alichukua hatua hiyo kwa jina la Islamic State.

 

2 years ago

Dewji Blog

Majeshi ya Afrika kukabiliana na tishio la ugaidi

Majenerali na Wakuu wa Majeshi ya nchi kavu Barani Afrika wamekutana jijini Arusha kujadili changamoto zinazoyakibili majeshi hayo ikiwemo tishio la ugaidi, biashara ya madawa ya kulevya suala linalopelekea majeshi hayo kuunganisha nguvu katika kupambana na matukio hayo.

Mnadhimu Mkuu wa Jeshi Luteni Jenerali Venance Mabeyo amesema kuwa majeshi ya nchi za Afrika kwa kushirikiana na jeshi la Marekani lenye teknolijia kubwa  iwapo watashirikiana na Majeshi ya Afrika kupambana na tatizo la...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani