Jeshi la Kenya lakamata Warundi wanaotamani ugaidi  

JESHI la polisi nchini Kenya limewakamata watu wanne  raia wa Burundi  waliokuwa wakielekea Somalia kujiunga na kundi la kighaidi la Al-Shabab, anaandika Catherine Kayombo. Kwa mujibu wa taarifa ya msemaji wa jeshi, George Kinoti washukiwa hao waliokuwa wakifuatiliwa na maofisa wa kijasusi, walikamatwa katika kizuizi cha polisi mjini Isiolo kaskazini mwa mji mkuu wa Nairobi wakielekea mji ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI LAKAMATA SILAHA 8 NA RISASI 62

Na. Lilian Lundo - MaelezoJESHI la Polisi kanda maalum ya Dar es salaam imefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 7 wakiwa na  silaha 8  na risasi 62 kwenye msako uliofanyika jijini  Dar es salaam katika kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Akiongea na waandishi wa habari leo, katika ukumbi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, Kamishna wa Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova amesema  wahalifu walidhani kuwa Jeshi la Polisi limeweka nguvu katika uchaguzi mkuu na kusahau kufanya misako...

 

2 years ago

Bongo5

Jeshi la Polisi lakamata watumiaji wa shisha Dar

Mkuu wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna wa Polisi Simon Siro amesema kuwa jeshi la polisi linaendelea na oparesheni juu ya matumizi ya shisha huku watu watatu wa wilaya Kinondoni wakishikiliwa kwa matumizi ya madawa hayo.

dscf2219-4

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Kamanda Sirro amesema amepokea taarifa hizo kutoka kwa RPC wa Kinondoni kuwa amepokea taarifa hizo na vielelezo vipo.

“Oparesheni dhidi ya shisha bado inaendelea na leo RPC wa Kinondoni...

 

1 year ago

Dewji Blog

Jeshi la Polisi Arusha lakamata bunduki 10 na risasi 59

Jeshi la Polisi mkoani hapa limefanikiwa kupata jumla ya bunduki kumi za aina nne tofauti zikiwemo Sub-Machine Gun sita baada ya operesheni ya wiki mbili iliyoanza tarehe 15.02.2017 katika wilaya ya Ngorongoro. 

Akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa habari leo asubuhi, Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Naibu Kamishna (DCP) Charles Mkumbo alisema silaha hizo zilipatikana katika vijiji vya Olorieni Magaiduru, Oldonyosambu na Sale vilivyopo katika tarafa za Loliondo na Sale.

Alisema mafanikio...

 

9 months ago

Malunde

JESHI LA POLISI LAKAMATA WASIOJULIKANA WATANO DAR

Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limetangaza kuwakamata watu watano ambao wamekiri kufanya uhalifu na kuvunja katika ofisi ya Mawakili ya Prime Atorneys iliyopo katika jengo la Prime house, Mtaa wa Tambaza, Upanga jijini Dar es Salaam.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amefunguka na kusema kuwa jeshi la polisi limeweza kuwakamata watu hao ambao mwanzo baadhi ya wananchi walikuwa wakisema watu wasiojulikana ambao walifanya uhalifu huo na kudai...

 

4 years ago

GPL

JESHI LA AUSTRALIA LAKAMATA MADAWA YA KULEVYA PWANI YA TANZANIA

Askari wa  HMAS Melbourne wakiwa na madawa yaliyokamatwa. Madawa hayo yakiharibiwa. JESHI la majini la Australia limekamata na kuharibu kilo 353 za madawa ya kulevya aina ya heroin yenye thamani inayokadiriwa kuwa zaidi ya dola milioni 700 katika pwani ya Tanzania. Askari wa meli ya HMAS Melbourne waliyagundua madawa hayo katika meli moja Jumatano iliyopita… ...

 

2 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LAKAMATA GONGO LITA 20.


JESHI la Polisi mkoa wa Mbeya limeendelea kufanya misako, operesheni na doria zenye tija katika maeneo mbalimbali ili kudhibiti uhalifu na wahalifu na limekuwa likishirikiana na wananchi na wadau wengine katika jitihada hizo za kukabiliana na uhalifu na wahalifu na kupata mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kupungua kwa matukio makubwa ya uhalifu. Mafanikio yaliyopatikana katika Misako ni kama ifuatavyo:- 
KUPATIKANA NA POMBE HARAMU YA MOSHI [GONGO]Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia...

 

1 year ago

Channelten

Jeshi la polisi mkoa wa Mtwara lakamata madawa ya kulevya

madawa

Jeshi la polisi mkoa wa Mtwara limefanikiwa kuwakamata watu 56 ambao kati yao raia wa nchini Nigeria ni wawili kwa tuhuma za kukutwa na madawa ya kulevya aina ya bangi yenye uzito wa zaidi ya kilo 74 pamoja na Heroine yenye uzito wa gramu 100.

Watuhumiwa hao wamekamatwa katika kipindi cha miezi mitatu tangu kuanza kwa operation ya kupambana na madawa ya kulevya.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mtwara SACP Neema Mwanga akizungumza na waandishi wa habari amesema kuwa tangu kuanza kwa operation ya...

 

10 months ago

Channelten

Jeshi la polisi lakamata risasi 38 na silaha ya SMG Kigoma

tyu

JESHI la polisi mkoa wa Kigoma limekamata silaha moja ya kivita aina ya SMG, magazine mbili na risasi 38 katika matukio tofauti jambo lililoelezwa kuchangia ongezeko la vitendo vya uhalifu na mauaji mkoani Kigoma.

Akitoa taarifa hiyokamanda wa polisi Mkoa wa Kigoma naibu kamishna Fredinand Mtui amesema upatikanaji wa silaha hizo ni kutokana na msako uliofanywa na askari polisi katika wilaya mbalimbali ikiwemo Buhigwe na Kakonko wilaya ambazo zimeelezwa kukidhiri kwa wahamiaji wanaoingia...

 

2 months ago

Michuzi

JESHI LA POLISI LAKAMATA SILAHA,WATUHUMIWA WA UHALIFU 368

Na Jeshi la Polisi.Jeshi la Polisi nchini limefanikiwa kukamata Silaha mbalimbali na watuhumiwa 368 katika Oparesheni Maalum inayoendelea katika Ukanda wa Kusini unaojumuisha mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma.
Akizungumza mkoani Mtwara, Mkuu wa Operesheni Maalum za Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi Liberatus Sabas alisema kati ya watuhumiwa 368, 13 tayari wamefikishwa Mahakamani, 152 wamekabidhiwa Idara ya Uhamiaji kwa hatua zaidi, tisa wapo chini ya Upelelezi na 194 wapo chini ya uangalizi wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani