Jeshi la Polisi: Kesi 23 za Ufisadi Zipo kwa DPP

1.Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Kamishna Diwan Athuman akisoma taarifa yake.-001Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Kamishna Diwani Athumani, akisoma taarifa.
2.Mkurugenzi wa mashtaka DPP, Biswalo,E.Mganga ( katikati) akitoa ufafanuzi kwa wanahabari baada ya kupokea maswali yaliyokuwa yakiulizwa.-001Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Biswalo Mganga (katikati) akitoa ufafanuzi kwa wanahabari waliouliza maswali.
3.Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya JInai,Kamishna Diwan Athuman,Mkurugenzi wa Mashtaka,DPP Biswalo,E.Mganga na Mkurugenzi wa Upelelezi wa TAKUKURU, Alex Mfungo.-001Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Kamishna Diwani Athumani, Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Biswalo Mganga na Mkurugenzi wa Upelelezi wa TAKUKURU, Alex Mfungo.
4.Mkutano na wanahabri ukiendelea.-001Mkutano na wanahabari ukiendelea.
5.Wanahabri wakichukua tukio hilo.-001Wanahabari wakiwa na zana zao za kazi.

IDARA ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai nchini kwa...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

AyoTVMAGAZETI: Simulizi ya maisha ya Lema gereza la Kisongo, Ufisadi polisi wafikia kwa DPP

Kila siku asubuhi ungana na Alice Tupa wa AyoTV kwa uchambuzi wa habari zote kubwa kutoka kwenye magazeti ya Tanzania. Leo January 15 2017 ameshazisoma zote kubwa ikiwa ni pamoja na Simulizi ya maisha ya Lema gereza la Kisongo, Ufisadi polisi wafikia kwa DPP. ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI YA JANUARY 14 2017 KUTOKA AYO TV? […]

The post AyoTVMAGAZETI: Simulizi ya maisha ya Lema gereza la Kisongo, Ufisadi polisi wafikia kwa DPP appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

CHADEMA Blog

TAARIFA KUHUSU KUFUNGULIWA KWA KESI MBILI; KUOMBA KUTENGULIWA KWA ZUIO LA JESHI LA POLISI NA BUNGE LIVE

TAARIFA KUHUSU KUFUNGULIWA KWA KESI MBILI; KUOMBA KUTENGULIWA KWA ZUIO LA JESHI LA POLISI NA BUNGE LIVE  Taarifa inatolewa kwa umma kuwa Baraza la Wadhamini wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Katibu Mkuu wa Chama, wamefungua shauri Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam (main registry) kuiomba mahakama hiyo itengue uamuzi wa Jeshi la Polisi nchini kupiga marufuku, mikutano na

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mkea wa Bilionea Marehemu Msuya ashikiliwa tena na jeshi la polisi kwa kesi ya mauaji

Jeshi la Polisi limewakamata mke wa bilionea marehemu Msuya, Miriam Mrita na mwenzake R. Muyela muda mfupi baada ya Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kuwaachia huru.

Mjane huyo aliwekwa ndani kwa tuhuma za mauaji ya wifi yake (Mdogo wa mume wake), marehemu Anathe Msuya aliyechinjwa kinyama Mei 25, 2016 nyumbani kwake Kibada, Kigamboni.

 

The post Mkea wa Bilionea Marehemu Msuya ashikiliwa tena na jeshi la polisi kwa kesi ya mauaji appeared first on Zanzibar24.

 

1 year ago

Malunde

ZITTO KABWE KUFUNGUA KESI YA KIKATIBA DHIDI YA JESHI LA POLISI KWA KUSHIKILIA SIMU YAKE

Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe, amesema anajipanga kulifungulia kesi ya kikatiba jeshi la polisi nchini kutokana na kushikilia simu yake.

Zitto ameeleza kuwa simu yake inashikiliwa tangu Novemba 7 mwaka huu alipokamatwa kwa tuhuma za kuvunja sheria ya takwimu na sheria ya makosa ya mtandao.

“Walisema watahitaji simu hiyo kwa siku mbili tu, nilikwenda polisi KAMATA siku tatu baadaye nikaelezwa kuwa bado wanaendelea na uchunguzi. Nimerudi leo tarehe 20, Polisi wanasema bado wanahitaji simu...

 

4 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI TAREHE 18.08.2015. KUFANYA KAZI YA ULINZI NA USALAMA ILIYOKASIMIWA KWA JESHI LA POLISI.

MNAMO TAREHE 14.08.2015 MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CHADEMA ALIKUJA MKOA WA MBEYA AKIWA AMEANDAMANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA CUF, NCCR – Mageuzi NA NLD KWA DHUMUNI LA KUMTAMBULISHA NA KUOMBA UDHAMINI WA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHADEMA KWA NAFASI YA URAIS.


KATIKA MSAFARA WAKE KUTOKA UWANJA WA NDEGE [SONGWE] KULIONEKANA GARI MOJA (PICHANI) AINA YA LAND CRUISER – PICK UP YENYE RANGI NYEUSI NA NDANI YAKE LILIKUWA LIMEBEBA VIJANA AMBAO WALIKUWA WAMEVAA MAVAZI MEUSI, KOFIA – BERETI NYEUSI NA MIWANI...

 

3 years ago

MillardAyo

Jalada 300 ufisadi zatinga kwa DPP, Dawa feki kibao za malaria zanaswa zikiuzwa

dpp

AyoTV kila siku asubuhi inakuletea uchambuzi wa magazeti ya Tanzania kuhakikisha zote kubwa za siku unazipata, za leo ziko kwenye hii video hapa chini. ULIKOSA HII YA CCM KUTAKA ZITTO ACHUNGUZWE? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

The post Jalada 300 ufisadi zatinga kwa DPP, Dawa feki kibao za malaria zanaswa zikiuzwa appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: JPM afichua ufisadi wa bil 60 Jeshi la polisi, Wakurugenzi NSSF wasimamishwa

ALIC565

AyoTV kila asubuhi itakua inakuletea uchambuzi wa magazeti ya Tanzania kuhakikisha zote kubwa za siku unazipata, za leo July 19 2016 ziko hapa kwenye hii video. ULIKOSA HII YA K’NDONI KUJA NA MFUMO MPYA HOSPITALI NA VITUO VYA AFYA VYA SERIKALI? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HAPA CHINI

The post VIDEO: JPM afichua ufisadi wa bil 60 Jeshi la polisi, Wakurugenzi NSSF wasimamishwa appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Michuzi

JALADA KESI YA NIDA LIPO KWA DPP

Na Karama Kenyunko, Globu ya jamii.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeelezwa kuwa jalada la kesi  ya uhujumu uchumi na kusababisha hasara ya bilioni 1.16 inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho (NIDA), Dickson Maimu na wenzake lipo kwa  (DPP)
Mwendesha Mashtaka wa Takukuru, Leonard Swai, amesema kuwa, jalada hilo liko kwa DPP kwa ajili ya kufanyiwa tathmini ya upelelezi uliofanyika
Hakimu Mkazi Mkuu, Respicius Mwijage  ameiahirisha kesi hiyo hadi Aprili 20,2017 kwa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani