JESHI LA POLISI PWANI LATOA ZAWADI ZA IDDI NA KUFUTURISHA WATOTO YATIMA KITUO CHA KULELEA WATOTO FADHILA MISUGUSUGU

Na Mwamvua Mwinyi, PwaniKAMANDA wa polisi mkoani Pwani (ACP) Jonathan Shanna,amewataka wananchi wenye uwezo kimaisha kutumia sehemu ya vipato vyao kuwezesha watoto yatima badala ya kuwaachia jukumu hilo wamiliki wa vituo vya kulelea watoto hao pekee.Aliyasema hayo wakati jeshi hilo lilipojumuika katika Iftar ya pamoja na watoto yatima wa kituo cha Fadhila kilichopo eneo la Misugusugu Kibaha na kutoa zawadi ya sikukuu ya Eid el Fitr kwa watoto hao.Alisema hakuna mtoto aliyependa kuwa yatima...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA AMANI ORPHANAGE CENTER CHA POKEA ZAWADI NA MSAADA WA MAANDALIZI YA KRISMASI KUTOKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF.

Kushoto ni Meneja wa Pwani wa PSPF Msafiri S. Mugaka  akiwa na Afisa Mahusiano wa PSPF Coleta Mnyamani wakiwakabidhi zawadi ya Mbuzi  kwa ajilli ya Krismasi watoto wa kituo cha kulelea yatima cha Amani Orphanage Centre tarehe 5.12.2014 Afisa Mahusiano wa PSPF Coleta Mnyamani akimkabidhi zawadi ya vinywaji mmoja wa watoto katika kituo hicho Meneja wa Pwani wa PSPF Msafiri S. Mugaka akimkabidhi mmoja wa watoto msaada wa mafuta ya kupikia kwa niaba ya watoto wenzake walipo watembelea katika...

 

3 years ago

Bongo Movies

Video: JB Alipotembelea Kituo cha Kulelea Watoto Yatima

Staa mkongwe wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ mwishoni mwa mwaka uliyopita alitembelea kituo cha Watoto Yatima cha Msimbazi Centre kilichopo Ilala na kutoa zawadi kwa watoto wa kituo hicho kinachomilikiwa na Kanisa Katoliki msanii huyo amesema anasikia faraja kuwatembelea watoto hao.

Jb-Almas na Hindu

JB pia alitumia nafasi hiyo kwa kuongea na uongozi wa kituo hicho kisha kuwatambulisha wasanii walioshiriki katika filamu ya Chungu cha Tatu ambayo imeingia leo sokoni na aliongozana nao walikuwa ni Patcho...

 

4 years ago

Bongo Movies

Picha: Wema Atembelea Kituo cha Kulelea Watoto Yatima Arusha

Mapema jana staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu aliwatembelea watoto yatima wanaolelewa kwenye kituo cha Good Hope Orphanage kilichopo maeneo ya Usa-River jijini Arusha ambapo staa huyo alitoa msaada wa chakula na vitu mbalimbali kwa watoto hao.

Hizi ni baadhi ya picha za tukio zima alizoziweka kwenye ukurasa wake intsgaram.

Mungu akuzidishie moyo wa huruma Wema Sepetu

 

4 years ago

GPL

GLOBAL YATOA MSAADA KWENYE KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHAKWAMA

Katibu Mtendaji wa CHAKWAMA, Hassan Khamis akimuelezea jambo Ofisa Utawala wa Global Sudi Kivea. Mhasisi wa CHAKWAMA, Bi Saida Hassan akiongea na Ofisa Sudi Kuvea.
Watoto Yatima…

 

2 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA BIMA YA BRITAM WATOA MSAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA CHAKUWAMA.

WAFANYAKAZI wa bima ya Britam ambayo hutoa bima za magari, bima za nyumba, bima za wakandarasi, bima za usafiri wa majini pamoja na bima za safari bima za afya pamoja na nyingine nyingi leo wametembelea kituo cha kulelea watoto yatima cha CHAKUWAMA kilichopo Sinza jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi hao wametoa vitu mbalimbali kama vile Unga kilo 300Maharage 250,Sukari kilo 200,sabuni za unga,Karatasi nyeupe (limu bunda)200,Daftari boksi 500, Mafuta ya kula lita 100,chumvi pamoja na vifaa...

 

3 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Tigo yatoa misaada kituo cha kulelea watoto yatima cha Mugeza Mseto Manispaa ya Bukoba

Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa, Ali Maswanya akikabidhi misaada mbalimbali Mwenyekiti wa kamati ya shule ya kulelea watoto yatima cha Mugeza Mseto Manispaa ya Bukoba Bi. Evelyne Mwijage juzi. Kampuni ya Tigo ilitoa misaada kwenye kituo hicho.

Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa, Ali Maswanya akikabidhi misaada mbalimbali Mwenyekiti wa kamati ya shule ya kulelea watoto yatima cha Mugeza Mseto Manispaa ya Bukoba Bi. Evelyne Mwijage. Kampuni ya Tigo ilitoa misaada kwenye kituo hicho

 

4 years ago

Vijimambo

MAJAJI WA BONGO STAR SEARCH WATEMBELEA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA CHAKUWAMA NA KUTOA MSAADA

Majaji wa Bongo Star Search kuelekea msimu wa nane wa BSS2015 wamejumuika na watoto Yatima wa kituo cha Chakuwama kilichopo eneo la Mwenge jijini Dar es Salaam na kula Iftaar na watoto hao kipindi hiki cha mfungo wa Ramadn na kutoa misaada mbali mbali.Kituo hicho ambacho kina jumla ya watoto yatima 100 kuanzia wachanga mpaka miaka 16 na wahudumu 10. Huduma ya kuchukua Iftaar tayari kwa kufuturu ikiendelea.
 Jaji kiongozi wa mashindano ya kusaka vipaji vya muziki, maarufu BSS, Rita Poulsen...

 

4 years ago

Vijimambo

YUSUF FAKI AWASILISHA MICHANGO YA TAMCO YA ZAKATULFITRI KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA ALMADINA DAR

 Mwakilishi wa Tanzania Muslim Council ( TAMCO) Bwn. Yusf Faki akiwa katika picha ya pamoja na mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Amadina Bi.Kuthum Yusuf siku ya Ijumaa July 17, 2015 siku Yusuf Faki alipowasilisha mchango wa Zakatulfitri kwa watoto hao kwa niaba ya TAMCO yenye makao makuu yao DMV. Kituo hicho cha kulelea watoto yatima kilichopo Tandale jijini Dar es Salaam kina watoto 68 wanaolelewa na Bi. Kulthum Yusuf na yeyote atakayeguswa na watoto hao anaweza kuwasilisha...

 

3 years ago

Michuzi

UN CLUBS TANZANIA NA PROF. NDALICHAKO WATOA MSAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA KURASINI

Afisa Habari wa kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi. Stella Vuzo (kulia) akimkabidhi msaada kwa mlezi wa kituo cha kulelea watoto Bi. Jack Omary(kushoto) ambaye ni Afisa Ustawi wa Jamii kituo cha taifa cha kulea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Kurasini, hafla hii imefanyika katika siku ya wapendanao. Misaada hyo imetolewa na vijana wa UN Clubs Tanzania Network kwa kanda ya Dar es salaam pamoja na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani