JESHI LA POLISI TABORA LAMKAMATA MGANGA WA JADI ANAEPIGA RAMLI CHONGANISHI KWA JAMII

Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limefanikiwa kumkamata mganga wa Jadi mwenye kupiga ramli chonganishi na kusababisha Mauaji ya mama mmoja aliyefahamika kwa jina la NDILU MBOGOSHI, Miaka 65, Msukuma, Mkulima, Mkazi wa Shilabela Kata ya Ulyankulu wilaya ya Kaliua Mkoa wa Tabora, ambaye aliuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu za kichwani. Mara baada ya tukio hilo upelelezi ulifanyika na Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora liliweza kubaini na kumkamata mganga wa jadi huyo ambaye...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Dewji Blog

Waganga wa tiba mbadala Singida wanaotumia nyara za Serikali kupigia ramli chonganishi watakiwa kuzisalimisha Polisi

SAM_2030

Katibu Mkuu wa CHAWAMAMU Mkoa wa Singida, Dk.Tano Mika Likapakapa (wa kwanza kulia)Mwenyekiti wa serikali ya Kijiji cha Lunsanga,Bw.Richard Kisiwa (katikati) na Mkuu wa Kituo kidogo cha polisi Ndago, Bw.Richard Kimolo. SAM_2029 Afisa kilimo wa kata ya Ndago, Bi Perpetua Pius (kushoto) na Mratibu wa Tiba Asilia kutoka Hospitali ya wilaya ya Iramba,Bi Roda Yona(kulia). SAM_2027 Waganga wa tiba mbadala waliovaa mavazi wanayotumia wakati wa shughuli zao. SAM_2024  Maafisa watendaji wa vijiji na wenyeviti wa...

 

2 years ago

Bongo5

Jeshi la Polisi lamkamata mtuhumiwa sugu wa utapeli Dar

Jeshi la Polisi limesema limemkamata mtuhumiwa wa utapeli anayejulikana kwa jina la Wilfred Masawe (36), mkazi wa Buza, Temeke jijini Dar es Salaam.

Taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Advera Bulimba, ilieleza kuwa mtuhumiwa huyo alikuwa akitumia mbinu mbalimbali kutapeli, zikiwemo kujitambulisha kama kiongozi wa serikali kwa kutumia mtandao wa WhatsApp.

Alisema pia alikuwa akieleza kuwa yupo nje ya nchi na kuna tatizo la msiba ambao umetokea...

 

2 years ago

Channelten

DC Geita Kuwakamata Waganga Wanaopiga Ramli Chonganishi

waganga

MKUU wa wilaya ya Geita Herman Kapufi amesema hatasita kuwasaka na kuwakamata waganga wajadi wanaopiga ramli chonganishi na kusababisha mauji ya vikongwe na walinzi kwenye Wilaya hiyo.

Ametoa kauli hiyo kwenye kikao cha dharura kwa watendaji wa vijiji na kata kilichofanyika katika ukumbi wa Halimashauli ya Wilaya ya Geita lengo likiwa ni kujadili na kukabilina na waganga wanaopiga ramli chonganishi na kusabisha mauji.

Kapufi amendelea kusema kuwa anatarajia kufanya ziara kwa kila kijiji na...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mganga wa jadi auawa kikatili kwa kuchomwa mkuki

Mganga wa jadi ameuawa kikatili kwa kuchomwa na mkuki mgongoni na mtu asiyefahamika ambaye anadaiwa kuwa ni mteja wake wa muda mrefu.

Mganga huyo anajulikana kama , Revocatus Kanjalanga mwenye miaka 65  katika Wilaya ya Nkasi mkoani Ruvuma imeelezwa kuwa kumekuwa na malalamiko kwamba mganga huyo anatonza fedha nyingi za malipo ya matibabu lakini watu hawaponi kupitia uganga wake.

Mtoto wa mganga huyo aliwaambia waandishi kuwa baba yake aliuawa juzi saa 1:30 asubuhi kwa kupigwa mkuki...

 

1 year ago

Malunde

MGANGA WA JADI AKAMATWA KWA KUBAKA WATOTO 14 SINGIDA

Jeshi la Polisi mkoani Singida linamshikilia mganga wa kienyeji mkazi wa mtaa wa Minga, Daud Idd (74), kwa tuhuma ya kunajisi watoto 14 wenye umri kati ya miaka saba na 12 na kuwasababishia maumivu makali katika sehemu zao za siri.
Mgonga huyo maarufu kama Babu Karatu ameelezwa kuwa alikuwa akishirikiana kutenda vitendo hivyo na mtoto wa mdogo wake aitwaye Abdallah Yahaya (31).
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo Jumamosi, kaimu kamanda wa polisi mkoani hapa Isaya Mbughi...

 

4 years ago

Michuzi

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU WAGANGA WA JADI WANAOPIGA RAMLI NCHINI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (katikati meza) akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Serikali kuunda timu maalumu ya kutembelea maeneo yaliyosugu kwa utekaji na mauaji ya albino nchini ambapo timu hiyo inatarajiwa kuanza kazi wiki mbili zijazo kwa kuanza na mikoa sugu ya matukio hayo ambayo ni Mwanza, Geita, Simiyu, Tabora na Shinyanga na baadaye itafuata mikoa mingine. Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu na kushoto ni Mwenyekiti wa...

 

1 year ago

Michuzi

JESHI LA POLISI KITENGO CHA POLISI JAMII KWA KUSHIRIKIANA NA BENKI YA CRDB WAFANYA ZIARA YA MIKOA YA LINDI NA MTWARA

 Naibu Kamishina wa Jeshi la Polisi ambaye ndiye Mkuu wa Kitengo cha Polisi Jamii, DCP Ahmada. A. Khamis (wanne kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja  Maafisa wa benki ya CRDB na viongozi wa serikali ya Kata ya Kitangari, Tarafa ya Kitangari wilaya ya Newala mkoani Mtwara  leo baada ya kufanya mkutano katika Kata hiyo kwa kushirikiana na Bank ya CRDB kutoka Makao Makuu ya Bank hiyo Dar es salaam, juu ya Mtumizi salama ya huduma za kibenki na namna ya kuepukana na wizi wa mtandao. Picha...

 

2 years ago

Bongo5

Jeshi la Polisi Dar lapiga marufuku uuzwaji wa silaha za jadi barabarani

Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es salaam limepiga marufuku uuzwaji holela wa silaha za jadi kama mapanga, mishale, pinde na manati barabarani.


Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam, Simon Sirro.

Marufuku hiyo imepigwa Ijumaa hii na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam, Simon Sirro, baada ya wahalifu kutumia silaha za jadi kama mapanga kufanya uhalifu.

“Sasa ni Marufuku kwa mtu yeyote au kikundi chochote kuuza mapanga, kuuza manati, kuuza pinde hizi na mishale...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani