Jeshi la Ufilipino lafanya mashambulizi ya anga dhidi ya IS

Vikosi vya jeshi la Philippines vimeanza kutumia mashambulizi ya anga kukabiliana na vikosi vya IS vilivyojichimbia Mashariki mwa nchi hiyo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Jeshi la Ufilipino laahidi kushinda vita dhidi ya waasi

Jeshi la Ufilipino limesema kwamba litashinda mapigano kati yao na waasi wa kiislamu waliokuwa wameshikilia eneo la kusini mwa mji wa Marawi wiki moja iliyopita.

 

1 year ago

Michuzi

JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFANYA UKAGUZI WA VIFAA VYA KINGA NA TAHADHARI DHIDI YA MOTO

Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Sajini Edgar Mwakapala akionesha jinsi ya kuzima moto kwa kutumia blanket maalumu la kuzimia moto kwa watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala iliyopo Mkoa wa Kinondoni jijini Dar es Salaam. Wakati wa mafunzo ya kinga na tahadhari dhidi ya majanga ya moto mapema leo asubuhi.Mmoja kati ya watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala akifanya mafunzo ya kuzima moto kwa vitendo kwa kutumia kizimia moto  chenye mchanganyiko wa maji na povu (Foam)...

 

2 years ago

Channelten

Misri yaliarifu Baraza la Usalama kuhusu mashambulizi ya anga dhidi ya magaidi nchini Libya

12

Ujumbe wa kudumu wa Misri katika Umoja wa Mataifa umewasilisha ripoti kwenye Baraza la usalama la umoja huo kuhusu mashambulizi ya anga yaliyofanywa hivi karibuni na jeshi la nchi hiyo dhidi ya magaidi nchini Libya.

Wizara ya mambo ya nje ya Misri imesema, tarehe 26 na 27 jeshi la anga la Misri lilishambulia kambi ya mafunzo ya kigaidi katika mji wa Derner, mashariki mwa Libya, kwa mujibu wa kanuni za Katiba ya Umoja wa Mataifa na maazimio husika ya Baraza la Usalama la umoja huo kuhusu...

 

1 year ago

RFI

DRC: Jeshi la Uganda latekeleza mashambulizi dhidi ya kundi la waas wa ADF

Jeshi la Uganda limesema limetekeleza mashambulizi kulenga kambi za waasi mashariki mwa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambako wapiganaji wenye silaha waliwaua wanajeshi 14 wa kulinda amani wa umoja wa Mataifa.

 

2 weeks ago

VOASwahili

Jeshi, upinzani Sudan yaunda kamati kuchunguza mashambulizi dhidi ya waandamanaji

Kamati ya kijeshi inayosimamia serikali ya mpito nchini Sudan, imeunda kamati ya pamoja na muungano wa upinzani unaopigania uhuru na mabadiliko, kuchunguza mashambulizi yanayowalenga waandamanaji.

 

2 years ago

BBCSwahili

Jeshi la Marekani lasaidia jeshi la Ufilipino kupigana na wanamgambo

Vikosi maalum vya jeshi la Marekani vinasaidia vikosi vya ufilipino kupigana na makundi ya kigaidi ambayo yamezingira mji wa Marawi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Jeshi lafanya mapinduzi Thailand

Mkuu wa majeshi nchini Thailand ametangaza mapinduzi , akisema jeshi sasa linachukua udhibiti wa serikali.

 

5 years ago

BBCSwahili

Marekani yaendeleza mashambulizi ya anga

Marekani imezindua mfululizo wa mashambulizi mapya ya anga huko Syria

 

4 years ago

BBCSwahili

Jeshi la Kenya lafanya shambulio Somalia

Jeshi la Kenya limeshambulia maeneo mawili ya jimbo la Gedo nchini Somalia,ambalo ni makao ya wapiganaji wa kundi la Alshabaab

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani