Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania limesema liko tayari muda wowote kukabiliana na majanga ya aina mbalimbali

askari-wa-jeshi-la-ulinzi-la-wananchi-wa-tanzania-jwtz-wakiwa-katika-mazoezi

Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania limesema liko tayari muda wowote na wakati wowote kukabiliana na majanga ya aina mbalimbali ya kivita yatakayotokea nchini kama vile ugaidi kutokana uimara madhubuti uliojengeka kwa jeshi hilo.

Hayo yamesemwa na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania Luteni Venance Mabeyo wakati wa Ufunguzi wa zoezi la kivita kwa ajili ya  maadalizi ya kuhitimisha kusherehekea  maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ tangu kuanzishwa kwake siku ya  tarehe 01 septemba mwaka...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Trump: Jeshi la Marekani liko tayari kuikali Korea Kaskazini

Korea Kaskazini ilitangaza majuzi kwamba inakamilisha kuandaa mpango wake wa kurusha makombora karibu na kisiwa cha Marekani cha Guam.

 

1 year ago

BBCSwahili

Maandamano Islamabad : Jeshi la Pakistan lasema liko tayari kusaidia

Jeshi lasema litaisaidia serikali kurudisha utulivu Islamabad baada ya kuzuka vurugu.

 

4 years ago

Michuzi

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA LAANDAA SHEREHE ZA KUMUAGA AMIRI JESHI MKUU MHE. DKT KIKWETE

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA

KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO


Simu ya Upepo   : “N G O M E”        Makao Makuu ya Jeshi,

Simu ya Mdomo : DSM  22150463     Sanduku la Posta 9203,

Telex                     : 41051                      DAR ES SALAAM,  31 Agosti, 2015,

Tele Fax                : 2153426

Barua pepe               : ulinzimagazine@yahoo.co.uk

Tovuti                  : www.tpdf.mil.tz

                    


     Taarifa kwa Vyombo vya Habari          Vyombo vya Ulinzi na Usalama...

 

1 year ago

Channelten

Machafuko ndani ya ZANU PF Zimbabwe, Jeshi laonya,lasema liko tayari kuingilia kati yasipokomeshwa

chiwenga-mujuruSD

Jeshi la Zimbabwe limeonya kuwa liko tayari kuingilia kati mtifuano wa wenyewe kwa wenyewe unaoendelea ndani ya chama tawala cha Zimbabwe African National Union-Patriotic FrontZANU PF kinachoongozwa na Rais Robert Mugabe,kufuatia hatua ya kumfuta kazi makamu wa Rais wa nchi hiyo Emmerson Munangagwa,wiki iliyopita.

Katika taarifa zake nadra mkuu wa majeshi wa nchi hiyo,Constantino Chiwenga,ametoa wito wa kukomeshwa mara moja mzozo ndani ya chama unaolenga kuwaondoa wanachama wa ZANU...

 

4 years ago

Michuzi

TAARIFA KUTOKA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI TANZANIA

 JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIAKURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO
Simu ya Upepo   : “N G O M E”          Makao Makuu ya Jeshi,Simu ya Mdomo : DSM  22150463      Sanduku la Posta 9203,Telex                     : 41051                       DAR ES SALAAM,    15, May 2015Tele Fax                : 2153426Barua pepe       : ulinzimagazine@yahoo.co.ukTovuti                  : www.tpdf.mil.tz                  Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania linasikitishwa...

 

1 year ago

Michuzi

TAARIFA KUTOKA JESHI LA ULINZI WA WANANCHI TANZANIA

Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kutoa taarifa kuwa mwili wa marehemu Praiveti Mussa Jumanne Muryery ambaye ameuawa nchini DRC akiwa katika jukumu la Ulinzi wa Amani, utaagwa kwa heshima tarehe 25 Septemba 2017 katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo kuanzia saa 2:00 asubuhi. 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa        Dkt.  Florens M. Turuka ataongoza katika kuuaga mwili wa Marehemu.Mungu aipumzishe roho ya marehemu...

 

4 years ago

Vijimambo

TAARIFA KUTOKA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA (JWTZ)

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIAKURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO
Simu ya Upepo   : “N G O M E”            Makao Makuu ya Jeshi,Simu ya Mdomo : DSM  22150463       Sanduku la Posta 9203,Telex                     : 41051                        DAR ESSALAAM, 20 Octoba, 2014Tele Fax                : 2153426Barua pepe       :ulinzimagazine@yahoo.co.ukTovuti                  : www.tpdf.mil.tz                  Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatoa...

 

3 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA KUFUATIA HABARI ILIYOANDIKWA KWENYE GAZETI LA TANZANIA DAIMA

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania limesikitishwa na taarifa iliyotolewa na gazeti la Tanzania Daima toleo Nambari 4290 la tarehe 01 Septemba 2016, ikihusisha shughuli za Jeshi hilo zinazoendelea katika maadhimisho ya miaka 52 ya kuzaliwa kwake na shughuli za kisiasa.
Tunapenda  kuwataarifu wananchi kwamba kazi ya Jeshi ni kulinda na kutetea maslahi ya Taifa na mipaka ya nchi, aidha, Jeshi letu linafanya kazi kwa kufuata mila, desturi, nidhamu, kanuni na sheria za Kijeshi kwa weledi wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani