Jeshi laonya kuhusu mgogoro ndani ya Zanu-PF Zimbabwe

Kamanda mkuu wa jeshi la Zimbabwe ameonya kuingilia kati iwapo pande pinzani zitaendelea kuzozana ndani ya chama tawala cha Zanu-PF.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Channelten

Machafuko ndani ya ZANU PF Zimbabwe, Jeshi laonya,lasema liko tayari kuingilia kati yasipokomeshwa

chiwenga-mujuruSD

Jeshi la Zimbabwe limeonya kuwa liko tayari kuingilia kati mtifuano wa wenyewe kwa wenyewe unaoendelea ndani ya chama tawala cha Zimbabwe African National Union-Patriotic FrontZANU PF kinachoongozwa na Rais Robert Mugabe,kufuatia hatua ya kumfuta kazi makamu wa Rais wa nchi hiyo Emmerson Munangagwa,wiki iliyopita.

Katika taarifa zake nadra mkuu wa majeshi wa nchi hiyo,Constantino Chiwenga,ametoa wito wa kukomeshwa mara moja mzozo ndani ya chama unaolenga kuwaondoa wanachama wa ZANU...

 

4 years ago

BBCSwahili

Zimbabwe:ZANU-PF chamtimua Bi Mujuru

Aliyekuwa makamu wa rais nchini Zimbabwe Joice Mujuru amefukuzwa katika chama tawala ZANU-PF.

 

4 years ago

StarTV

Zimbabwe:ZANU-PF yamtimua Bi Mujuru

Aliyekuwa makamu wa rais nchini Zimbabwe Joice Mujuru amefukuzwa katika chama tawala ZANU-PF.

Chama hicho kinasema alipanga njama za kumuondoa mamlakani rais Robert Mugabe mbali na kukiharibia jina chama hicho- madai ambayo ameyakana hapo mbeleni .

Bi Mujuru alipigana vita vya Guerilla pamoja na Mugabe miaka ya sabini dhidi ya uongozi wa weupe na alionekana kama mrithi wake,kabla ya kukosana naye mwaka uliopita swala lililomfanya kufutwa kazi kama makamu wa rais mnamo mwezi...

 

4 years ago

BBCSwahili

Makamu Rais Zimbabwe aondolewa ZANU-PF

Makamu Rais wa Zimbabwe,Joyce Muguru aondolewa kwenye Halmashauri kuu ya Chama, ZANU-PF

 

3 years ago

Habarileo

Jeshi laonya wavamizi wa maeneo yake

JESHI la Wananchi Tanzania (JWTZ) limewatahadharisha wananchi wanaovamia maeneo ya jeshi huku limewataka watu wanaonunua viwanja karibu na kambi za jeshi, kufuatilia historia na mipaka ya maeneo ya jeshi ili kuepuka mgogoro na jeshi hilo.

 

2 years ago

BBC

Zimbabwe's Zanu-PF confirms Mugabe as 2018 election candidate

Zimbabwe's governing Zanu-PF party confirms President Robert Mugabe as its sole candidate for the 2018 elections.

 

1 year ago

BBC

Zimbabwe military chief Chiwenga in Zanu-PF purge warning

General Constantino Chiwenga says he could step in, a week after President Mugabe sacked his deputy.

 

1 year ago

BBCSwahili

Chama tawala cha Zimbabwe ZANU - PF kumshtaki Mugabe

Viongozi wa ZANU-PF wanaamini mchakato wa kumshitaki rais Mugabe utaendelea kama ulivyopangwa baada ya kukataa kujiuzulu Jumapili kama ilivyotarajiwa

 

2 years ago

Malunde

JESHI LA POLISI LAONYA WANAFUNZI WANAOTUMIA DAWA ZA KULEVYA

JESHI la Polisi mkoani Dodoma limewatahadharisha wanafunzi wakiwemo wa vyuo vikuu wanaofanya biashara ya dawa za kulevya na wanaotumia dawa hizo kuwa hawatakuwa salama kwani wamejipanga kukabiliana na biashara hiyo.
Kauli hiyo imekuja kufuatia kukamatwa kwa mwanafunzi wa uuguzi katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Lazaro Mambosasa amesema jana kuwa, jeshi hilo halitaacha kuwachukulia hatua, wote wanaojihusisha na dawa hizo. “Tutashirikisha vyombo vyote vya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani