Jiji la Dodoma kujiendesha kwa mapato ya ndani

MKURUGENZI  wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amesema kuwa jiji hilo linatarajia ifikapo mwaka 2021 jiji hilo litakuwa likijitegemea kwa mapato ya ndani. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Mbali na hilo alisema  kutokana Dodoma kuwa na ahadi ya kuwa makao makuu pamoja na hadhi ya jiji Dodoma itakuwa jiji la pekee kwa kuwa na vivutio vingi ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

IMARISHENI MAPATO YA NDANI KWA MAENDELEO YENU - MTAALAMU

Na Mwandishi Maalum, New York Nchi zinazoendelea hususani Afrika, Kusini mwa Jangwa la Sahara zimeshauriwa kujiwekea mipango, sera, taratibu na sheria zinazotekelezeka ambazo kwayo zitaongeza na kuboresha ukusanyaji wa mapato ya ndani ili si tu kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi wake lakini pia kuwa na maendeleo endelevu. Aidha nchi hizi zimeambiwa kuwa kile kipindi cha kusubiri kuletewa maendeleo kwa maana ya kuwategemea wafadhili kupitia uwekezaji wa moja kwa moja ( FDI) au...

 

4 years ago

Vijimambo

IMARISHENI MAPATO YA NDANI KWA MAENDELEO YENU-MTAALAM

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bibi Dorothy Mwanyika akichangia majadiliano kuhusu ukusanyaji wa mapato ya ndani kwajili ya maendeleo wakati wa mkutano unaoendelea hapa Umoja wa Mataifa wa maandalizi ya Mkutano wa Tatu wa Kimataifa kuhusu uwezeshaji wa raslimalifedha kwa maendeleo endelevu baada ya 2015. Mkutano huo utafanyika mapema mwakani huko Adds Ababa, Ethiopia.Sehemu ya washiriki wa mada kuhusu mapato ya ndani wakifuatilia mchango na Tanzania pamoja na wachangiaji wengine.
Na...

 

5 years ago

Vijimambo

CCM YAJADILI KUJIENDESHA KIUCHUMI NA MIPANGO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MJINI DODOMA
 Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipanga makabrasha tayari kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM ambapo masuala ya kujiendesha kiuchumi na mipango ya maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa yanajadiliwa.
 
  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma ambapo aliwaeleza juu ya kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) jana Oktoba 16, 2014 katika siku ya kwanza ya kikao...

 

4 years ago

Dewji Blog

Serikali yasaini Mkataba wa kukusanya zaidi ya Sh. milioni 12 kupitia mapato ya ndani kwa mwaka 2015/16

09

Baadhi ya viongozi na watendaji wa Wizara ya Fedha na TRA wakati wa hafla ya kusaini Mkataba wa Makubaliano ya kukusanya mapato ya ndani kwa mwaka wa fedha 2015/2016 ambayo yanakusanywa kwa mara ya kwanza nchini.(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO).

Na Eleuteri Mangi- MAELEZO

Serikaki imesainiana Mkataba wa Makubaliano ya kukusanya Sh. Milioni 12,362,969 za mapato ya ndani kwa mwaka wa fedha 2015/2016 ambayo yanakusanywa kwa mara ya kwanza nchini.

Mkataba huo wa makubaliano umesainiwa leo...

 

2 years ago

Michuzi

5 years ago

Habarileo

Pinda aagiza Jiji kuongeza mapato

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameutaka uongozi wa Jiji la Mbeya, kuongeza mapato yake ya ndani kwa kuweka mifumo ya kisasa ya ukusanyaji mapato.

 

11 months ago

Michuzi

MKURUGENZI JIJI LA DODOMA ATANGAZA NEEMA KWA WATEJA WA VIWANJA

Na Ramadhani JumaOfisi ya Mkurugenzi, Dodoma
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imeongeza muda wa kulipia Viwanja kwa wateja wake wote walionunua Viwanja kuanzia Aprili 20, mwaka huu kutoka siku 30 yaani Mwezi mmoja hadi siku 90 yaani miezi mitatu.Aidha, Halmashauri hiyo inatarajia kuendelea kuuza Viwanja vya eneo la Iyumbu kuanzia tarehe 5 Juni, 2018 kwani tayari imeshamaliza kazi ya kushughulikia malalamiko ya Wakazi wa Ngaloni walioibuka na kudai kutolipwa fidia hapo awali.Hayo yametangazwa na...

 

3 years ago

Michuzi

Meya Dar adai taarifa za mapato ya Jiji

Na Raymond Mushumbusi MAELEZO
Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam  Isaya Mwita amemwagiza Kaimu Mkurugenzi wa Jiji Bi Sara Yohana  kumwandikia Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) kuomba taarifa za mapato halisi za benki zilizopo Dar es Salaam ili kujiridhisha na kiwango kinachotolewa na benki hizo wakati wa kulipa ushuru wa huduma za Jiji(City Service Levy).
Akizungumza  Jijini Dar es Salaam Mhe. Isaya Mwita amesema kuwa kutokana na kutoridhishwa na taarifa ya mapato iliyotolewa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani