JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI - WASOMI, WAZAWA NA WAPENDA MAENDELEO WAUNGANA KUJENGA ZAHANATI BUTATA

Na Verdiana Mgoma, Msaidizi wa Mbunge

WASOMI na wananchi wapenda maendeleo waishio nje na ndani ya Kijiji cha Butata wameungana pamoja ili kufanikisha ujenzi wa zahanati katika kijiji chao ili kuondoa adha kubwa ya ukosefu wa huduma za kiafaya kijijini hapo.

Awali akizungumza na Msaidizi wa Mbunge ambae ni mwandishi wa habari hizi, Mwenyekiti wa Kijiji cha Butata Ndugu Cleophace M. Kasala ameeleza kuwa Wananchi wa Kijiji cha Butata wamekuwa na muamko katika suala la ujenzi wa zahanati...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

CCM Blog

JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI - WATANZANIA WENYE CHIMBUKO (ROOTS) LA MUSOMA VIJIJINI WAAMUA KUSHIRIKIANA NA NDUGU ZAO WA VIJIJINI KUTOKOMEZA UMASKINI WAO

Leo, Jumatano, 2.5.2018, Wafanyabiashara, Wafanyakazi, Wasomi na Wataalamu waliozaliwa au wazazi waliozaliwa Kijiji cha Mkirira, Kata ya Nyegina, Jimbo la Musoma Vijijini wameshirikiana na Mbunge wa Jimbo (Prof Sospeter Muhongo), Diwani wa Kata (Mhe Majira) na Wanakijiji wa Kijiji cha Mkirira kuchanga jumla ya Tshs 1.6 Milioni na Mifuko ya Saruji 238 kwa ajili ya UJENZI WA ZAHANATI YA KIJIJI CHA MKIRIRA. Michango inaendelea.

Lengo ni kukamilisha Jengo  hilo kabla ya Desemba 2018.
Jimbo...

 

3 years ago

Michuzi

Profesa Muhongo akabidhi gari Nne za Wagonjwa wilayani Musoma, Jimbo la Musoma Vijijini

Waziri wa Nishati na Madini na Mbunge wa Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) akikabidhi leseni na funguo ya gari ya wagonjwa (ambulance) kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Musoma, Flora Yongolo (katikati) na anayeshuhudia ni Mkuu wa wilaya ya Musoma, Dkt. Vicent Naane (kulia). Gari hizo Nne aina ya Suzuki Maruti alizikabidhi katika  vijiji vya Masinono, Kurugee, Mugango na Nyakatende na kufikisha idadi ya gari Tano za wagonjwa alizozitoa katika Jimbo hilo.Waziri wa Nishati na...

 

2 years ago

Michuzi

MUSOMA VIJIJINI WAWEKA WAZI MATUMIZI MFUKO WA JIMBO

Wajumbe wa Kamati ya Mfuko wa Jimbo la Musoma Vijijini wameagizwa kuhakikisha wanakagua utekelezaji wa miradi ya kilimo ya vikundi vilivyokabidhiwa vifaa kutoka kwenye mfuko huo ili kujiridhisha.
Agizo hilo limetolewa hivi karibuni na Mbunge wa Jimbo hilo, Profesa Sospeter Muhongo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati husika wakati wa mkutano wa hadhara wa kuainisha matumizi ya fedha za Mfuko wa Jimbo kwa Awamu ya Pili uliofanyika katika kijiji cha Tegeruka, Musoma Vijijini.
Ilielezwa kwamba...

 

2 years ago

Channelten

Prof Muhongo aendesha zoezi la matibabu bure kwa wananchi wa jimbo la Musoma Vijijini

prof

Waziri wa nishati na madini ambaye pia ni mbunge wa jimbo la musoma vijijini Prof. SOSPETER MUHONGO ameendesha zoezi la matibabu bure kwa wananchi zaidi ya mia moja hamsini kutoka vijiji vya Nyambono na Kwikuba vilivyopo Musoma vijijini mkoani Mara ambapo madaktrari bingwa watano kutoka nchini china wapo jimboni humo kwaajili ya kutoa matibabu bure kwa wananchi.

Akizungumza wakati wa zoezi la utoaji wa huduma hiyo linalofanyika kwa mara ya nne jimboni humo Prof. Muhongo amewataka wananchi...

 

2 years ago

Michuzi

KUBENEA ATOA MILIONI 20 ZA MFUKO WA JIMBO KUJENGA ZAHANATI KILUNGULE

Mbunge wa Ubungo ,Saed Kubenea akihutubia wakazi wa Kimara kata ya Kilungule wakati wa mkutano wa hadhara mara baada ya kumaliza kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo katika eneo hilo na kuwashukuru wapiga kura wake kupitia mkutano huo,ambapo aliahidi kutoa Milioni 20 za Mfuko wa jimbo kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati katika kata hiyo.Wananchi wa kata ya Kilungule Kimara jijini Dar es Salaam wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Ubungo Saed Kubenea katika mkutano wake wa hadharaMbunge wa...

 

3 years ago

Dewji Blog

Lazaro Nyalandu-Tunapiga hatua kujenga miundimbinu kwa maendeleo vijijini

Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu (CCM) amesema kuwa ni vizuri kukaa na wananchi kujadili mambo ya kimaendeleo ilikupiga hatua katika kujenga miundombiu kwa maendeleo ya Vijijini. Nyalandu amebainisha hayo wakati wa mkutano wake wa Kimaendeleo aliofaanya katika Kijiji cha Maghojoa alipokutana na wapiga kura wake hao wa jimbo hilo la Singida Kaskazini.

CgP9gDIWIAAj4sxMbunge wa jimbo la Singida Kaskazini akiwasili katika kijiji cha Maghojoa akiwa na wajumbe na viongizi waandamizi wa Chama cha...

 

3 years ago

Michuzi

WASANII WAPENDA AMANI WAUNGANA KUPINGA MAANDAMANO YA UKUTA.

 Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wasanii wapenda Amani nchini, Asha Baraka akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya tamko lao la kuungana pamoja kupinga Maandamano ya UKUTA, Septemba 1.  Mwenyekiti wa Umoja huo, Steven Mengere (Steve Nyerere) akizungumza juu ya kupinga maandamano ya UKUTA yanayotarajiwa kufanyika  Septemba Mosi kote nchini.Mwanamziki na Malkia wa Nyimbo za Taarab, Khadija Kopa akizungumza katika mkuatano wa Kupinga maandamano ya UKUTA jijini Dar es Salaam leo.Mwanamuziki wa...

 

2 years ago

MwanaHALISI

Serikali kuanza kutumia ujuzi wa wasomi wazawa

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Tekinolojia imeahidi kutumia tafiti zinazofanywa na wanafunzi wazawa ili kugundua matatizo ya wananchi na njia za kuweza kuyatatua, anaandika Angel Willium. Serikali imetoa kauli hiyo kupitia Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Leonard Akwilapo, wakati wa madhimisho ya miaka 40 ya utafiti walioshirikiana na nchi ya Sweden na wanachuo wa Tanzania, ...

 

2 years ago

Dewji Blog

Dkt. Kijaji akitaka chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini kuwashawishi vijana kuishi vijijini

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, amekitaka Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, kuhakikisha kuwa kinajielekeza kutatua changamoto zinazokwaza maendeleo ya wananchi vijijini ili kuwafanya vijana wengi wanaokimbilia mijini kutafuta maisha waweze kubaki kwenye vijiji vyao ambavyo vitakuwa vimepangwa vizuri na kupatikana huduma muhimu za jamii

Dkt. Kijaji ametoa rai hiyo mkoani Mwanza, baada ya kukagua maonesho ya bidhaa na huduma zinazotolewa na chuo hicho katika Kituo...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani