Jimbo la Same waahidiwa maji

SERIKALI imesema kutokana na changamoto ya upungufu wa maji katika Hifadhi ya Mkomazi inaendelea kuchimba mabwawa sita ili kukidhi mahitaji, anaandika Dany Tibason. Hayo yameelezwa leo bungeni na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Ramo Makani alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Same Mashariki, Naghenjwa Kaboyoka (Chadema) ,ambaye alitaka kujua lini serikali itatatua kero ya ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

StarTV

Wakazi Ilolo waahidiwa kujengewa mradi wa maji

 

Changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji inayowakabili wakazi wa wilaya ya Kilolo mkoani Iringa imetajwa kubaki katika historia baada ya kuahidiwa ujenzi wa mradi mkubwa utakaogharimu zaidi ya shilingi bilioni mbili.

Kwa muda mrefu sasa, wakazi wa Jimbo la Kilolo hutumia muda mwingi kuipata huduma ya maji.

 

Ni hali ya kawaida kuiona mara tu ufikapo Ilula na katika vijiji mbalimbali vilivyopo katika Wilaya ya Kilolo, shida ni namna ya  upatikanaji wa huduma ya maji na kusababisha wakazi...

 

10 months ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA JUU YA UPATIKANAJI WA FEDHA SHILINGI MILIONI MIA MBILI KWA AJILI YA MAJI NA MIUNDOMBINU YA MAJI NDANI YA JIMBO LA NZEGA MJINI


Na Godfrey Robert MalemaMbunge wa Jimbo la Nzega Mjini  Mhe. Hussein Mohammed Bashe anapenda kuwataarifu umma ya kuwa tayari serikali imetoa fedha kiasi cha Shilingi Milioni Mia Mbili (Tzs 200,000,000) maalum kwa ajili ya kutatua matatizo au kero za maji na miundombinu ya maji ndani ya Jimbo la Nzega Mjini.Kupatikana kwa fedha hizi ni matokeo ya Mhe. Hussein Bashe kumuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora mwishoni mwa mwezi Julai mwaka...

 

3 years ago

Mwananchi

Wafanyabiashara waahidiwa mikataba

Mgombea udiwani katika Kata ya Ngokolo kupitia CCM, Emmanuel Mlimandago ameahidi kuwa akichaguliwa katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika nchini Oktoba 25, atahakikisha Manispaa ya Shinyanga inatoa mikataba kwa wafanyabiashara wa Soko la Majengo Mapya.

 

3 years ago

Habarileo

Waishio mipakani waahidiwa neema

MGOMBEA Urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli ameahidi kuimarisha biashara baina ya Kenya na Tanzania ili wananchi wa mipakani wanufaike na biashara hizo na kutatua kero zao, ikiwemo ukosefu mkubwa wa maji katika mji wa Tarakea, huku akiahidi kuondoa ushuru kwa biashara ndogo za mipakani.

 

4 years ago

BBCSwahili

Mfuko wa Ebola waahidiwa Afrika

Makampuni na wafanyabiashara waahidi kusaidia nchi zilizoathirika na Ebola

 

4 years ago

Michuzi

Shida ya Maji Jimbo la Chalinze kuanza kusahaulika

 Wataalam wa uchimbaji wa visima virefu vya maji,wakiendela na shughuli hiyo katika eneo la Shule ya Msingi Kwamsanja iliopo katika kijiji cha Kwamsanja ndani ya Jimbo la Chalinze, Bagamoyo mkoani Pwani.Hatua hiyo imekuwa kutokana na ahadi ya iliyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Mh. Ridhiwani Kikwete wakati wa Kampeni za Kuwania Ubunge katika Jimbo hilo. Shughuli ya upatikanaji wa Maji sasa imekamilika na kinachofuata ni ujengaji wa Tanki kubwa la kuhifadhi maji hayo,ambayo yatatatua...

 

2 years ago

Michuzi

WANANCHI WA JIMBO LA HANDENI WAMLILIA WAZIRI WA MAJI

WAZIRI wa maji Mhandisi Gerson Lwenge (pichani) ameombwa kuingilia kati na kushughulikia kwa haraka utata uliogubika utekelezaji wa mradi wa Bwawa la maji la malezi lilipo kata ya Malezi ,Mjini Handeni ambao haujaanza licha ya Benki ya Dunia kutoa shs. 740 kwa ajili ya mradi huo.
Wakizungumza katika mahojiano na wawakilishi wa vyombo vya habari waliokuwa wanafuatilia utekelezaji wa mradi huo, wakazi hao ambao wanalazimika kutembea kilometa zaidi ya 5 kufuatilia maji katika vyanzo vya maji...

 

3 years ago

GPL

JIMBO LA KOROGWE; MTO UMEPITA JIMBONI, MAJI NI SHIDA

Mbunge wa Korogwe Nasir akichangia hoja ya mafuta bungeni. Makala:Mwandishi Wetu,
BAADA ya wiki iliyopita safu hii kutembelea Jimbo la Temeke, wiki hii tupo Jimbo la Korogwe Mjini linaloongozwa na mbunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Yusuph
Abdallah Nassir. Baadhi ya wapiga kura waliozungumza na safu hii walisema matatizo mengi ya Jimbo la Korogwe yanatokana na usimamizi mbovu wa viongozi wa ngazi za juu. Wapiga kura wa...

 

2 years ago

Dewji Blog

Tatizo la maji jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza lamtesa Mabula

Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Stanslaus Mabula akifafanua jambo ofisini kwake.

Na:George Binagi-GB Pazzo @BMG

Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Mkoani Mwanza (CCM) Stanslaus Mabula amesikitishwa na baadhi ya wakazi wa jimbo hilo kukabiliwa na ukosefu wa Maji safi na salama huku baadhi ya miradhi ya maji ikichukua muda mrefu bila utekelezaji wake kukamilika kwa wakati.

Mabula ameelezea masikitiko yake baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa wakazi wa jimbo la Nyamagana, juu ya kukosa huduma ya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani