JK afungua Mkutano mkuu wa NSSf jijini Arusha leo

 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NSSF  Bwana Crescentius Magori akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete  katika viwanja vya AICC mjini Arusha ambapo alifungua mkutano Mkuu wa wadau wa NSSF leo jioni. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo muda mfupi baada ya kuwasili katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Arusha AICC mjini Arusha leo ambapo alifungua mkutano wa nne wa wadau wa NSSF.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA WADAU WA NSSF JIJINI ARUSHA LEO


Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akitoa hotuba yake ya Ufunguzi wa Mkutano wa tano wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.Mh. Pinda awewasihi wasomi nchini pamoja na watanzania  kuacha fikra ya kusubiri kuajiriwa mara wanapomaliza vyuo badala yake wajiajiri wenyewe ili waweze kukabiliana na changamoto za maisha.
Waziri wa Kazi na Ajira, Mh. Gaudencia Kabaka akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni...

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA 6 WA NSSF JIJINI ARUSHA

 Waziri Mkuu Mhe.  Kassim Majaliwa akishiriki kuimba wimbo wa taifa kabla ya kufungua Mkutano wa Sita wa Wadau wa NSSF kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Oktoba 20, 2016. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama na  kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama akizungumza   kabla ya kumkaribisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kufungua Mkutano wa Sita wa Wadau wa NSSF kwenye Kituo cha Mikutano...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA NNE WA WADAU WA NSSF JIJINI ARUSHA LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuga yake ya Ufunguzi wa Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF ulioanza leo,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.katika hotuba yake,Rais Kikwete ameitaka Mifuko ya Hifadhi za Jamii kuhakikisha inawafikia wananchi wengi ambao bado hajapata ufahamu mzuri wa umuhimu wa kujiwekea akiba. Rais wa Jamhuri ya...

 

4 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI SILIMA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI JIJINI ARUSHA LEO

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mwenyekiti wa Baraza la Usalama Barabarani, Pereira Ame Silima akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani kutoka mikoa yote nchini katika mkutano wa baraza hilo ambao unajadili masuala mbalimbali ya jinsi ya kupunguza ajali za barabarani nchini. Kulia kwa Mwenyekiti ni Katibu wa Baraza hilo ambaye pia ni Kamanda wa Kikosi cha Polisi Usalama Barabarani nchini, Mohamed Mpinga. Mkutano huo ambao unaenda sambamba na Maadhimisho ya...

 

4 years ago

Michuzi

MKUTANO WA TANO WA WADAU WA NSSF WAMALIZIKA LEO JIJINI ARUSHA

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mh. Felix Ntibenda akitoa Hotuba yake wakati wa kufunga Mkutano wa tano wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha leo.Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Ndg. Aboubakar Rajab akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Mgeni Rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mh. Felix Ntibenda ili aweze kutoa hotuba ya kufunga Mkutano wa tano wa Wadau wa Shirika la...

 

4 years ago

Michuzi

MKUTANO WA TANO WA WADAU WA NSSF WAENDELEA LEO AICC, JIJINI ARUSHA

Mwenyekiti wa Kikao cha kwanza siku ya leo katika Mkutano wa tano wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), ambaye pia ni Mjumbe wa Bodi ya Shirika hilo, Magret Ikongo akiongoza kikao hicho leo, kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.Mkurugenzi wa Mipango,Uwekezaji na Miradi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Yacoub Kidula akiwasilisha mada iliyohusu mambo ya Uwekezaji, kwenye Mkutano wa tano wa Wadau NSSF unaoendelea leo kwa siku ya...

 

1 year ago

Michuzi

DKT MWANJELWA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA TFA JIJINI ARUSHA

Na Mathias Canal, Arusha  Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Dkt Mary Mwanjelwa (Mb) leo Octoba 28, 2017 amekipongeza Chama cha Wakulima wa Tanganyika (TFA) kwa kuendelea kufungua matawi mengi nchini ya kuuza pembejeo bora za kilimo.  Mhe Mwanjelwa ametoa pongezi hizo wakati akihutubia kwenye Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Tanganyika Farmers’ association (TFA) uliofanyika katika ukumbi wa TFA Shooping Centre, Ngarenaro – Jijini Arusha.  Alisema kuwa hiyo ni ishara njema ya kuunga mkono...

 

5 years ago

Michuzi

MKUTANO WA NNE WA WADAU WA NSSF WAENDELEA KWA SIKU YA PILI JIJINI ARUSHA LEO

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akisisitiza jambo wakati wa kujibu baadhi ya maswali ya Wadau wa NSSF wanaohudhulia Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF ulioanza rasmi jana na kuendelea leo kwa siku ya pili,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha. Mwenyekiti wa Kikao cha kwanza siku ya leo,ambaye pia ni Mwenyekiti wa Shirika...

 

5 years ago

Michuzi

MKUTANO WA NNE WA WADAU WA NSSF WAENDELEA KWA SIKU YA TATU JIJINI ARUSHA LEO

 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe akiwasilisha mada yake iliyohusu Umuhimu wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii kwa Sekta zisizo rasmi wakati wa Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF unaoendelea,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.  Bi. Faustina Nti kutoka nchini Ghana akiwasilisha Mada yake yenye kueleza uzoefu wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani