JK AONGEA NA WANANCHI WILAYANI MUHEZA, AHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI MKOA WA TANGA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Mkutano wa hadhara mjini Muheza jana jioni. Rais Kikwete anatarajia kuhitimisha ziara yake ya kikazi mkoani Tanga leo. Picha na Freddy Maro. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mtoto Hassan Mustafa(13) mwenye tatizo la kudumaa muda mfupi baada ya Rais Kikwete kukagua na kuzindua maabara katika shule ya sekondari ya Potwe, wilayani Muheza 

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

Mh. Samia Suluhu aendelea na ziara ya kukagua shughuli za utunzaji wa mazingira wilayani Muheza, Tanga

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano Mh. Samia Suluhu Hassan akiweka saini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika kijiji cha UWAMAKIZI alikoenda kwenye ziara ya kukagua shughuli za utunzaji wa mazingira katika kijiji cha Bombani kilichopo wilayani Muheza mkoani Tanga. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano Mh. Samia Suluhu Hassan akiongea na baadhi ya wanakijiji wa kijiji cha Bombani wilayani Muheza mkoani Tanga alipotembelea kijijini hapo katika maadhimisho ya...

 

2 years ago

Michuzi

Mkuu wa Mkoa Wa Kilimanjaro Mhe Anna Mghwira katika ziara ya kikazi wilayani Rombo

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe Anna Mghwira Jumatano hii amefanya ziara ya kikazi wilayani Rombo. Aliianza kwa kukutana na watumishi wa halmashauri ya wilaya ya hiyo na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama kabla ya kufika kituo cha uhamiaji kati ya Kenya na Tanzania upande wa Holili.  Aliendelea na ziara ndani ya wilaya kupitia eneo la mpaka wa Kenya na Tanzania linalotajwa kama njia ya panya ya kutorosha magendo na mahindi toka Tanzania kwenda Kenya. Ziara yake ilifikia kituo...

 

2 years ago

Michuzi

MASAUNI AHITIMISHA ZIARA YAKE MIKOA YA KUSINI KWA KUTEMBELEA GEREZA LA KILIMO NA MIFUGO LAMAJANI, WILAYANI MASASI, MKOA WA MTWARA

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akipokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Masasi, Mhe. Seleman Mzee, wakati alipokuwa anawasili wilayani humo, Mkoa wa Mtwara kwa ajili ya ziara ya kikazi.   Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akiongozwa na Mkuu wa Magereza Mkoa wa Mtwara (RPO), Ismail Mlawa (kulia), kuingia Gereza la Kilimo na Mifugo Lamajani lililopo wilayani Masasi kwa ajili ya ukaguzi wa Gereza hilo ambalo lina wafungwa...

 

4 years ago

Michuzi

PROFESA MWANDOSYA AHITIMISHA ZIARA YAKE YA KIKAZI NCHINI SUDAN

Kabla ya kuhitimisha ziara yake nchini Sudan,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Profesa MArk Mwandosya alipata nafasi ya kuwa na mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Sudan,Mheshimiwa Ali Osman Mohammed Taha;kutembelea nyumba ya makumbusho ya Sudan;na kutembelea jengo la kumbukumbu la shujaa wa Sudan,al Mahdi. Waziri Mwandosya,kushoto,akimkabidhi Mheshimiwa Ali Osman Mohammed Taha,Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu,zawadi ya kinyago kutoka Tanzania.
Walio mstari...

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI MAHIGA AHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI KATIKA JAMHURI YA KOREA KWA MAFANIKIOMhe. Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki alifanya ziara ya kikazi jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 24 Aprili 2017 kwa mwaliko kutoka kwa Mhe. Yun Byung-se, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Korea. Ziara hiyo imefanyika ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 25 tangu kuanzishwa kwa mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Jamhuri ya Korea mwaka 1992.
Wakati wa ziara hiyo, Mheshimiwa Mahiga alikutana na kufanya...

 

4 years ago

GPL

YANGA YAZINDUA TAWI JIPYA WILAYANI MUHEZA, TANGA

Mashabiki wa Yanga wakiwa katika uzinduzi wa tawi lao wilayani Muheza, Tanga.…

 

3 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU NNE KATIKA MIKOA YA SINGIDA, TABORA NA SHINYANGA

Rais Dk. John Magufuli akilakiwa kwa furaha kijijini Bwanga
  wakati akienda nyumbani kwake Chato mkoani Geita, janaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewaagiza viongozi wote wa kuanzia ngazi ya Mkoa hadi Kitongoji hapa nchini kufuatilia matumizi ya fedha zinazotolewa na Serikali kwa ajili ya kutoa elimu bila malipo kwa lengo la kudhibiti mianya ya matumizi mabaya ya fedha hizo.


Rais Magufuli ametoa maagizo hayo leo tarehe 01 Agosti, 2016 katika mkutano wa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani