JK Aongoza Mahafali ya 47 ya Chuo Kikuu Dar es Salaam

 Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Shahada ya Uzamivu katika Uchumi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt. Lameck Mwigulu Nchemba katika mahafali ya 47 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam  Jijini Dar es Salaam jana Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia alikuwa amidi wa shughuli za sherehe za chuo Kikuu cha Dar es Salaam akimkabidhi mrithi wake Profesa Boniventure Rutinwa zana ya kutumikikia nafasi hiyo wakati wa mahafali ya 47 ya Chuo hicho...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

Kikwete Aongoza Mahafali ya 47 ya Chuo Kikuu Dar es Salaam

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Shahada ya Uzamivu katika Uchumi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt. Lameck Mwigulu Nchemba katika mahafali ya 47 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam jana  Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa Rwekaza Mukandara.UD2Wahitimu wa Shahada ya Sayansi ya Uzamili Katika masuala ya Jiolojia wakifurahia mara baada ya kutunukiwa rasmi shahada hiiyo katika Mahafali ya 47 ya chuo hicho...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAHAFALI YA 10 YA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU (DUCE) CHA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM


NA K-VIS BLOG/Khalfan Said
MKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete, (pichani juu), ameongoza mahafali ya kumi (10), ya Chuo kikuu kishiriki cha Elimu (DUCE)cha Chuo kikuu Dar es salaam kwenye viwanja vya chuo hicho, Chang’ombe jijini Dar es Salaam jana Novemba 15, 2017.
Katika mahafali hayo zaidi ya wanachuo 1,443 waliochukua mafunzo ya Shahada ya Elimu ya Jamii na Elimu, (BAED), Shahada ya Elimu ya Sayansi na Elimu, (Bsc) na Shahada ya...

 

2 years ago

Michuzi

SPIKA MSTAAFU WA ZANZIBAR, PANDU KIFICHO AONGOZA MAHAFALI YA NNE YA CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO (UB), KAWE JIJINI DAR ES SALAAM

Na Dotto Mwaibale
CHUO Kikuu cha Bagamoyo (UB), kimefanikiwa kutoa   falsafa ya kwanza ya  Udaktari (PHD), licha ya  changamoto ya utoaji elimu katika majengo ya kupanga kwa gharama kubwa.
Kauli hiyo imetolewa na Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Dk. Costa Mahalu kwenye mahafali ya nne yaliyofanyika leo katika viwanja vya chuo hicho, Kawe jijini Dar es  Salaam.
Alisema  katika mahafali hayo jumla ya wahitimu 499  wamefanikiwa kumaliza masomo yao kwenye fani mbalimbali, wanafunzi 45 ngazi ya...

 

1 year ago

Michuzi

MAHAFALI YA 11 YA CHUO KIKUU ARDHI (ARU) YAFANA DAR ES SALAAM


Sehemu ya Wahitimu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU) wakishangilia katika sherehe za mahafali ya chuo hicho yaliyohudhurishwa na Mkuu wa ARU, Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya jijini Dar es Salaam leo Disemba 2 2017. (Imendaliwa na Robert Okanda Blogs)

Wahitimu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU) wakifuatilia matukio katika sherehe za mahafali ya chuo hicho yaliyohudhurishwa na Mkuu wa ARU, Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya jijini Dar es Salaam leo Disemba 2 2017

Wahitimu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU)...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI AONGOZA MAHAFALI YA CHUO KIKUU CHA KAMPALA JIJINI DAR ES SALAM


RAIS mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amewataka wahitimu wa vyuo vikuu nchini kuacha tabia ya kuchagua kazi za kufanya mara baada ya kuhitimu elimu yao. Mwinyi alisema tabia hiyo imepitwa cha wakati hasa katika dunia ya sasa yenye changamoto kubwa ya ajira.
Rais Mwinyi alitoa kauli hiyo juzi wakati akizungumza na wahitimu wa kozi mbalimbali kwenye sherehe za mahafali ya nne ya Chuo Kikuu cha Kampala (KIU) cha jijini Dar es Salaam.


Alisema kitendo cha baadhi ya...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU ALHAJ ALI HASSAN MWINYI AONGOZA MAHAFALI YA CHUO KIKUU CHA KAMPALA JIJINI DAR ES SALAM

 Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiwatunuku wahitimu wa kozi mbalimbali katika mahafali ya Chuo Kikuu cha Kampala (KIU) cha jijini Dar es Salaam kwenye sherehe za mahafali. Baadhi ya wahadhiri wa chuo hicho wakiwa kwenye mahafali hayo. Baadhi  ya wahitimu wa ngazi ya digrii  kozi ya afya wakila kiapo cha uadilifu baada ya kuhitimu fani hiyo. Sehemu ya wahitimu wakiwa katika mahafali hayo.Kwa picha na habari zaidi BOFYA HAPA

 

2 years ago

CCM Blog

MZEE MWINYI KATIKA MAHAFALI YA CHUO KIKUU CHA KAMPALA JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi akiwatunuku wahitimu wa kozi mbalimbali katika mahafali ya Chuo Kikuu cha Kampala cha jijini Dar es Salaam kwenye sherehe za mahafali. Baadhi ya waadhiri wa chuo hicho wakiwa kwenye mahafali hayo. Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi (kushoto) na mgeni rasmi katika mahafali ya Chuo Kikuu cha Kampala cha jijini Dar es Salaam akiteta jambo na Makamu Mkuu wa chuo hicho, Profesa Muhammad Ndaula katika...

 

2 years ago

Michuzi

MAHAFALI DUCE YAFANA, PROF MUKANDALA AWAAGA RASMI WANA CHUO KIKUU DAR ES SALAAM

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Rais wa awamu ya nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amewatunukia wahitimu 1443 wa ngazi mbalimbali kutoka Chuo Kikuu cha Elimu Dar es salaam (DUCE) kwenye mahafali ya 10 yaliyofanyika jana Jijini Dar es Salaam.
Katika mahafali hayo Mkuu wa Chuo Dkt Kikwete aliwatunukia wahitimu hao sambamba na kutoa zawadi kwa wanafunzi nane waliofanya vizuri katika mitihani yao ya mwisho.
Rais wa Chuo Kikuu...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani