JK na mama Salma Kikwete wampa pole Mama Maria Nyerere kwa msiba wa marehemu Leticia Nyerere

 Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiongea na Mama Maria Nyerere, mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, walipomtembelea nyumbani kwake Msasani jijini Dar es salaam kumpa pole kwa kufiwa na mkwewe Marehemu Leticia Nyerere leo Jumanne Januari 12, 2016
Mama Salma Kikwete akimfariji  Mama Maria Nyerere, mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, walipomtembelea nyumbani kwake Msasani jijini Dar es salaam kumpa pole kwa kufiwa na mkwewe Marehemu Leticia Nyerere...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WATOA POLE KWENYE MSIBA WA MAREHEMU JAJI MAKAME

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweha saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu, Mheshimiwa Lewis Makame Masaki jijini Dar es salaam aliyefariki  katika Hospitali ya AMI Trauma Centre Jijini Dar es Salaam tarehe Agosti 19, 2014. Mama Salma Kikwete akiweha saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji...

 

4 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE ASHIRIKI KUAGA MWILI WA MAREHEMU JOHN NYERERE HUKO MSASAN

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitia saini kwenye kitabu cha kumbukumbu ya Marehemu John Nyerere, mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere aliyefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili tarehe 9.5.2015. Shughuli ya kuaga mwili wa marehemu John imefanyika nyumbani kwa Hayati Mwalimu Nyerere huko Msasani jijini Dar es Salaam leo.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiteta jambo na Mama Maria Nyerere mara baada ya shughuli ya kuaga mwili wa Marehemu John Nyerere huko Msasani...

 

3 years ago

Dewji Blog

Majaliwa ampa pole Mama Maria Nyerere

IMGS8903

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha Maombolezo ya kifo cha Mbunge wa zamani,Leticia mageni Nyerere wakati alipokwenda kumhani mjane wa Baba wa taifa, Mama Maria Nyerere Msasani jijini Dar es salaam Januari 12, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

IMGS8942

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa neno la faraja kwa Mjane wa baba wa taifa Mama Maria Nyerere (kulia) wakati alipokwenda nyumbani kwa Baba wa taifa, Msasani jijini Dar es salaam kuhani msiba wa Mbunge wa zamani Leticia...

 

10 months ago

VOASwahili

Mama Maria Nyerere ahudhuria maombi Siku ya Nyerere Uganda

Mama Maria Nyerere wa Tanzania akihudhuria Ijumaa Juni 1, 2018, maombi maalum kwa ajili ya Mwalimu Nyerere kabla ya maadhimisho ya Siku ya Mashahidi wa Uganda, akiwa na mwenyeji wake Rais Yoweri Museveni.

 

4 years ago

Tanzania Daima

Mama Maria Nyerere akerwa na wanasiasa wanaomkejeli Kikwete

FAMILIA ya baba wa Taifa, Hayati mwalimu Julius Nyerere, imetoa pole kwa Rais Jakaya Kikwete, kutokana na kufanyiwa upasuaji wa tezi dume. Taarifa iliyotolewa jana na kusainiwa na mbunge wa...

 

3 years ago

MillardAyo

GUMZO TANGA: Picha ya mama Maria Nyerere na Nyerere kutokezea kwenye mti (+AUDIO)

tanga PICHA

Hii ni Taarifa kutokea Tengamano Tanga ambapo imedaiwa mti aina ya muembe umetokezea taswira ya Mwalimu Nyerere upande wa kwanza na Mama Maria Nyerere upande mwingine. Tukio hilo limesemekana lilianza kujitokeza June 6 2016, millardayo.com imempata shuhuda Awadhi Ally kutokea eneo la tukio usiku wa saa tano, na ameeleza kuwa…………… >>>’ni kama muujiza fulani sio […]

The post GUMZO TANGA: Picha ya mama Maria Nyerere na Nyerere kutokezea kwenye mti (+AUDIO) appeared first on...

 

3 years ago

CCM Blog

MAMA MARIA NYERERE ATEMBELEA DARAJA LA NYERERE LEOMke wa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Maria Nyerere ametembelea Daraja la Nyerere linalounganisha eneo la Kigambaoni na Kurasini Jijini Dar es salaam na kuipongeza serikali na wananchi wote wa Tanzania kwa kufanikisha ujenzi wa Daraja hilo kubwa na la kisasa kwa nchi za Afrika ya Mashariki na Kati. Mama Maria Nyerere Atembelea Daraja La Nyerere

 

3 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AMFARIJI MAMA MARIA NYERERE KUFUATIA KIFO CHA MKWEWE MH. LETOCIA NYERERE

WAZIRI MKUU,Kassim Majaliwa amemtembelea na kuampa pole  mke wa Baba wa Taifa,  Mama Maria Maria Nyerere kwa kufiwa na mkwewe  Leticia Nyerere.
Akizungumza na mama Maria alipomtembelea nyumbani kwake jana(Jumanne, Januari 12,2016), Msasani jijini Dar es salaam, Waziri Mkuu ametoa pole kwa  Mama Maria Nyerere pamoja na familia  na kuwaomba waendelee kuwa  wavumilivu katika kipindi hiki kigumu baada ya kuondokewa na mpendwa wao.
“Kipindi hiki ni kigumu, hatuna budi kumshukuru Mungu kwa kila...

 

3 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA SHULE YA SEKONDARI J.K.NYERERE HUKO TARIME

. Mama Salma Kikwete akitoa hotua ya uzinduzi rasmi wa Shule ya Sekondari ya J.K.Nyerere katika Kijiji cha Myamwaga kilichoko Mkoani Mara.
 Mama Salma Kikwete akishirikiana na viongozi wa Mkoa wa Mara na wale wa Wilaya ya Tarime na wahisani waliojenga Shule ya J.K. Nyerere kukata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa Shule hiyo iliyoko katika Kijiji cha Nyamwaga. Mama Salma Kikwete baada ya kukata utepe hapa anakiondoa kitambaa kukamilisha sherehe ya uzinduzi rasmi wa shule hiyo.  Mke wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani