- 1 HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRILI 22,2017
- 2 Mke Wa Chameleon Adai Talaka Mahakamani
- 3 MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRIL 22,2017
SIKU KAMA YA LEO
Apr 22, 2017POPULAR ON YOUTUBE
JKT YAICHAPA MABIBO VIKAPU 78 -38 KATIKA MCHEZO WA LIGI YA RBA
Wachezaji wa JKT NA Mabibo wakipena mikono katika mchezo wa Ligi ya mchezo wa Kikapu mkoa wa Dar es Salaam RBA katika uwanja wa Gymkhana Dar es Salaam
Mchezaji wa Mabibo akijaribu kutupa mpira nje ya D katika mchezo wao wa Ligi ya Mchezo wa Kikapu iliyofanyika ya mkoa wa Dar es Salaam RBA iliyofanyika katika uwanja wa Gymkhana Dar es Salaam
Mchezaji wa timu ya JKT akitupa mpira nje ya D katika mchezo wao wa Ligi ya Mchezo wa Kikapu iliyofanyika ya mkoa wa Dar es Salaam RBA iliyofanyika katika uwanja wa Gymkhana Dar es Salaam
Mchezaji wa JKT na Mabibo wakiwania mpira katika mchezo wao wa Ligi ya Mchezo wa Kikapu iliyofanyika ya mkoa wa Dar es Salaam RBA iliyofanyika katika uwanja wa Gymkhana Dar es Salaam
Mchezo wa Mabibo akijaribu kuwatoka wachezaji wa JKT katika mchezo wao wa Ligi ya Mchezo wa Kikapu iliyofanyika ya mkoa wa Dar es Salaam RBA iliyofanyika katika uwanja wa Gymkhana Dar es Salaam
Mchezo wa Mabibo kijaribu kutupa mpira nje ya D katika mchezo wao wa Ligi ya Mchezo wa Kikapu iliyofanyika ya mkoa wa Dar es Salaam RBA iliyofanyika katika uwanja wa Gymkhana Dar es Salaam
Mchezaji wa JKT akipiga Danki kwenye ngome ya Mabibo k katika mchezo wao wa Ligi ya Mchezo wa Kikapu iliyofanyika ya mkoa wa Dar es Salaam RBA iliyofanyika katika uwanja wa Gymkhana Dar es Salaam
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 months ago
Mwanaspoti14 May
Savio, JKT Stars zamaliza Ligi bila kufungwa RBA
1 year ago
Michuzi
YANGA YAENDELEA KUTOA DOZI LIGI KUU, YAICHAPA JKT RUVU 4-0 UWANJA WA UHURU LEO.
Yanga walioanza kuona goli la JKT Ruvu dakika ya sita ya mchezo kupitia kwa Obrey Chirwa lakini umakini mbovu wa safu ya washambualiaji ulifanya wakose magoli mengi na mpaka kumalizika kwa dakika 45 za kipindi cha kwanza Yanga walitoka mbele kwa goli 1-0.
Kipindi cha pili kilianza kwa Yanga ...
3 years ago
BBCSwahili31 Aug
Nigeria mabingwa wa Afrika mchezo wa vikapu
3 years ago
TheCitizen11 Nov
JKT, Vijana cruise in RBA League
1 year ago
TheCitizen10 Feb
Savio, JKT face off in RBA opener
12 months ago
Mwanaspoti06 May
Pazi yaichakaza Mgulani JKT RBA
2 years ago
TheCitizen10 Nov
JKT steamrolls Young Stars in RBA League
3 years ago
TheCitizen15 Mar
Classy JKT too good for Savio in RBA final