JOB NDUGAI AFUNGUKA SABABU ZA KUTOMUONA TUNDU LISSU HOSPITALI....SASA ATAENDA BAADA YA KRISMAS,MWAKA MPYA
Spika wa Bunge, Job Ndugai ametoa sababu zilizomfanya ashindwe kwenda kumjulia hali mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwa katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya.

Spika huyo, ambaye amelaumiwa na Lissu kwa kushindwa kumjulia hali, amesema hali ya sintofahamu iliyojitokeza nchini humo baada ya uchaguzi mkuu ilikuwa kikwazo kwake.

Akizungumza jana na waandishi wa habari nyumbani kwake Kisasa mjini hapa, Ndugai alisema sintofahamu hiyo ilisababisha baadhi ya wanasiasa...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Malunde

KAKA WA TUNDU LISSU AFUNGUKA ALICHOKIONGEA TUNDU LISSU BAADA YA KUTOKA ICU

Kaka wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, Alute Mughwai ameeleza jinsi alivyomtoa mdogo wake chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) na kile ambacho alikisema mara tu baada ya kutoka ndani kwa mara ya kwanza.
Akizungumza na Mwananchi leo Jumatano, Alute amesema Lissu mara baada ya kutoka si yeye pekee alifurahi hata ndugu zake waliokuwapo walifurahia tukio hilo.
“Manesi walipanga kumtoa nje Jumamosi (Oktoba 14) na kwa kuwa Lissu alijua tunakwenda, aliwaeleza wasimtoe wasubiri ndugu zake...

 

11 months ago

Malunde

TUNDU LISSU AMTOLEA UVIVU SPIKA JOB NDUGAI

Mbunge Tundu Lissu amefunguka na kudai sheria ya uendeshaji wa Bunge halijaweka masharti yeyote ya kupatiwa fedha za matibabu kama alivyo tangaza Spika wa Bunge Job Ndugai hivi karibuni na wala hakuna kifungu chochote kinachozungumzia kibali cha Hospitali ya Muhimbili au cha Rais Magufuli.

Lissu amebainisha hayo usiku wa kuamkia leo kupitia ukurasa wa kijamii zikiwa zimepita takribani siku tatu tokea Spika wa Bunge, Job Ndugai kutoa ufafanuzi juu ya matibabu ya Mbunge huyo kuwa Bunge haliwezi...

 

11 months ago

Malunde

SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AZUNGUMZIA MATIBABU YA TUNDU LISSU


Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema utaratibu wa Bunge kugharamia matibabu ya Tundu Lissu unaendelea kufanyiwa kazi na ukikamilika utatolewa ufafanuzi.

Spika Ndugai ametoa kauli hiyo jana Alhamisi Aprili 5, 2018 wakati akihojiwa na Kituo cha Televisheni cha Azam ikiwa ni siku moja kupita tangu aliporejea nchini akitokea India kwa matibabu.

Lissu ambaye ni mbunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya Chadema alishambuliwa kwa risasi zaidi ya 30, Septemba 7, 2017 na kupelekwa Hospitali ya Rufaa ya...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Tundu Lissu afunguka mazito kufuatia kauli ya Spika Ndugai

Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amemkaribisha Spika wa Bunge, Job Ndugai nchini Kenya ili kumjulia hali baada ya kujeruhiwa kwa risasi Septemba 7 mwaka huu, huku akisema mwaka 2017 umekuwa wa kihistoria kwake na kwa Watanzania. Lissu ambaye pia ni Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na Mwananchi jana, na kusema amesikia alichosema Spika Ndugai lakini anachoweza kusema ni kuwa tangu alazwe Nairobi hakuna ujumbe wowote wa Bunge...

 

1 year ago

Malunde

TUNDU LISSU : MAELEZO YA NDUGAI YALIKUWA YA KUJITETEA..SABABU ZAKE ZINGEKUWA NA MASHIKO KIPINDI NAUMWA ZAIDI
 Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amemkaribisha Spika wa Bunge, Job Ndugai nchini Kenya kumjulia hali, akisema mwaka 2017 umekuwa wa kihistoria kwake na kwa Watanzania.

Lissu ambaye ni Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) amelazwa katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya anakopatiwa matibabu baada ya kushambuliwa na kujeruhiwa kwa risasi Septemba 7 katika makazi yake mjini Dodoma.

Akizungumza na Mwananchi jana, Lissu alisema amesikia alichosema Spika Ndugai na...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Tundu Lissu afunguka baada ya Lowassa kuonana na Rais Magufuli

Baada ya Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa kumtembelea Rais Magufuli Ikulu jana January 9, 2018 Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu  ambaye yupo nchini Ubelgiji kwa ajili ya matibabu ametoa mtazamo wake kuhusu suala hilo.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Lissu amepost picha inayomuonesha Lowassa akiwa Ikulu na kuandika maelezo haya; “Na hatukatai kuzungumza na Magufuli kuhusu matatizo mengi na makubwa yanayoikabili nchi yetu.”

“Lakini ni muhimu na lazima viongozi wakuu wa chama...

 

11 months ago

Zanzibar 24

Tundu Lissu atoa neno baada ya kuchaguliwa rais mpya wa TLS

Baada ya uchaguzi wa kutafuta rais katika chama cha mwakili wa Tanzania kumalizika hapo jana April 14, 2018 ambapo Wakili maarufu nchini Fatma Karume alifanikiwa kushinda katika uchaguzi huo kwa kupata kura 820 nakuchaguliwa kuwa raisi mpya wa chama  hicho.

Aliekuwa rais wazamani wa chama hicho Tundu Lissu kupitia ukurasa wake wa Instagram ametoa pongezi kwa wanachama wote wa TLS na kumtakia Rais mteule Fatma karume kheri katika majukumu mapya.

Napenda kuwapongeza wanachama wote wa Chama cha...

 

11 months ago

Zanzibar 24

Alikiba afunguka sababu za kutokutoa wimbo mpya baada ya Seduce Me

Msanii wa muziki Bongo, Alikiba amesema kuwa anafahamu kuwa mashabiki wake wanasubiria wimbo mpya.

Hata hivyo ameeleza kuwa katika ukimya wake amejitahidi kufanya mambo mengi kwa ajili yao. Moja ya vitu alivyofanya ni pamoja na kuleta bidhaa yake mpya ya kinywaji (energy drink), MOFAYA.

“Kitu ambacho naweza nikawaeleza tumefanya mambo mengi katika ukimya wangu, najua watu walikuwa wanasubiria wimbo mpya itoke lakini pamoja na hayo kuna vitu vipya nimejihusisha navyo katika biashara ambayo...

 

2 years ago

MwanaHALISI

Lissu asema Job Ndugai ”amelikoroga”

TUNDU Lissu Mbunge wa Sindiga Mashariki amesema kuwa kitendo cha Spika wa Bunge Job Ndugai, kuridhia barua ya Chama cha Wananchi (CUF),kuwafukuza uanachama wabunge wake nane kitamuumbua, anaandika Faki Sosi. Lissu akizungumza na MwanaHALISI Online Tv amesema kuwa dhamira ya Spika siyo nzuri kwa vyama vya upinzani. “Mahakama ikitoa hukumu kuwa Professa Ibrahimu Lipumba siyo ...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani