Jonny Evans: Arsenal na Man City washindania beki wa West Brom

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger anaaminika kuwa tayari kuomba klabu yake kutoa £25m kumnunua mchezaji huyo wa miaka 30 kutoka Ireland Kaskazini.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

TheCitizen

City ease past 10-man West Brom, Arsenal and Spurs win

London. Manchester City retained their slim title hopes thanks to a 3-0 win against 10-man West Bromwich Albion but Arsenal are hot on their heels after a 2-1 victory against Newcastle United in the Premier League on Saturday.

 

1 year ago

BBCSwahili

Beki wa Arsenal Kieran Gibbs kwenda West Brom

West Brom wanakaribia kukamilisha ununuzi wa beki wa kushoto wa Arsenal Kieran Gibbs, klabu ambayo imejitosa uwanjani kumtafuta Jonny Evans.

 

3 years ago

BBCSwahili

Arsenal yaichabanga West Brom

Arsenal wakicheza katika uwanja wao wa Emirate wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya West Bromwich Albion.

 

3 years ago

Bongo5

Arsenal yaifunga West Brom mabao 2-0

ligi kuu England iliendelea usiku wa Alhamis 21 April kwa michezo mmoja ulio kati ya Arsenal wakicheza katika uwanja wao wa Emirate wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya West Bromwich Albion.

article-3552487-336B097500000578-143_964x386

Mshambuliaji Alexis Sanchez ndie alikuwa shujaa wa mchezo huo baada ya kuzipasia nyavu mara mbili alianza kufunga goli la kwa katika dakika ya 6 ya mchezo kisha akifunga goli la pili kwa mpira wa adhabu katika dakika ya 38.

Katika mchezo huo timu ya Arsenal iliutawala kwa asilimia 71, huku West...

 

2 years ago

BBCSwahili

Arsenal yatwangwa na West Brom Albion

Arsenal ilipata pigo la nne katika mechi tano za ligi baada ya mabao mawili ya Craig Dawson kuisaidia West Bromwhich Albion kuilaza timu hiyo ya Arsene Wenger kwa mabao 3-1.

 

4 years ago

Mwananchi

Arsenal yazinduka, yaichapa West Brom kwao

 Mshambuliaji Danny Welbeck jana aliibuka shujaa wa Arsenal baada ya kuifungia bao la kichwa lilipoipa ushindi timu yake wa bao 1-0 dhidi ya West Bromwich.

 

3 years ago

BBC

West Brom 0-3 Manchester City

Ivory Coast's Yaya Toure inspires Manchester City to victory at West Brom as Raheem Sterling makes his debut for the visitors.

 

4 years ago

BBCSwahili

West Brom na Man U kibaruani leo

Baada ya Liverpool kupata ushindi dhidi ya Queens Park Rangers Boss wa Swansea Garry Monk amlalamikia Victor Moses

 

4 years ago

StarTV

Man Utd yaambulia sare ya 2-2 na West Brom.

Ligi kuu ya England imeendelea jana usiku ambapo Manchester United ilijikuta ikibanwa mbavu na kushindwa kufurukuta ugenini kwa Westbromwich Albion na kutoka sare ya mabao 2-2 licha kwamba ilitawala mchezo huo.

 
Mchezo huo wa pekee kwa ratiba ya ligi hiyo ulishuhudiwa Man United ikishindwa kupata walau ushindi wake wa kwanza nje ya uwanja wake wa nyumbani tangu timu hiyo iwe chini ya kocha Louis Van Gaal.

 
Ni bao la Daley Blind katika dakika za mwisho za mchezo ambalo limeiokoa Manchester...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani