Jose Mourinho afuta mpango wa kumhamisha Ronaldo

Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho amefuta rasmi mpango wa kumsajili msahambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo.

Mwanaspoti

Read more


Habari Zinazoendana

10 months ago

Mwanaspoti

JOSE VIPI?: Mkhitaryan achukia mpango wa Mourinho

NI ngumu kuwaridhisha mastaa wote kama timu yako imejaza mastaa. Kama una Zlatan Ibrahimovic, Wayne Rooney, Henrikh Mkhitaryan, Juan Mata, Paul Pogba na wengineo basi unakabiliwa na lawama kabla msimu haujafika mbali.

 

5 days ago

Mwananchi

Jose Mourinho akanusha mpango wa kumhitaji Bale msimu huu

Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho amesema hajafanya mazungumzo na Real Madrid wala kuwa na mpango wa kumsajili Gareth Bale.

 

1 year ago

MillardAyo

Jose Mourinho ameikataa ofa kutoka Syria, huu ndio mpango wa Louis van Gaal

Jose-MourinhoVan-Gaal

Kama bado unajiuliza nini kitatokea ndani ya klabu ya Man United mwishoni mwa msimu, jibu bado litakuwa gumu kupata kwa kuhisi tu, April 11 2016 mitandao ya soka barani Ulaya imeandika stori mbili kubwa ambazo ni ngumu kupata jibu kama Louis van Gaal atatimuliwa Man United mwisho wa msimu na Jose Mourinho kuchukua nafasi yake au […]

The post Jose Mourinho ameikataa ofa kutoka Syria, huu ndio mpango wa Louis van Gaal appeared first on TZA_MillardAyo.

 

7 months ago

Mwanaspoti

Mourinho afuta Krismasi Manchester

MANCHESTER, ENGLAND. WAKATI ukila pilau siku ya Krismasi na kucheza na watu wa familia yako au rafiki zako, hali haitakuwa hivyo kwa wachezaji na wafanyakazi wa Manchester United. Jose Mourinho amekuja na kiburi kingine ambacho kimetibua nyongo.

 

2 years ago

GPL

JOSE MOURINHO HAKUNAGA

Mashabiki wa timu ya Chelsea wakiwa wamebeba bango la kumsifia, Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho. LONDON, England
MWACHE Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho atembee kifua wazi na kutamba katika mitaa mbalimbali ya Jiji la London, kwani ni miongoni mwa makocha wachache wageni waliopata mafanikio England. Sifa kubwa ya kocha huyu raia wa Ureno ni maneno mengi yenye kejeli, dharau, majigambo na mambo mengine mengi ambayo hugeuka na...

 

3 years ago

BBCSwahili

Jose Mourinho matatani

Jose Mourinho ashtakiwa kwa utovu wa nidhamu.

 

8 months ago

BBCSwahili

Jose Mourinho kuadhibiwa

Chama cha soka cha nchini England FA, kimemfungulia mashitaka Meneja wa Manchester United Jose Mourinho kufuatia tukio la kupiga teke chupa za maji katika mchezo wa jumapili dhidi ya West Ham .

 

8 months ago

BBCSwahili

FA yamfungia Jose Mourinho

Chama cha soka cha England Fa kimemfungia Meneja wa Manchester United Jose Mourinho mchezo mmoja pamoja kumtoza faini ya pauni 16,000.

 

1 year ago

BBCSwahili

Machar afuta mpango wa kurejea Juba

Serikali ya Sudan Kusini imesema kuwa kiongozi wa waasi Riek Machar, amefutilia mbali mpango wake wa kurejea Juba kwa muda usiojulikana.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani