Jose Mourinho: Meneja wa zamani wa Manchester United amesema hawezi kuwa kibaraka

Meneja wa zamani wa Manchester United Jose Mourinho anasema kocha wazuri katika mpira huwa wanageuka kuwa vibaraka .

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Jose Mourinho atangazwa rasmi Meneja mpya wa Manchester United

Klabu ya Manchester United leo imemtangaza rasmi Mreno Jose Mourinho kuwa Meneja wao mpya akichukua mikoba ya Mholanzi Louis Van Gaal aliyeo tumuliwa hivi Karibuni.

34AECF0E00000578-3610263-image-m-24_1464338432802

Mourinho,54, ambaye amewahi kuvifundisha vilabu vya Porto,Chelsea,Inter Milan,Real Madrid, amesaini mkataba wa miaka mitatu kuwatumikia mashetani hao wekundu.
.
“Kuwa Meneja wa Manchester United ni heshima kubwa . Ni Klabu inayofahamika na kupendwa duniani kote” amesema Jose baada ya kukabidhiwa Mikoba

Mreno huyo ambaye ni...

 

3 years ago

Bongo5

Manchester United kumteua Jose Mourinho kuwa kocha wake mpya

Manchester United wanatarajia kumtangaza Jose Mourinho kuwa kocha wake mpya, BBC Sport imeripoti.

image

Inaaminika kuwa deal hiyo na raia huyo wa Ureno mwenye umri wa miaka 53 ilikubaliwa kabla ya ushindi wa United kwenye fainali ya kombe la FA dhidi ya Crystal Palace Jumamosi.

Ikiwa United imeshindwa kufuzu kushiriki kombe la mabingwa wa Ulaya chini ya kocha wake wa sasa, Louis van Gaal, uongozi wa Old Trafford unafikiriwa kuamua kufanya mabadiliko yanayohitajika.

Mourinho amekuwa benchi tangu...

 

3 years ago

Bongo5

Mourinho asema hana uhakika wa kuwa meneja wa Manchester United

30EF465700000578-3435446-Mourinho_said_that_he_believes_he_is_humble_despite_that_not_bei-a-30_1454833618077

Aliyekuwa kocha wa Chelsea Jose Mourinho amesema kuwa hana uhakikika wa kuwa meneja mpya wa Manchester United.
Jose-Mourinho-United-main

Mourinho ambaye alifutwa kazi na mabingwa wa ligi kuu ya Uingereza Chelsea mwezi Desemba mwaka 2015, takriban miezi 7 pekee baada ya kulinyakua kombe la ligi kuu ya Uingereza, amekuwa akihusishwa kurithi mikoba ya Van Gaal kutokana na Mholanzi huyo kupata msururu wa matokeo ya kutoridhisha ndani ya Manchester United.

Akizungumza na waandishi wa habari akiwa Singapore, Mourinho...

 

1 year ago

BBCSwahili

Jose Mourinho: Imekuwa vigumu kwa Manchester United kuwakimbiza Manchester City

City walilaza Everton 3-1 Jumamosi, na hiyo ina maana kwamba watashinda taji kwa mara ya kwanza tangu msimu wa 2013-2014 iwapo watafanikiwa kuwalaza United uwanjani Etihad wikendi ijayo.

 

3 years ago

Bongo5

Hawa ndo wasaidizi wa Jose Mourinho Manchester United

kocha mpya wa Manchester United, Jose Mourinho ameungana tena na wasaidizi wake wazamani huku msaidizi wake namba moja akiwa ni Mourinho, Rui Faria amekuwa Kocha Msaidizi wa Mashetani hao Wekundu amesha fanya nae kazi katika klabu ya Uniao de Leiria ya Ureno kama kocha wa mazoezi ya viungo na akaenda naye Chelsea mara zote mbili, Inter Milan na Real Madrid.

Wasidizi 2
Ricardo Formosinho, Carlos Lalin and Emilio Alvarez have been confirmed as members of the coaching staff

Kocha Silvino Louro, ambaye...

 

2 years ago

BBCSwahili

Jose Mourinho alalamikia mechi ya Manchester United na Middlesbrough

Meneja wa Manchester United amesema anaamini wasimamizi wa Ligi Kuu ya Uingereza hawajali maslahi ya klabu za Uingereza zinazocheza ligi kuu za klabu Ulaya.

 

3 years ago

BBCSwahili

Mourinho athibitishwa meneja mpya Manchester United

Jose Mourinho ametangaza rasmi kuwa meneja mpya wa klabu ya Manchester United baada ya mazungumzo yaliyodumu siku tatu.

 

2 years ago

BBCSwahili

Jose Mourinho: Manchester United hawako tayari kutawala EPL

Mourinho amesema Manchester United "hawako tayari kuwa timu babe" kwa sasa na mashabiki wanafaa kusahau ubabe uliokuwa na timu hiyo enzi za Sir Alex Ferguson.

 

1 year ago

BBCSwahili

Jose Mourinho: Taarifa kwamba nitaondoka Manchester United ni 'takataka'

Jose Mourinho amesema uvumi kwamba anapanga kuondoka Manchester United mwisho wa msimu ni taarifa zisizo na maana au takataka.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani