Joseph Selasini aanza kusakamwa

MBUNGE wa Chadema katika jimbo la Rombo, Joseph Selasini, naye ameanza kuonja “machungu ya utawala wa Rais John Magufuli.” Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Taarifa zinasema, jana Selasini aligundua gari yake kufunguliwa nati zote za tairi zake mbili za nyuma. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi leo Jumapili mjini Dodoma, Selasini amethibitisha kunyofolewa nati kwenye ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

CHADEMA Blog

4 years ago

Mwananchi

Maswali kumi kwa Mbunge wangu:Joseph Selasini

Uliahidi kuwa ungehakikisha soko la Holili linakamilika

 

1 year ago

CHADEMA Blog

MAELEZO YA MBUNGE WA ROMBO MHESHIMIWA JOSEPH SELASINI KUHUSU TUKIO LA KUSHAMBULIWA TUNDU LISSU

Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini ameeleza jinsi Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu alivyopigwa risasi nyumbani kwake mjini Dodoma.Selasini amesema kuwa maelezo aliyopata ni kuwa alikuwa akifuatiliwa na gari tangu anatoka bungeni na dereva wake alilishtukia. Amesema kuwa alivyoona wanamfutilia alipofika nyumbani, dereva alimsihi Lissu asishuke ndani ya gari."Hao watu walipoona hawashuki

 

1 year ago

Bongo Movies

Wolper Kaanza Kusakamwa Tena Jamani

WANADAMU hawana dogo kwani wameanza kumsakama nyota wa filamu nchini, Jacqueline Wolper, wakidai amerudia tabia ya kuvaa mavazi ya kiume ambayo yanawakera na badala yake kumtaka avae magauni marefu kwani ndio yanayompendeza.

Wolper ameonekana katika maeneo tofauti akiwa amevalia mavazi hayo ya kiume tofauti na magauni yake marefu ambayo alikuwa akitoka nayo.

Mashabiki wake hao wametoa maoni yao katika akaunti yake ya Instagram wakimsihi asirudie ya zamani kwa kuvaa mavazi ya kiume,...

 

2 years ago

Bongo5

Kisa kusakamwa na Mashabiki: Justin Bieber aifuta akaunti yake ya Instagram

Justin Bieber alitishia kuiweka akaunti yake ya Instagram private kama mashabiki wake hawataacha kumshambulia mpenzi wake, Sofia Richie.

373655EB00000578-0-image-a-6_1471328585732
Justin na Sofia

Lakini staa huyo alichukua hatua kubwa zaidi kwa kuifuta akaunti yake ya Instagram yenye followers, milioni 77.8. Awali alianza kwa kuiweka private na kubadilisha mawazo yake kuirudisha kawaida tena kabla ya kuifuta kabisa.

37475D0200000578-0-image-a-4_1471328499133

Staa huyo mwanzoni aliandika:

‘I’m gonna make my Instagram private if you guys don’t stop the hate this is getting out...

 

3 years ago

Michuzi

St. Joseph & Forodhani ALUMNI kufanyika Jumamosi hii Septemba 26, 2015 viwanja vya St Joseph Cathedral High School jijini Dar es salaam

Umoja wa wanafunzi waliosoma shule ya St Joseph convent school  ya jijini Dar es salaam iliyodumu kuanzia mwaka 1932 hadi 1969 . Na Forodhani Sekondari  ilyokuwapo kati ya 1970 hadi 2008 ( ilipotaifishwa na serikali) na baada ya hapo St Joseph Cathedral High school 2009 (baada ya kurudishwa kwa kanisa Katoliki)  hadi leo, tumeungana  na kuitwa  St. Joseph & Forodhani  ALUMNI .

St Joseph &Forodhani ALUMNI imeandaa “reunion” mkutano wa pamoja siku ya Jumamosi tarehe 26 September kwa wanafunzi...

 

3 years ago

Mwananchi

Selasini akomalia mijadala bungeni

Mbunge wa Rombo (Chadema), Joseph Selasini amesema demokrasia ya Bunge imefunikwa katika kipindi cha maswali na mijadala.

 

2 years ago

Mwananchi

Selasini aweka ubunge rehani

Mbunge wa Rombo (Chadema), Joseph Selasini amedai kuwa ikiwa mradi wa maji wa Chigongwe katika Manispaa ya Dodoma utaanza kutoa maji ndani ya siku 21 atajiuzulu nafasi ya ubunge.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani