JOTI Amwisha Pete Ya Uchumba Mpenzi Wake Wa Siku Nyingi!!!

Kwa mujibuwa mtandao wa  JF, Mwigizaji  wa vichekesho Lucas Mhuvile, almaarufu kama Joti, anayepiga kazi kwenye kampuni ya Orijino Komedi, amemvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi, ikiwa ni ishara na dalili njema kwamba safari ya kuelekea kwenye taasisi muhimu zaidi duniani ya NDOA imewadia..

Akiwa na swahiba wake wa siku nyingi, Mr. Mjuni Sylvatory a.k.a Mpoki, Joti alionekana mwenye furaha muda wote kwa kutimiza tendo hilo huku akiwa amealika watu wachache sana kuhudhuria tukio...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Prezzo amvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Michelle Oyola

Rapper kutoka Kenya Prezzo hatimaye amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Michelle Oyola ambaye amekuwa naye karibu sana siku za hivi karibuni.

Pezzo2

Prezzo ambaye pia kipindi cha nyuma aliwahi kuwavisha pete wanawake wawili wa kwanza akiwa ni mama mtoto wake Daisy na marehemu Goldie. Taarifa hii imekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii nchini Kenya ambapo wengi wanaamini kuwa huyu ndiye atakuwa mke wa Prezzo.

Kupitia mtandao wa Instagram Prezzo aliweka picha iliyoambatana na ujumbe: That rock...

 

3 years ago

Bongo5

Picha: Samuel Eto’o kafunga ndoa mpenzi wake wa siku nyingi

Mchezaji wa zamani wa Barcelona na Chelsea, Samuel Eto’o June 14 2016 hatimaye amefunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi ambaye pia ni Mama watoto wake.
Eto’o amefunga ndoa na Georgette Tra Lou katika sherehe iliyofana na kufanyika katika eneo la Stezzano nchini Italia.

Mmoja ya waliohudhuria katika ndoa hiyo ni nahodha wa zamani wa Barcelona, Carlos Puyol akiwa na mkewe.

Wedding of the former football player Samuel Eto'o with Georgette Tra Lou in Stezzano (Bergamo Province) on June 14, 2016 Pictured: Wedding of the former football player Samuel Eto'o with Georgette Tra Lou in Stezzano (Bergamo Province) Ref: SPL1301946 140616 Picture by: Fotogramma / Splash News Splash News and Pictures Los Angeles: 310-821-2666 New York: 212-619-2666 London: 870-934-2666 photodesk@splashnews.com

 

 

Samuel-Etoo-marries-long-term-partner-Georgette-Tra-Lou-in-Italy3

3544F13500000578-0-image-a-49_1465921211717

35454D8500000578-3641380-image-m-52_1465922881709

3544EE2300000578-3641380-Eto_os_former_Barcelona_team_mate_Carles_Puyol_attended_the_cere-m-60_1465923435385
Carlos Puyol na mkewe

ada-1

3545582900000578-0-image-a-51_1465922444915

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na...

 

4 months ago

Zanzibar 24

Fid Q amvisha pete ya uchumba mpezi wake

 Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Fid Q amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake.

Fid Q huyo ame-share picha kadhaa kwenye ukurasa wake wa Instagram zikionyesha hatua hiyo muhimu kuelekea kwenye maisha mapya ya ndoa.


Fid Q akiwa na mchumba wake

Itakumbukwa December 08 mwaka huu rapper kutoka kundi la Weusi, Nikki wa Pili naye pia alimvisha pete ya uchumba mpenzi wake.

The post Fid Q amvisha pete ya uchumba mpezi wake appeared first on Zanzibar24.

 

3 years ago

MillardAyo

Ujumbe wa Nick Cannon baada ya aliyekuwa mke wake Mariah Carey kuvalishwa pete ya uchumba..

Mume wa zamani wa mwanamuziki maarufu Marekani Mariah Carey, rapper na mchekeshaji Nick Cannon ameamua kutoa ya moyoni baada ya mkewe kuvishwa pete ya uchumba na mwanaume mwingine bilionea James Packer. Cannon na Mariah Carey ambao walifanikiwa kupata watoto wawili mapacha waliachana mwaka 2015 baada ya kutofautiana na kila mmoja kuendelea na mambo yake. Mariah […]

The post Ujumbe wa Nick Cannon baada ya aliyekuwa mke wake Mariah Carey kuvalishwa pete ya uchumba.. appeared first on...

 

5 years ago

GPL

BALOTELLI AMVALISHA PETE MPENZI WAKE

Mshambuliaji  wa Italia na AC Milan, Mario Balotelli akiwa na mpenzi wake, Fanny Neguesha  aliyemvisha pete. Mpenzi wa Mario Balotelli, Fanny Neguesha. MSHAMBULIAJI wa Italia na AC Milan , Mario Balotelli ametangaza kumchumbia mpenzi wake, Fanny Neguesha kuelekea mchezo wao wa ufunguzi wa Kombe la Dunia dhidi ya England mjini Manaus. Mchezaji huyo… ...

 

2 years ago

Zanzibar 24

AY amvisha pete mpenzi wake wa tangu 2008.

Rapper Ambwene Yessayah maarufu AY   Alhamisi hii amemvisha pete aliyekuwa  mchumba wake tangu mwaka 2008 hadi sasa  Remy ambaye ni raia wa Rwanda.

Hapo awali AY  alimtambulisha  mpenzi wake huyo mwezi wa Disemba mwaka jana wakati walipo kuwa wakisherehekea siku ya kuzaliwa kwa mwanadada huyo sherehe iliyohudhuriwa na watu wao wakaribu pekee.

Wahida Mbaya.

The post AY amvisha pete mpenzi wake wa tangu 2008. appeared first on Zanzibar24.

 

2 years ago

MillardAyo

U HEARD: Alichokisema Linah kuhusu mpenzi wake mpya kumvisha pete mwanamke mwingine

linah_1_lg_lrg

October 19, 2016 Soudy Brown mtangazaji wa U Heard ya Clouds FM amepiga story na msanii Linah ambaye inadaiwa anatoka kimapenzi na jamaa mmoja anaitwa Shebby. Soudy ametaka kujua kuhusu picha zilizoanza kuzagaa zikimuonesha Shebby akiwa anamvisha pete ya uchumba mwanamke mwingine. Linah amesema anajua kwamba Shebby aliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke huyo na […]

The post U HEARD: Alichokisema Linah kuhusu mpenzi wake mpya kumvisha pete mwanamke mwingine appeared first on...

 

2 years ago

BBCSwahili

Mwanamume mchina alipia sahani 5000 za chukula baada ya kupata pete ya mpenzi wake iliyopotea

Kulingana na gazeti Chongqing Morning Post, mwanamume huyo kwa jina Wang, alikuwa na nia ya kumshangaza mpenzi wake kwa kumuomba akubali kumuoa, baada ya kuchumbiana kwa mwaka mmoja.

 

4 years ago

GPL

PETE YA UCHUMBA YAMLIZA WOLPER

Staa wa filamu Bongo, Jacqueline Walper ‘Wolper’ na mchumba wake. Stori: Mwandishi wetu STAA wa filamu Bongo, Jacqueline Walper ‘Wolper’ amejikuta akitoa machozi ya furaha baada ya kuvalishwa pete ya uchumba na kijana anayedaiwa kuwa ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). ....Wakifurahia kwa pamoja. Wolper ameitundika picha yake katika mtandao wa kijamii wa Instagram, akiwa na kijana huyo anayetajwa kuwa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani