Joti kwa mbwembwe, kidogo abebwe na polisi

Msemaji wa Timu Samatta, mchekeshaji Joti aligeuka kituko uwanjani baada ya kuzidisha manjonjo yake kwa kuongeza morali katika timu yake ikishinda mabao 4-2 dhidi ya Timu Alikiba.

Kali zaidi ilikuwa baada ya timu yake kupata penalti, baada ya mchezaji Mbwana samatta kudondoshwa na Agrrey Morris kwenye eneo la hatari ndipo Joti aliingia uwanjani na kumzonga mwamuzi.

Baada ya kuingia uwanjani, mwamuzi alimtoa mpaka nje ya uwanja, lakini bado alionekana kuwa mbishi na kuingia uwanjani, ndipo...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

GPL

H MAMA AZINDUA KWA MBWEMBWE WIMBO WA ‘KIDOGO’ MAISHA CLUB DAR

H Mama akiimba kwa hisia wakati wa uzinduzi wa wimbo wake wa ‘Kidogo’ katika ukumbi wa Maisha Club jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.  H Mama ambaye jina lake halisi ni Flora Mvungi, ni mke wa mwanamuziki H Baba.…

 

4 years ago

Vijimambo

HII STORI NI YA MUDA KIDOGO LAKINI NIMEONELEA NIIWEKE HAPA NA WEWE UIPITIE KIDOGO

Kwenye picha anayepandishwa kwenye kalandinga na mkimbiajia wa marathon Deogratiua Lazaro alipomvamia mkimbiaji mbio mwenzake Fabian Joseph na kmjeruhi kwa kumuuma mkono kwa tuhuma za uchawi kwenye mashindano ya mbio za Uhuru marathoni zilizokua sehemu ya sherehe ya miaka 53 ya Uhuru .
MBIO za Uhuru Marathon msimu wa pili zilizofanyika jana kwenye viwanja vya Leaders Club, kwa kiasi fulani zilitiwa dosari kutokana na baadhi ya wanariadha kushutumiana kwa mambo ya kishirikina.

Tukio hilo la...

 

3 years ago

Channelten

NHC imezindua sera mpya ya Mnunuzi Mpangaji wa nyumba za bei nafuu kulipa kidogo kidogo

_dsc7351

Shirika la Nyumba la Taifa – NHC limezindua sera mpya ya Mnunuzi Mpangaji, ambapo inamwezesha mnunuzi wa nyumba za bei nafuu kulipa kidogo kidogo kila mwezi ndani ya miaka kumi kabla ya kukabidhiwa umiliki rasmi wa nyumba husika.

Kupitia Sera hiyo ambayo itatekelezwa kwenye mikoa 17 yenye miradi ya nyumba za gharama nafuu, mnunuzi mpangaji atahitajika kulipa malipo ya awali ya asilimia 25 ya thamani ya nyumba anayotarajia kununua na kisha kuendelea na malipo ya kila mwezi kwa miaka kumi...

 

3 years ago

MillardAyo

Polisi yasema Trafiki aliyeuwawa Kijitonyama sio yule mwenye mbwembwe

Ashrafu

Usiku wa July 22 2016 ilisambaa taarifa ya kupigwa risasi Askari wa kikosi cha usalama barabarani wa kituo cha Polisi Oysterbay Kinondoni Dar es salaam ambapo alipigwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa ni wahalifu wakati akiwa kazini katika eneo la Sayansi Kijitonyama. Kutokana na mauaji hayo kutokea kwenye eneo la Sayansi taarifa zilizosambaa mitandaoni zilianza kumuhusisha […]

The post Polisi yasema Trafiki aliyeuwawa Kijitonyama sio yule mwenye mbwembwe appeared first on...

 

4 years ago

Vijimambo

ASKARI WANNE NA RAIA WATATU NDIO WALIOPOTEZA MAISHA KWENYE UVAMIZI WA KITUO KIDOGO CHA POLISI STAKISHARI UKONGA.

Mkuu wa Jeshi la Poilisi nchini, Ernest Mangu akiongea na wanahabari mapema leo.
Askari wanne na raia watatu wamefariki Dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kituo kidogo cha Polisi cha Stakishari, Ukonga jijini Dar kuvamiwa na watu wanaosadikika majambazi.
Majambazi hao waliokadiriwa kua wanane walivamia kituo hicho mida ya saa 4 usku Jumapili July 12, 2015 usiku wa kuamkia leo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Enerst Mangu amesema lengo la majambazi hayo ilikua ni kuiba silaha zilizokuwepo...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Msanii wa kike atiwa mbaroni kwa kuonesha video akila ndizi kwa mbwembwe

Msanii wa kike wa muziki wa Pop nchini Misri ajulikanaye kwa jina la, Shyma amejikuta mikononi mwa polisi Jumamosi ya wikiendi iliyopita baada ya kuachia video ya wimbo wake mpya ujulikanao kwa jina la ‘ I have Issues’ kwa kosa la kuonekana akila tunda aina ya ndizi kwenye video hiyo kwa mbwembwe mbele ya wanaume.

Mrembo huyo kwenye video hiyo ambayo ilipata views milioni 1.2 ndani ya masaa 14 kwenye mtandao wa YouTube alionekana akila ndizi kwa mbwembwe mbele ya wanafunzi wake huku akichora...

 

4 years ago

Bongo Movies

PICHA: Joti Awakuna Wengi Kwa Mtoko Huu

Picha ya mwigizaji mkongwe wa vichekesho “KOMEDI” Lucas Mhuvile ‘Joti’  imewakuna watu wengi  na kufanya kuwa ni moja kati ya picha zinazo” TREND” mtandaoni toka jana. 

Japo kuwa Joti akiwa kama ‘Bi kiboga’ ametokelezea kiofisi zaidi, watu wengi wamejituka wakiangusha komenti nyingi wakielezea kuvunjika kwa mbavu zao kwa kicheko huku wengine wakisema mnuno wake ndio balaa na wengine wakisema skuna ndio sheedah ilimradi kila mmoja kafurahi kwa mtindo wake.

Kiukweli kabisa kijana huyu ni...

 

2 years ago

Michuzi

Multichoice yatimiza miaka 20 kwa Mbwembwe.. Ofa kabambe kwa watakaodhuria maonesho Mlimani City!


Kampuni ya Multichoice Tanzania inatimiza miaka 20 toka kuanza kutoa huduma katika soko la Tanzania. Katika Kusheherekea maadhimisho ya miaka 20, Multichoice imeandaa maonesho ya siku 2 yatakayofanyika katika ukumbi wa Mlimani City kuanzia siku ya Alhamis tarehe 19/10/2017 na Ijumaa tarehe 20/10/2017 kuanzia saa nne asubuhi hadi saa kumi na moja jioni. Katika maonesho haya utapata kushuhudia maendeleo ya Teknolojia yetu ya tangu 1997 mpaka sasa na huduma mbali mbali zitolewazo na...

 

5 years ago

Michuzi

EPZA YASAIDIA KITUO KIDOGO CHA POLISI CHA MAKUBURI KIBANGU, DAR ES SALAAM

Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa  Mamlaka ya ukanda maalumu wa uwekezaji (EPZA), Bw. Desidery Kalimwenjuma (kushoto) akimkabidhi Mkuu wa  polisi wilaya ya kimara, SP Cosmas Papalika (katikati) moja ya vifaa vitakavyotumika kwa ajili ya ukarabati wa kituo kidogo cha polisi cha Mwongozo kilichopo Makuburi Kibangu jijini Dar es Salaam.  Wengine ni afisa wa polisi, Ali Rashidi (kulia), Mkuu wa kituo cha hicho, John Haule (wa pili kulia) na Mkuu wa kitengo cha manunuzi kutoka EPZA Bw. Joseph...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani