JUKWAA LA NISHATI TANZANIA KUTOA SEMINA KWA WABUNGE

JUKWAA la Nishati Tanzania linatarajia kutoa semina kwa wabunge ili wapate uelewa wa nishati na changamoto zake, watakapokuwa wanajibu maswali ama kuuliza wafanye hivyo kwa manufaa ya taifa.

Mratibu wa Jukwaa hilo nchini ambaye ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Hudson Nkotagu alisema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu shughuli wanazozifanya.
Profesa Nkotagu alisema wanaamini wabunge wakipata uelewa kuhusu nishati pale watakapokuwa wakijadili...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Tanzania na Uholanzi waunda jukwaa la nishati

 Serikali ya Tanzania na Uholanzi zimeunda jukwaa maalum la nishati litakalowawezesha wadau wa sekta ya nishati kutoka nchi hizo kubadilishana uzoefu. 

 

2 years ago

Michuzi

PROFESA MUHONGO AZINDUA JUKWAA LA NISHATI TANZANIA

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) akifungua mkutano wa wadau wa nishati ulioambatana na uzinduzi wa Jukwaa la Nishati Tanzania (TEP) kwa niaba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu jijini Dar es Salaam tarehe 05 Aprili, 2017. Lengo la mkutano huo lilikuwa ni kujadili upatikanaji wa nishati endelevu ya kutosha kwa bei nafuu kwa ajili ya uchumi wa viwanda Tanzania.
Waziri wa Nishati na Madini,Profesa Sospeter Muhongo amesema nishati ya...

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA MGENI RASMI UZINDUZI WA JUKWAA LA NISHATI TANZANIA


Mratibu wa Jukwaa la Nishati Tanzania ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Hudson Nkotago akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam, kuhusu uzinduzi wa Jukwaa hilo utakafanyika tarehe 6 April 2017.Uzinduzi huo utafanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan.Kulia ni Mratibu wa Nishati wa...

 

3 years ago

Michuzi

TADB YAFANYA SEMINA KWA WABUNGE

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Mary Nagu (Kulia) akifungua Semina ya Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kuhusu Kuanzishwa kwa TADB na Utekelezaji wa Majukumu yake. Kushoto ni Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mwigulu Nchemba.Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mwigulu Nchemba (Aliyesimama) akizungumza wakati wa Semina ya Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kuhusu Kuanzishwa kwa TADB na...

 

2 years ago

Dewji Blog

Wabunge, wanahabari wapewa semina ya pamoja na MISA Tanzania

Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA) tawi la Tanzania kwa kushirikiana na Wakfu wa Taasisi Huru za Uwazi Afrika (OSIEA) wamewakutanisha  wabunge pamoja na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa Hazina Ndogo mjini Dodoma.

Mkutano huu ulikuwa na lengo la kuwajengea Wabunge na Wanahabari uhusiano mzuri katika utendaji wao wa kazi. Bunge na Vyombo vya Habari ni Mihimili miwili ya dola (Mmoja ukiwa Rasmi na mwingine usio Rasmi) inayotegemeana sana katika utendaji wake wa...

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AFUNGUA SEMINA YA MTANDAO WA WABUNGE AFRIKA TAWI LA TANZANIA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Semina ya Mtandao wa Wabunge Afrika Tawi la Tanzania walio katika Mapambano Dhidi ya Rushwa (APNAC). Kushoto kwa Waziri Mkuu ni Naibu Spika, Dkt. Tulia Akson na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais -Utumishi na Utawala Bora, Angela Kairuki, Kulia ni Mwenyekiti wa Mtandao wa Wabunge Tawi la Tanzania walio katika Mapambano Dhidi ya Rushwa (APNAC) Kepteni Mstaafu (MB) John Mkuchika, na Mbunge wa wa Manyoni Mashariki...

 

3 years ago

Bongo5

Mabeste aanza kutoa semina kwa wasanii wachanga

Rapper Mabeste ameanzisha semina za kuelimisha wasanii wachanga pamoja na watu wa kawaida kupitia changamoto alizozipitia katika maisha ya muziki wake. Mabeste ameiambia Bongo5 kuwa tayari ameshaanza semina hizo katika mkoa wa Morogoro. “Mimi hapa nilipofika nimeona nina mapungufu mengi ambayo yamesababisha nishindwe kufikia malengo yangu katika muda muafaka,” amesema. “Nimeona nikikaa na mtu ambaye […]

 

3 years ago

Mwananchi

Wabunge washtushwa TCRA kutumia Sh18 bilioni kwa semina

Kamati ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji (PIC) imeshtushwa baada ya kubaini Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilitumia Sh18 bilioni mwaka 2013/2014 kwa ajili ya mafunzo, semina na warsha.

 

3 years ago

Michuzi

WABUNGE WA EAC - TANZANIA WATEMBELEA THE GUARDIAN NA KUTOA WITO KWA VYOMBO VYA HABARI KUWAELEZA WANANCHI FURSA ZILIZOPO KWENYE JUMUIYA HIYO

Wabunge wa bunge la Arika Mashariki, (EALA), kutokaTanzania, wameendelea na ziara yao ya kutembelea vyombovya habari hapa nchini, ikiwa ni mkakati wa Jumuiya hiyo, kushirikisha vyombo vya habari ili kuwafahamishawananchi wa nchi hizo manufaa ya jumuiya hiyo kwao. LeoAprili 13, 2016, wabunge hao wakiongiozwa na Mwenyekiti wao Mh. Makongoro Nyerere, wametembelea kampuni ya The Guardian, wachapishaji wa magazeti ya The Guardian, Nipashe na Lete Raha, na kupata fursa ya kuelezwa shughuli...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani