JULIO ASEMA, UWEZO WA ALI KIBA SIO WA NCHI HII.

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
Kocha Jamhuri Kihwelo 'Julio' amesema kuwa uwezo wa kimpira wa msanii Ali Saleh Kiba ni wa kucheza soka la kulipwa la kimataifa nje ya nchi.
Hayo aliyasema baada ya kumalizika kwa mchezo wa hisani wa kuchangia fedha kwa ajili ya ukarabati wa miundi mbinu mashuleni uliopewa jina la NIFUATE baina ya Marafiki wa Ali kiba na Marafiki wa Mbwana Samatta.
Julio amesema kuwa, uwezo wa Ali Kiba ni mkubwa sana na mara nyingi amekuwa anamuomba amsajili katika timu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

ALI KIBA & ABDU KIBA KUWARUSHA LIVE WASHINGTON DC JUMAMOSI HII MEI 6


KWA MARA YA KWANZA SHOW YA AINA YAKE KATI YA WANA NDUGU WAWILI ALI NA ABDU KIBA ITAFANYIKA WASHINGTON DMV,JUMAMOSI HII PALE FIRE STATION 1, 8131,GEORGIA AVENUE,DOWN TOWN SILVER SPRING,VIP PACKAGE ZINAPATIKANA,FREE PARKING

 

4 years ago

Dewji Blog

Ali Kiba & Abdu Kiba kuwarusha Live Washington DC Jumamosi hii tarehe 6

KWA MARA YA KWANZA SHOW YA AINA YAKE KATI YA WANA NDUGU WAWILI ALI NA ABDU KIBA ITAFANYIKA WASHINGTON DMV,JUMAMOSI HII PALE FIRE STATION 1, 8131,GEORGIA AVENUE, DOWN TOWN SILVER SPRING, VIP PACKAGE ZINAPATIKANA, FREE PARKING.

 

4 years ago

GPL

ALI KIBA & ABDU KIBA KUWARUSHA LIVE WASHINGTON DC JUMAMOSI HII TAREHE 6‏

KWA MARA YA KWANZA SHOW YA AINA YAKE KATI YA WANA NDUGU WAWILI ALI NA ABDU KIBA ITAFANYIKA WASHINGTON DMV,JUMAMOSI HII PALE FIRE STATION 1, 8131,GEORGIA AVENUE,DOWN TOWN SILVER SPRING,VIP PACKAGE ZINAPATIKANA,FREE PARKING

 

3 years ago

Bongo5

Harmonize asema anaweza kufanya kazi na Ali Kiba, amsifia

harmonize2

Msanii wa muziki kutoka ‘label’ ya WCB, Harmonize amesema yupo tayari kufanya kazi na Ali Kiba endapo ikitokea nafasi.
harmonize2

Akizungumza katika kipindi cha 360 cha Clouds FM Ijumaa hii, Harmonize aliulizwa kama anaweza kufanya kazi na Ali Kiba kama ikitokea nafasi.

“Unajua Ali Kiba ni msanii wa Kitanzania, ni msanii mzuri pia, so kolabo ikiwa na tija nitafanya naye kwanini nisifanye naye. Sio Ali Kiba tu, msanii yeyote wa Kitanzania,” alisema Harmozine.

Pia Harmonize alisema bado hajui kama kweli...

 

3 years ago

Bongo5

Ali Kiba asema atahakikisha anafanya kazi na Master Jay na P – Funk

Ali Kiba

Staa wa muziki Ali kiba amedai anatamani kufanya kazi na producers wa Kitambo kwenye sanaa Tanzania, Master Jay wa MJ Records pamoja na P Funk Majani wa Bongo records.
Ali Kiba

Akizungumza katika kipindi cha The playlist cha Times Fm, Kiba amesema hakuwahi kufanya nao kazi ndio maana ana hamu nao sana.

“Kiukweli Master Jay na P funk natamani sana kupiga nao kazi, na naahidi kuwatafuta na kufanya nao kazi, kwa hiyo fans wangu wategemee kazi nzuri ntakazofanya nao” alisema.

Katika ‘line’ nyingine King...

 

3 years ago

Global Publishers

4 years ago

CloudsFM

‎ChekeTOUR‬ ya Ali Kiba inaanza wiki hii Kanda ya kaskazini

#‎ChekeTOUR‬ ya ‪#‎MwanaWenu‬ inaanza wiki hii - Kanda ya kaskazini ndio shughuli inaanzia.
Ijumaa hii 6.3.2015 - Moshi @ClubLaLiga
Jumamosi 7.3.2015 - Arusha @ClubTripleA
Jumapili 8.3.2015 - Namanga @BreezingPoint
Sasa mpango upo hivi - kwa heshima na taadhima @officialalikiba anaomba umpangie playlist ya ngoma zake ambazo ungependa ushuhudie akiimba siku ya show, mavazi na muda wa performance. Kwa kila mkoa watachaguliwa mashabiki watano ambayo watakuwa wameipanga vizuri show....

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani