Juma Kaseja kuikosa mechi dhidi ya Simba SC

JUM

Kocha mkuu wa Mbeya City F, Kinnah Phiri amethibitisha kuwa mlinda mlango mahiri wa kikosi chake Juma Kaseja hatakuwa sehemu ya nyota watakaoiwakililisha City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara dhidi ya Simba Sports alub uliopangwa kuchezwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

JUM

Kocha Phiri aliongea na mtandao wa Taarifa.co.tz kuwa ilikuwa waungane na kipa huyo leo asubuhi kwenye kambi ya muda mjini Morogoro lakini imemlazimu kumuongezea muda zaidi wa kukaa...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

KASEJA KUIKOSA MECHI YA SIMBA KESHOKUTWA

Mlinda Mlango wa Mbeya City, Juma KasejaKocha mkuu wa Mbeya City Fc , Kinnah Phiri amesibitisha kuwa mlinda mlango mahiri wa kikosi  chake Juma  Kaseja  hatakuwa sehemu ya nyota watakaoiwakililisha Mbeya City kwenye mchezo wa ligi kuu ya soka Tanzania  Bara dhidi ya Simba Sports club uliopangwa kuchezwa  Jumapili hii kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar.
Muda mfupi uliopita kocha Phiri ameudokeza mtandao huu kuwa ilikuwa waungane na kipa huyo leo asubuhi kwenye kambi ya muda hapa Morogoro lakini...

 

3 years ago

Habarileo

Kaseja kuikosa Simba kesho

KIPA Juma Kaseja kesho hatakuwepo kwenye kikosi cha Mbeya City kitakachocheza na Simba katika Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

5 years ago

GPL

BAO LA 3 LA SIMBA: JUMA KASEJA VS AWADH JUMA

Kipa wa Yanga, Juma Kaseja (kulia) akijaribu kuumiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Awadh Juma. ...Kaseja akiuchukua mpira.…

 

3 years ago

Bongo5

Hector Bellerin kuikosa mechi ya Arsenal dhidi ya Man Utd

Mchezaji wa klabu ya soka ya Arsenal, Hector Bellerin atakua nje ya uwanja kwa muda wa majuma manne, kufuatia majeraha ya kifundo cha mguu alioyapata wakati wa mchezo wa ligi ya nchini England dhidi ya Tottenham Hortspurs.

cxddp23xuaa7nui-jpg-large-485x340

Arsenal imethibitisha kumkosa mlinzi wake Hector Bellerin ambaye anamiaka 21 katika mchezo dhidi ya Man Utd hapo kesho.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube...

 

2 years ago

MillardAyo

Kilichosababisha Juma Kaseja aondoke Simba 2008 na kujiunga na Yanga

Inawezekana ukataka kufahami ile ishu iliyotokea mwaka 2008 ya golikipa wa Kagera Sugar Juma Kaseja kuweka rekodi ya usajili kwa kuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa ndani ya Tanzania kwa dau la Tsh milioni 36  kipindi yupo Simba na kwenda Yanga. Katika mahojiano na Sports Bar ya Clouds TV Juma Kaseja amezungumzia namna ilivyokuwa mwaka 2008 […]

The post Kilichosababisha Juma Kaseja aondoke Simba 2008 na kujiunga na Yanga appeared first on millardayo.com.

 

4 years ago

CloudsFM

Makipa wa timu ya Simba,Ivo Mapunda na Juma Kaseja watembelea Jahazini.

Kipa wa Klabu ya Simba Ivo Mapunda akizungumza kwenye kipindi cha Jahazi leo.

 

3 years ago

MillardAyo

Kocha mkuu wa Mbeya City Kinnah Phiri amethibitisha Kaseja kutocheza dhidi ya Simba

Day2Ndanda-16

Klabu ya Mbeya City ya jijini Mbeya, March 4 kupitia kwa  kocha mkuu wa timu hiyo raia wa Malawi Kinnah Phiri amethibitisha kuwa golikipa wao namba moja Juma Kaseja, hatokuwepo katika kikosi kitakachokutana na Simba siku ya Jumapili ya March 6. Kocha huyo amethibitisha kuwa Juma Kaseja ambaye pia amewahi kuichezea Simba kwa nyakati mbili […]

The post Kocha mkuu wa Mbeya City Kinnah Phiri amethibitisha Kaseja kutocheza dhidi ya Simba appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

MillardAyo

Juma Luzio na Mzamiru wameipatia Simba point tatu dhidi ya Taifa Jang’ombe

img-20170101-wa0088

Baada ya kuchezwa mchezo wa pili wa Kundi wa Kombe la Mapinduzi 2017 leo January 1, usiku wa January 1 ilikuwa ni zamu ya wekundu wa Msimbazi Simba kucheza mchezo wao wa kwanza wa Kundi A dhidi ya Taifa Jang’ombe katika uwanja wa Amaan Zanzibar. Huu ulikuwa ni mchezo wa kwanza kwa Simba lakini ulikuwa ni […]

The post Juma Luzio na Mzamiru wameipatia Simba point tatu dhidi ya Taifa Jang’ombe appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani