JUMUIYA YA KIMATAIFA IJIZATITI KUKABILIANA NA MAGONJWA YA MILIPUKO-TANZANIA

Bw. Noel Kaganda,  Afisa  Mwandamizi, Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa,  akizungumza  kwa  niaba ya Tanzania wakati Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa  lilipokutana  mwishoni mwa wiki  kujadili kuhusu ajenda ya Afya na Sera ya Mambo ya Nje.-------------------------------------------------------------------------Mwishoni  mwa wiki, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilijadili ajenda ya Afya na Sera ya Mambo ya Nje ambapo pamoja na mambo mengine lilipitisha azimio...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

CCM Blog

TANZANIA: JUMUIYA YA KIMATAIFA IJIZATITI KUKABILIANA NA MAGONJWA YA MILIPUKONA MWANDISHI MAALUM, NEW YORKMwishoni  mwa wiki, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilijadili ajenda ya Afya na Sera ya Mambo ya Nje ambapo pamoja na mambo mengine lilipitisha azimio linalotathmini utayari wa nchi wanachama kukabiliana na magonjwa ya milipuko na dharura nyingine za kiafya.
Katika mjadala huo, wazungumzaji wengi, walisisitiza   umuhimu wa kuimarishwa kwa mifumo ya afya, hususan katika nchi za kipato cha chini na cha kati zisizo na uwezo wa kutosha wa kukabiliana na magonjwa ya...

 

2 years ago

Channelten

WITO JUMUIYA YA KIMATAIFA Kuisaidia Uganda kukabiliana na wakimbizi

4bk8a78994ee93bf5y_800C450

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ameitaka wito jumuiya ya kimataifa kuisaidia Uganda kukabiliana na wimbi la wakimbizi kutoka Sudan Kusini.

Nchi kadhaa zimeahidi kutoa dola milioni 358 katika mkutano uliofanyika jana mjini Kampala, fedha ambazo ni pungufu kwa bilioni mbili ambazo Uganda iliziomba.

Taifa hilo la Afrika Mashariki kwa sasa limepokea zaidi ya watu milioni moja waliokimbia vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan Kusini, pamoja na wengine 200,000 kutoka Jamhuri...

 

1 year ago

Channelten

Kukabiliana na magonjwa ya dharura, Serikali yadhamiria kukabiliana na magonjwa ya dharura

muhim

Serikali imesema imedhamiria kukabiliana na Magonjwa ya dharura kote nchini, kwa kupeleka Madaktari Bingwa katika hospitali zote za rufaa za kanda na Mikoa na kusambaza vifaa tiba, na kwamba vifaa tiba ya dharura pia vitapelekwa kwa watalii wanaopanda mlima Kilimanjaro, ili kukabilina na majanga ya dharula ambayo yanaonekana kuuwa watu kwa muda mfupi, tofauti na magonjwa mengine.

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsi Wazee na Watoto Dk Mpoki Ulisubisya amesema haya jijini...

 

5 years ago

Michuzi

Tanzania kuungana na Jumuiya ya Kimataifa kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Hifadhi ya Tabaka la Ozoni

NA EVELYN MKOKOI,DODOMA
Serikali  imefanikisha kwa kiasi kikubwa kuondosha matumizi ya kemikali zinazomong’onyoa Tabaka la Ozoni kwa kupitia mikakati ya kitaifa ambayo ni pamoja na Kujenga uwezo wa Taasisi zinazosimamia utekelezeji wa Mkataba wa Montreal, Kuweka takwimu za kemikali hizo,Kutoa elimu kwa wadau na kwa umma wa Watanzania kuhusu umuhimu wa Tabaka la Ozoni na hatari zinazolikabili.
Hayo yameelezwa leo na Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa Raisi Mazingira Mh. Binilith Mahenge...

 

4 years ago

Habarileo

JK aongoza vikao jopo la magonjwa ya milipuko

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa linalochunguza jinsi dunia inavyoweza kujikinga na majanga ya magonjwa ya milipuko katika miaka ijayo, yuko jijini hapa kuanzia juzi usiku kwa ajili ya kuendesha vikao vya jopo hilo.

 

3 years ago

Channelten

Wakazi Ilala Hatarini Kukumbwa na Magonjwa ya Milipuko

 

uchafu

Wakati serikali ikiendelea na jitihada za kupambana na mlipuko wa ugonjwa wa Kipindupindu nchini , wakazi wa Ilala kota jijini Dar es salaam wako hatarini kupata magonjwa ya mlipuko kutokana na mfereji wa maji taka yaliyochanganyika na kinyesi cha binadamu kutiririsha maji taka katikati ya makazi ya wakazi wa eneo hilo.

Channel ten imeshuhudia maji taka yakiwa yanatiririka kwenye mfereji huo ambao inadaiwa wananchi wa eneo hilo wamejiunganishia mabomba ya maji taka ili yaweze kutiririkia...

 

3 years ago

StarTV

  Hofu ya magonjwa ya milipuko yatanda Hospitali ya wilaya Ya Hai kutokana na Vyoo Kujaa

Hofu ya kukumbwa na maradhi mbalimbali kama kipindupindu, kuhara na homa ya matumbo imetanda kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro kutokana na vyoo wanavyotumia wagonjwa hao kujaa.

Hali hiyo imeleta sintofahamu kubwa juu ya usalama wa maisha yao hasa katika kipindi hiki cha Mvua kinachoambatana na magonjwa mbalimbali ya mlipuko.

 Ni maswali ambayo wamebaki wakijiuliza baadhi ya akinamama wanaouguza watoto wao katika wodi hii .

Baada ya star tv...

 

4 months ago

RFI

Uhusiano kati ya Tanzania na jumuiya ya kimataifa matatani

Serikali ya Tanzania imelaani kile ilichokiita "propaganda inayoendelea" baada ya Marekani kuwataka wananchi wake kuwa waangalifu nchini Tanzania. Hali ambayo inaonyesha sintofahamu katika utawala wa Rais Magufuli.

 

2 years ago

Channelten

Wakaazi wa kata ya Mawe mairo wilayani babati mkoa wa manyara wapo hatarini kupatwa na magonjwa ya milipuko

download

Wakazi wa kata ya Mawe mairo wilayani babati mkoa wa manyara wapo hatarini kupatwa na magonjwa ya milipuko ikiwemo kipindupindu kutokana na kukabiliwa na tatizo la ukosefu wa maji safi na salama jambo linalopelekea wao kuchimba kwenye mchanga ili kujipatia maji kwa matumizi yao ya kila siku ikiwemo kunywa.

Channel ten imeshuhudia wakaazi wa eneo la mawe mairo wakijichotea maji katika mashimo ambayo huchimba na kusubiri maji yatoke kwa muda hviyo kulalamika kupoteza muda mwingi katika...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani