Jurgen Klopp afunga pingu za maisha na Liverpool

Licha ya kutokushinda taji lolote kwa msimu wa 2015/2016 lakini bado hilo halijawa kigezo cha wamilikiwa klabu ya Liverpool kukataa kuendelea kufanya kazi na kocha wa klabu hiyo, Jurgen Klopp.

Liverpool imetoa taarifa kuwa imemuongezea mkataba mrefu zaidi wa miaka sita kocha wake, Klopp ili aendelee kuinoa klabu hiyo mpaka mwaka 2022 maamuzi ambayo yamekuja baada ya kuibadilisha Liverpool kwa kiasi fulani japo haikwataa taji lolote lakini ilifanikiwa kufika hatua ya fainali ya Uefa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

BBCSwahili

Liverpool wawasiliana na Jurgen Klopp

Liverpool imewasiliana na wawakilishi wa Jurgen Klopp ikimtaka achukue nafasi ya meneja aliyefutwa kazi Brendan Rodgers.

 

4 years ago

BBCSwahili

Jurgen Klopp kutua Liverpool Ijumaa?

Klabu ya soka ya Liverpool imetangaza kuwa ina matumaini ya kumteua Jurgen Klopp kuwa meneja mpya wa klabu hiyo ifikapo siku ya ijumaa wiki hii.

 

4 years ago

BBCSwahili

Jurgen Klopp apewa kandarasi Liverpool

Jurgen Klopp amekubali kandarasi ya miaka mitatu kuwa mkufunzi wa kilabu ya Liverpool.

 

3 years ago

MillardAyo

Maamuzi mapya wa Jurgen Klopp ndani ya Liverpool

_90327925_klopp2

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp aliyejiunga na klabu hiyo mwezi October 2015 akitokea klabu ya Borrusia Dortmund ya Ujerumani, leo July 8 2016 ametangaza maamuzi mapya ndanni ya klabu ya Liverpool. Klopp ambaye aliingia mkataba na Liverpool wa kuitumikia klabu hiyo hadi 2018, leo July 8 2016 ametangaza maamuzi mapya baada ya kuamua kuongeza mkataba […]

The post Maamuzi mapya wa Jurgen Klopp ndani ya Liverpool appeared first on MillardAyo.Com.

 

3 years ago

MillardAyo

Jurgen Klopp kasajili nyota mpya Liverpool

Cnza7boWEAAaHSl-1024x515

Klabu ya Liverpool leo July 20 2016 imetangaza kukamilisha usajili wa beki wa kimataifa wa Estonia Ragnar Klavan, Liverpool imekamilisha usajili wa Ragnar Klavan mwenye umri wa miaka 30 kutokea klabu ya FC Augsburg ya Ujerumani. Hata hivyo klabu ya Liverpool haijataka kuweka wazi imemsajili kwa mkataba wa muda gani ila mitandao inaripoti kuwa ni mkataba wa miaka […]

The post Jurgen Klopp kasajili nyota mpya Liverpool appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

BBCSwahili

Jurgen Klopp: Liverpool itashinda ligi ya Uingereza

Mkufunzi wa Liverpool Jurgen Klopp anasema kuwa kikosi chake kinaweza kushinda ligi baada ya bahati mbaya ya msimu uliopita

 

2 years ago

BBC

Jurgen Klopp: Liverpool boss says Sadio Mane should not have been sent off

Liverpool manager Jurgen Klopp says neither he nor Manchester City boss Pep Guardiola thought Sadio Mane should have been sent off.

 

4 years ago

Bongo5

Liverpool yamteua Jurgen Klopp kuwa meneja mpya

Klabu ya Liverpool imemteua Jurgen Klopp kuwa meneja wake mpya kwa mkataba wa miaka mitatu. Klopp ambaye ni raia wa Ujerumani ana miaka 48 anachukua nafasi ya Brendan Rodgers aliyetimuliwa hivi karibuni baada ya kuhudumu katika klabu hiyo kwa miaka mitatu na nusu. Klopp anatarajiwa kuanza kazi katika klabu hiyo ya Liverpool akiwa na wasaidizi […]

 

2 years ago

BBCSwahili

Jurgen Klopp: Sikukosea kuchagua kikosi cha Liverpool FA

Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp ametetea uamuzi wake wa kuchezesha kikosi cha umri mdogo zaidi katika klabu hiyo kucheza mechi ya Kombe ya FA ambayo walitoka sare 0-0 na Plymouth.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani