Jurgen Klopp: Liverpool boss says Sadio Mane should not have been sent off

Liverpool manager Jurgen Klopp says neither he nor Manchester City boss Pep Guardiola thought Sadio Mane should have been sent off.

BBC

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Jurgen Klopp roho yake sasa ipo kwatu baada ya kumnasa Sadio Mane

Klabu ya Liverpool imemsajili mshambuliaji wa Southampton Sadio Mane kwa pauni milioni 30 kwa mkataba wa wa miaka mitano.

35C025AF00000578-3663792-image-m-51_1467114028545

35C0282300000578-3663792-Mane_moves_to_Anfield_after_two_years_with_Southampton_in_which_-m-55_1467114563070

Mane amekamilisha usajili wake wa kujiunga na Liverpool Jumanne baada ya kwenda Merseyside kufanya vipimo vya afya na pia kuketi na mtendaji mkuu wa klabu hiyo Ian Ayre kwaajili ya msalahi yake binafas na akakabidhiwa jezi namba 19.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga...

 

2 months ago

BBC

Mohamed Salah: Liverpool boss Jurgen Klopp confident forward will stay at club

Liverpool manager Jurgen Klopp says he is confident Egyptian forward Mohamed Salah will remain with the club for the long term.

 

1 year ago

Mwanaspoti

Klopp kaibuka fasta tu kuhusu Sadio Mane

KUNA watu wana utani sana. Si unajua namna Jurgen Klopp alivyomsubiri sana staa wake Sadio Mane atoke kwenye michuano ya Afcon 2017 huko Gabon ili arudi kwenye kikosi chake cha Liverpool?

 

3 years ago

BBCSwahili

Liverpool wawasiliana na Jurgen Klopp

Liverpool imewasiliana na wawakilishi wa Jurgen Klopp ikimtaka achukue nafasi ya meneja aliyefutwa kazi Brendan Rodgers.

 

3 years ago

BBCSwahili

Jurgen Klopp kutua Liverpool Ijumaa?

Klabu ya soka ya Liverpool imetangaza kuwa ina matumaini ya kumteua Jurgen Klopp kuwa meneja mpya wa klabu hiyo ifikapo siku ya ijumaa wiki hii.

 

3 years ago

BBCSwahili

Jurgen Klopp apewa kandarasi Liverpool

Jurgen Klopp amekubali kandarasi ya miaka mitatu kuwa mkufunzi wa kilabu ya Liverpool.

 

2 years ago

BBCSwahili

Liverpool yamsaka Sadio Mane

Liverpool imeanza kumwinda mshambuliaji wa Southampton Sadio Mane katika uhamisho wa kitita cha pauni milioni 30.

 

2 years ago

MillardAyo

Maamuzi mapya wa Jurgen Klopp ndani ya Liverpool

_90327925_klopp2

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp aliyejiunga na klabu hiyo mwezi October 2015 akitokea klabu ya Borrusia Dortmund ya Ujerumani, leo July 8 2016 ametangaza maamuzi mapya ndanni ya klabu ya Liverpool. Klopp ambaye aliingia mkataba na Liverpool wa kuitumikia klabu hiyo hadi 2018, leo July 8 2016 ametangaza maamuzi mapya baada ya kuamua kuongeza mkataba […]

The post Maamuzi mapya wa Jurgen Klopp ndani ya Liverpool appeared first on MillardAyo.Com.

 

2 years ago

Dewji Blog

Jurgen Klopp afunga pingu za maisha na Liverpool

Licha ya kutokushinda taji lolote kwa msimu wa 2015/2016 lakini bado hilo halijawa kigezo cha wamilikiwa klabu ya Liverpool kukataa kuendelea kufanya kazi na kocha wa klabu hiyo, Jurgen Klopp.

Liverpool imetoa taarifa kuwa imemuongezea mkataba mrefu zaidi wa miaka sita kocha wake, Klopp ili aendelee kuinoa klabu hiyo mpaka mwaka 2022 maamuzi ambayo yamekuja baada ya kuibadilisha Liverpool kwa kiasi fulani japo haikwataa taji lolote lakini ilifanikiwa kufika hatua ya fainali ya Uefa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani