Jurgen Klopp: Liverpool itashinda ligi ya Uingereza

Mkufunzi wa Liverpool Jurgen Klopp anasema kuwa kikosi chake kinaweza kushinda ligi baada ya bahati mbaya ya msimu uliopita

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Channelten

Kocha JURGEN KLOPP asema Liverpool itashinda ligi ya Uingereza

1

Mkufunzi wa Liverpool Jurgen Klopp anasema kuwa kikosi chake kinaweza kushinda ligi baada ya bahati mbaya ya msimu uliopita.

Liverpool ilianza msimu wa 2016-17 vizuri na walikuwa pointi sita pekee nyuma ya viongozi wa ligi, Chelsea ambao walitwaa ubingwa huo ambapo Januari walikuwa nafasi nzuri ya kutoa ubingwa Lakini walirudi nyuma baada ya kupata ushindi mmoja mwezi Januari na Februari kabla ya kumaliza katika nafasi ya nne pointi 17 nyuma ya Chelsea.

‘Amesema watashiriki mechi za ubingwa...

 

11 months ago

BBCSwahili

Roma 4-2 Liverpool: Jurgen Klopp asema mechi ya ligi ya UEFA ilikuwa 'wazimu'

Meneja Jurgen Klopp alieleza mechi hiyo kama ya kushangaza lakini akaongeza kwamba: "Ilikuwa kiasi inavutia zaidi - ilivutia zaidi kuliko nilivyotaka kusema kweli."

 

3 years ago

BBCSwahili

Liverpool wawasiliana na Jurgen Klopp

Liverpool imewasiliana na wawakilishi wa Jurgen Klopp ikimtaka achukue nafasi ya meneja aliyefutwa kazi Brendan Rodgers.

 

3 years ago

BBCSwahili

Jurgen Klopp kutua Liverpool Ijumaa?

Klabu ya soka ya Liverpool imetangaza kuwa ina matumaini ya kumteua Jurgen Klopp kuwa meneja mpya wa klabu hiyo ifikapo siku ya ijumaa wiki hii.

 

3 years ago

BBCSwahili

Jurgen Klopp apewa kandarasi Liverpool

Jurgen Klopp amekubali kandarasi ya miaka mitatu kuwa mkufunzi wa kilabu ya Liverpool.

 

3 years ago

MillardAyo

Maamuzi mapya wa Jurgen Klopp ndani ya Liverpool

_90327925_klopp2

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp aliyejiunga na klabu hiyo mwezi October 2015 akitokea klabu ya Borrusia Dortmund ya Ujerumani, leo July 8 2016 ametangaza maamuzi mapya ndanni ya klabu ya Liverpool. Klopp ambaye aliingia mkataba na Liverpool wa kuitumikia klabu hiyo hadi 2018, leo July 8 2016 ametangaza maamuzi mapya baada ya kuamua kuongeza mkataba […]

The post Maamuzi mapya wa Jurgen Klopp ndani ya Liverpool appeared first on MillardAyo.Com.

 

3 years ago

Dewji Blog

Jurgen Klopp afunga pingu za maisha na Liverpool

Licha ya kutokushinda taji lolote kwa msimu wa 2015/2016 lakini bado hilo halijawa kigezo cha wamilikiwa klabu ya Liverpool kukataa kuendelea kufanya kazi na kocha wa klabu hiyo, Jurgen Klopp.

Liverpool imetoa taarifa kuwa imemuongezea mkataba mrefu zaidi wa miaka sita kocha wake, Klopp ili aendelee kuinoa klabu hiyo mpaka mwaka 2022 maamuzi ambayo yamekuja baada ya kuibadilisha Liverpool kwa kiasi fulani japo haikwataa taji lolote lakini ilifanikiwa kufika hatua ya fainali ya Uefa...

 

3 years ago

MillardAyo

Jurgen Klopp kasajili nyota mpya Liverpool

Cnza7boWEAAaHSl-1024x515

Klabu ya Liverpool leo July 20 2016 imetangaza kukamilisha usajili wa beki wa kimataifa wa Estonia Ragnar Klavan, Liverpool imekamilisha usajili wa Ragnar Klavan mwenye umri wa miaka 30 kutokea klabu ya FC Augsburg ya Ujerumani. Hata hivyo klabu ya Liverpool haijataka kuweka wazi imemsajili kwa mkataba wa muda gani ila mitandao inaripoti kuwa ni mkataba wa miaka […]

The post Jurgen Klopp kasajili nyota mpya Liverpool appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

BBC

Jurgen Klopp: Liverpool boss says Sadio Mane should not have been sent off

Liverpool manager Jurgen Klopp says neither he nor Manchester City boss Pep Guardiola thought Sadio Mane should have been sent off.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani