JUST IN: IGP AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA POLISI KWA BAADHI YA MIKOA

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu amefanya Mabadiliko kwa baadhi ya Makamanda wa Polisi wa mikoa na vikosi hapa nchini.


Mabadiliko hayo ni pamoja na aliyekuwa kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro Kamishna Msaidizi Mwandamizi SACP Leonard Paul amehamishwa  kwenda kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga na nafasi yake kuchukuliwa na Kamishna Msaidizi Mwandamizi SACP Ulrich Matei aliyekuwa Mkuu wa Utawala Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.  Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Mihayo Msikhela...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Dewji Blog

IG afanya mabadiliko makubwa ya Makamanda wa Polisi kwa baadhi ya Mikoa

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu
amefanya Mabadiliko kwa baadhi ya Makamanda wa Polisi wa mikoa na vikosi hapa nchini.

Mabadiliko hayo ni pamoja na aliyekuwa kamanda wa
Polisi mkoa wa Morogoro Kamishna Msaidizi Mwandamizi SACP Leonard Paul amehamishwa
kwenda kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga
na nafasi yake kuchukuliwa na Kamishna Msaidizi Mwandamizi SACP Ulrich Matei
aliyekuwa Mkuu wa Utawala Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.  Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Mihayo...

 

11 months ago

Zanzibar 24

IGP Sirro afanya mabadiliko kwa baadhi ya makamanda, RPC Hassan Nassir ahamishiwa pemba

Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amemteua Naibu Kamishna wa Polisi, Maulid Makabila kuwa Naibu Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (D/DCI) Zanzibar, huku akifanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa polisi wa mikoa.

Kabla ya uteuzi huo, Makabila alikuwa mkuu wa kitengo cha kuzuia uhalifu makao makuu ya Polisi Dar es Salaam.

Taarifa iliyotolewa leo Alhamisi Mei 17, 2018 na msemaji wa polisi, Barnabas Mwakalukwa imeeleza kuwa katika mabadiliko hayo aliyekuwa DCI Zanzibar, Ramadhan Ng’anzi...

 

5 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: IGP MANGU AFANYA MABADILIKO KWA BAADHI YA MIKOA

Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Ernest Mangu amefanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa mikoa, wakuu wa upelelezi wa mikoa, wakuu wa usalama barabarani wa mikoa pamoja na watendaji wengine wa vikosi na vitengo mbalimbali ndani ya Jeshi la Polisi.
Miongoni mwa makamanda wa mikoa waliofanyiwa mabadiliko ni pamoja na aliyekuwa kamanda wa Mkoa wa Ruvuma Kamishna msaidizi mwandamizi (SACP) Deusdedit Nsimeki  anayekwenda kuwa kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara, Aliyekuwa kamanda wa Polisi...

 

5 years ago

Habarileo

IGP afanya mabadiliko ya makamanda Jeshi la Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest ManguMKUU wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu amefanya mabadiliko katika nafasi mbalimbali za jeshi hilo huku akifanya uhamisho kwa baadhi ya makamanda.

 

11 months ago

Malunde

IGP SIRRO AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA POLISI


Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amemteua Naibu Kamishna wa Polisi, Maulid Makabila kuwa Naibu Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (D/DCI) Zanzibar, huku akifanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa polisi wa mikoa.

Kabla ya uteuzi huo, Makabila alikuwa mkuu wa kitengo cha kuzuia uhalifu makao makuu ya Polisi Dar es Salaam.
Taarifa iliyotolewa leo Alhamisi Mei 17, 2018 na msemaji wa polisi, Barnabas Mwakalukwa imeeleza kuwa katika mabadiliko hayo aliyekuwa DCI Zanzibar, Ramadhan Ng’anzi...

 

2 years ago

Malunde

MKUU WA JESHI LA POLISI TANZANIA IGP SIRRO AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA POLISI

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Nyakoro Sirro amefanya mabadiliko ya makamanda wa polisi mikoani.
Taarifa ambayo imetolewa na msemaji wa Jeshi la Polisi   Barnabas Mwakalukwa  imesema kwamba  Sirro amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Juma Yusuf Ally kuwa Kaimu Kamishna wa Polisi Zanzibar.
Uteuzi huo unafuatia kustaafu kwa aliyekuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar Kamishna Hamdani Omari Makame kwa mujibu wa sheria baada ya kutimiza umri wa miaka sitini (60).
Kabla ya uteuzi huo DCP Juma...

 

2 years ago

Malunde

IGP SIRRO AFANYA MABADILIKO MAKAMANDA WA POLISI,RPC MULIRO WA SHINYANGA AHAMISHIWA KINONDONIMuliro Jumanne Muliro****Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Saimon Sirro, amefanya mabadiliko ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni pamoja na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Shinyanga.

Katika mabadiliko hayo, aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Suzan Salome Kaganda amekuwa Mkuu wa kitengo cha Mafao na Fidia Makao Makuu ya Polisi, na nafasi yake inachukuliwa na Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Murilo Jumanne Murilo ambaye alikuwa...

 

2 years ago

Michuzi

IGP SIRRO AKUTANA NA BAADHI YA MAKAMANDA AKIWA SAFARINI MIKOA YA KANDA YA ZIWA

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akizungumza jambo na Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Debora Magiligimba, IGP Sirro amepita mkoani Singida, akiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha pamoja na kuzungumza na askari wa Jeshi hilo Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akiweka saini katika kitabu cha wageni katika kituo cha Polisi cha Wilaya ya Manyoni...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani