Juventus ya toa ruhusa Paul Pogba kufanyiwa vipimo Man United

Klabu ya Juventus imetoa ruhusa kwa kiungo Paul Pogba kufanyiwa vipimo vya afya ili kukamilisha usajili wake kujiunga na Manchester United.

Pogba-Chelsea-gossip-584530

Pogba, 23, amekuwa akihusishwa na kuhamia Old Trafford kwa bei ya kuvunja rekodi ya dunia ya ununuzi wa wachezaji ya pauni milioni moja.

Meneja wa United Jose Mourinho alikuwa amedokeza kwamba klabu hiyo ilikuwa imekaribia sana kumpata Pogba.

Kuanzia saivi Pogba anaweza kutangazawa kama mchezaji wa Manchester United.

Tovuti ya Man United imeandika...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

Walipofikia Juventus na Man United kuhusu Paul Pogba

Paul-Pogba-GPG2

Baada ya kocha wa Manchester United Jose Mourinho kutambulishwa Old Trafford alifanya mkutano na waandishi wa habari na kuweka wazi kuwa mipango yao kwa sasa ni kusajili wachezaji wanne na kati ya hao watatu tayari wameshafanikiwa kuwasajili ila anaamini mmoja atafanikiwa kumsajili mapema pia bila kumtaja jina. July 7 2016 taarifa kutoka Italia zilizoripotiwa na Di […]

The post Walipofikia Juventus na Man United kuhusu Paul Pogba appeared first on MillardAyo.Com.

 

3 years ago

BBCSwahili

Pogba kufanyiwa vipimo vya afya Manchester United

Paul Pogba - ambaye amehusishwa na uhamisho wa pauni milioni 100 amepewa ruhusa ya kufanyiwa vipimo vya afya katika klabu cha Manchester United

 

3 years ago

BBCSwahili

Paul Pogba: Nyota anayesaka na Manchester United aitwa Juventus

Meneja wa Juventus Massimiliano Allegri amesema amemtaka mchezaji anayetafutwa sana na klabu ya Manchester United Paul Pogba afike mazoezini siku ya Jumatatu.

 

10 months ago

BBCSwahili

Fred kufanyiwa vipimo kukamilisha usajili Man United

Kiungo wa kimataifa wa Brazil, Frederico Santos maarufu kama Fred anatarajiwa kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na Manchester United wiki hii.

 

3 years ago

Dewji Blog

Man United yamalizana na Pogba, sasa yasubiriwa Juventus kuthibitisha

Kwa hakika inaonekana kuwa Manchester United imepania kumrudisha mchezaji wake wa zamani, Paul Pogba baada ya taarifa kutoka kuwa tayari Manchester United imefikia makubaliano ya mshahara ya Pogba.

Taarifa hizo zinaeleza kuwa Pogba amefikia makubaliano na Manchester United ya kulipwa Pauni 220,000 kwa wiki baada ya kuwa imekatwa kodi ikiwa ni tofauti ya Pauni 190,000 anayochukua kwa sasa Juventus ya Pauni 30,000.

Jumanne ya Julai, 19 zilitoka taarifa kuwa Manchester United imetuma ofa ya...

 

3 years ago

MillardAyo

Wakala amesitisha mpango wa Pogba kufanya vipimo vya afya Man United, kisa?

Screen-Shot-2016-07-26-at-17.23.45

Gazeti la Hispania la AS leo July 26 2016 limeandika stori mpya kuhusiana na kiungo wa kimataifa wa Ufaransa anayeichezea Juventus Paul Pogba kujiunga na Man United ya England, AS wameripoti kuwa Pogba alikuwa afanyiwe vipimo vya afya leo ila wakala wake Mino Raiola amesitisha zoezi hilo. Mino Raiola anaripotiwa na gazeti la AS kusitisha […]

The post Wakala amesitisha mpango wa Pogba kufanya vipimo vya afya Man United, kisa? appeared first on millardayo.com.

 

10 months ago

BBCSwahili

Chimbuko la mchezaji wa Man United na Ufaransa Paul Pogba

Paul Pogba alianza kuvutia klabu kadhaa kabla ya ya kufikisha umri wa miaka 17 alipoondoka nyumbani na kujiunga na Manchester United kutoka klabu ya Ufaransa ya Le Havre.

 

3 years ago

MillardAyo

PICHA 6: Paul Pogba alivyowasili Man United na mama yake

36FFE1B600000578-3729304-Paul_Pogba_has_arrived_in_England_ahead_of_his_medical_with_Manc-a-48_1470655935936

Kiungo wa kimataifa wa Ufaransa aliyekuwa anaichezea klabu ya Juventus ya Italia Paul Pogba August 8 2016 aliwasili katika klabu ya Man United kwa ajili ya kukamilisha usajili wake utakaoweka rekodi ya dunia, Pogba amewasili katika uwanja wa mazoezi wa Man United. Pogba amewasili katika uwanja wa AON unaotumiwa na Man United kwa ajili ya […]

The post PICHA 6: Paul Pogba alivyowasili Man United na mama yake appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Real Madrid wanavyovuruga dili la Paul Pogba kujiunga na Man United

Paul-Pogba-key-visual

Bado July 27 2016 mitandao ya soka Ulaya imeandika headlines za usajili za kiungo wa kimataifa wa Ufaransa anayeichezea klabu ya Juventus ya Italia Paul Pogba kuhusishwa kujiunga na Man United, dili la Pogba kujiunga na Man United lilikuwa linatarajiwa kukamilika kabla hata la Gonzalo Higuain kujiunga na Juventus. Man United wametuma ofa ya pound […]

The post Real Madrid wanavyovuruga dili la Paul Pogba kujiunga na Man United appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani