JWTZ YATOA TAARIFA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU PT.NSEVILWE NZOWA


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

TAARIFA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI (MSTAAFU) ROLAND MAKUNDA
JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIAKURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO Simu ya Upepo   : “N G O M E”          Makao Makuu ya Jeshi,Simu ya Mdomo : DSM  22150463      Sanduku la Posta 9203,Telex                     : 41051                       DAR ES SALAAM, 20, October, 2014Tele Fax                : 2153426Barua pepe       : ulinzimagazine@yahoo.co.ukTovuti                  : www.tpdf.mil.tz                  Taarifa kwa Vyombo vya Habari Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania linapenda...

 

4 years ago

Michuzi

Taarifa ya Kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Muhidini Mfaume Kimario

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limepokea mwili wa Marehemu Meja Jenerali Muhidini Mfaume Kimario (Mstaafu) kutoka nchini India leo tarehe  09 Oktoba, 2014 katika uwanja wa Kimataifa wa Mwl JK Nyerere Dar es salaam,mwili wa marehemu umewasili kwa Shirika la ndege la Ethiopia saa 7:30 mchana.  
Mwili wa marehemu utaagwa kesho tarehe 10 Oktoba, 2014 saa 4:00 asubuhi katika viwanja vya hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo na baadaye mwili utasafirishwa kwenda kwao Moshi, Mkoa wa...

 

3 years ago

Michuzi

RATIBA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU DADA JESSIE CHIUME.

Ratiba kamili ya kuaga mwili wa mpendwa Da Jessie ni kama ifuatavyo.1. Kuanzia Jumatatu tutaendelea kujumuika nyumbani kwa marehemu, 44 Fleetwood Ave, Mt. Vernon, NY, 10552
2. Jumatano, Machi 2, 2016Flynn Memorial Home,1652 Central Park Avenue,Yonkers, NY 10710.Tel: 914-963-5178
Heshima za mwisho (Viewing): 4pm-7pm
Ibada (Service): 7pm-8pmBaada ya shughuli kumalizika, tutatoa tangazo la wapi pa kukusanyika usiku huo kwa wale ambao watataka kujumuika na wafiwa.
Mwili wa Marehemu unatarajiwa...

 

3 years ago

Michuzi

MAMIA WAJITOKEZA KUAGA MWILI WA MAREHEMU ELIZABETH MAYEMBA.

Mamia ya Waombolezaji wajitokeza kuaga mwili wa mwandishi wa Habari za Michezo wa Gazeti la Majira marehemu, Elizabeth Mayemba nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam. Mwili huo utasafirishwa leo kwenda mkoani Morogoro kwa mazishi.
Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu ya Simba, Haji Manara akiaga mwili wa marehemu Elizabeth Mayemba nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam leo.Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Club ya Yanga, Jerry Muro akiaga mwili wa marehemu Elizabeth...

 

5 years ago

GPL

WAZIRI MKUU AONGOZA MAMIA KUAGA MWILI WA MAREHEMU TUPPA

Viongozi Dini wakiongoza ibada ya kuuaga mwili wa Marehemu John Gabriel Tupa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara na hapo awali aliwahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma,aliefariki ghafa siku kadhaa zilizopita. Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Marehemu John Gabriel Tupa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara na hapo awali aliwahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya… ...

 

2 years ago

Ippmedia

Simanzi zatawala Bungeni wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Samwel Sitta.

Simanzi imetawala katika ukumbi wa Bunge baada ya mwili wa Spika Mstaafu Marehemu Samweli Sitta kuingizwa ndani ya ukumbi huo ili wabunge waweze kutoa heshima zao za mwisho, huku baadhi ya viongozi akiwemo Spika wa Bunge, Waziri Mkuu na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani bungeni wakitoa salaam zao za rambirambi.

Day n Time: IJUMAA SAA 2: 00 USIKUStation: ITV

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani