JWTZ WATUMIA NDEGE YA ATCL KUSAFIRISHA WAPIGANAJI KUISHIRIKI ULINZI WA AMANI DARFUR

Na Luteni Selemani SemunyuMaafisa na Askari wa jeshi la Ulinzi la wananchi wa Tanzania (JWTZ), wanaoshiriki Ulinzi wa Amani katika  Jimbo la Darfur nchini Sudan kwa Mara ya kwanza  kwa kipindi cha Miaka 10 ya Ulinzi wa Amani Jimboni humo wametumia Ndege ya Shirika la Ndege ya  Serikali ya ATCL ikiwa ni kuunga mkono jitihada za Mhe Rais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu katika  kulifanya Shirika hilo linapiga hatua zaidi kwa maslahi ya Shirika na Taifa kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AONGOZA KUAGA MIILI YA ASKARI 14 WA JWTZ WALIOUAWA WAKIWA KWENYE OPERESHENI YA ULINZI WA AMANI CHINI YA UMOJA WA MATAIFA NCHINI DRC

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa askari 14 wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania  (JWTZ) waliouawa wakiwa katika operesheni ya ulinzi wa amani chini ya Umoja wa Mataifa nchini Congo - DRC, kwenye viwanja vya Makao Makuu ya JWTZ, Upanga jijini Dar es salaam akimwakilisha Rais John Pombe Magufuli, Desemba 14, 2017.
 Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza kwenye viwanja vya Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Upanga jijini Dar es salaam...

 

2 years ago

Michuzi

MASAUNI ATEMBELEA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA ABEID AMANI KARUME, AAGIZA VYOMBO VYA ULINZI KUDHIBITI UINGIAJI DAWA ZA KULEVYA

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Maafisa wa Idara ya Uhamiaji Zanzibar, wakati wa ziara ya kukagua udhibiti wa uingiaji wa Dawa za Kulevya Visiwani humo, huku akiagiza vyombo vya ulinzi na usalama kushirikiana kudhibiti madawa hayo ambayo yanaharibu nguvu kazi ya Taifa.Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Hamdan Omar Makame, akitoa taarifa za utekelezaji wa zoezi la kudhibiti Dawa za Kulevya Visiwani humo kwa Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya...

 

5 years ago

Michuzi

SERENA HOTEL YAKABIDHI MSAADA WA VYANDARUA NA MAJI KWA JWTZ KWAAJILI YA WAATHIRIKA WA VITA DARFUR

Mkurugenzi wa masoko wa Hoteli ya Dar es Salaam Serena,Bw. Seraphin Lusala akimkabidhi vyandarua kwa Mkuu wa Tiba wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ),Meja Jenerali AS Mwabulanga wakati wa hafla fupi ya kukabidhi misaada ya vyandarua na maji,vitakavyokabidhiwa kwa waathirika wa vita huko Darfur ambapo misaada hiyo itatolewa na Jeshi letu la kulinda amani huko Darfur,ikiwa ni katika kusherehekea sikukuu ya Muungano wa Tanzania.Kushoto anayeshuhudia ni Mkurugenzi wa Operesheni za Ulinzi...

 

12 months ago

Michuzi

MAFURIKO SAME YAKATA MAWASILIANO YA MIOUNDO MBINU ,WANACHI WATUMIA MITUMBWI NA TREKTA KUSAFIRISHA MALI ZAO

Katibu Tawala mkoa wa Kilimanjaro,Aisha Amour (aliyenyoosha mkono) akiwa na baadhi ya Wajumbe wa kamati ya Maafa  ya mkoa wakiwa eneo la Ruvu Darajani ambako magari yanaishia baada ya miuondo mbinu ya barabara kujaa maji .Moja ya barabara ambayo ilikuwa ikitumiwa na wakazi wa maeneo ya Ruvu Muungano na Darajani ikiwa imejaa maji na kusababisha adha kwa wasafiri. Baadhi ya wananchi wakijaribu kuyahama makazi yao baada ya nyumba zao kuzingirwa na maji katika Vijiji vya Ruvu  Marwa na  Ruvu...

 

2 years ago

Dewji Blog

ATCL kusafirisha wanamichezo wa Taasisi ya Lohana Mahajan Kisumu nchini Kenya

Mwenyekiti wa Taasisi ya Kidini ya Lohana Mahajan Bw.Navin Kanabal (pichani juu) akitia saini katika moja ya nyaraka wakati taasisi hiyo ilipokabidhiwa tiketi za Shirika la Ndege la ATCL kwa ajili ya safari ya wachezaji wake kwenda Kisumu Nchini Kenya ambapo tarehe 23 /12/ 2016 huu jumla ya wachezaji 49 watasafiri wa kwa ndege ya shirika hilo kwa ajili kushiriki tamasha la michezo ambalo litafanyika nchini humo na kurejea tarehe 27/12/2016.

Akizungumza katika makabidhiano hayo ya tiketi...

 

2 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA (ATCL ) AMERIZISHWA NA MATENGENEZO YA UWANJA WA NDEGE WA SONGEA MKOANI RUVUMA

Mkurugenzi mkuu wa shirika la ndege Tanzania ATCL LADISLAUS MATINDI, amerizishwa na matengenezo ya uwanja wa ndege ulipo songea mkoani Ruvuma, kwa ajili ya kuanza kutoa huduma za safari toka SONGEA hadi DAR ES SALAAM.

 

5 years ago

Michuzi

MAZUNGUMZO NJIA PEKEE YA KUREJESHA AMANI YA KUDUMU DARFUR- GEN-MELLA

Jenerali Mella, Kamanda wa Jeshi la UNAMID akibadilisha mawazo na Balozi Mwinyi, ambapo pamoja na mambo mengine, amesema wanajeshi kutoka JWTZ ambao ni sehemu ya UNAMID wameendelea kuonesha weledi na kujituma kwa hali ya juu katika eneo la ulinzi wa amani, ulinzi wa raia na usimamiaji wa misaada ya kibinadamu. Akasema kutokana na mapingano ya kikabili yanajitokeza mara kwa mara, na kuwa sehemu kubwa ya mapigano hayo yamekuwa yakitokea katika maeneo zilipo kambi za...

 

5 years ago

Michuzi

UNAMID yasema kujumuishwa kwa waasi wa zamani wa JEM-SUDAN ni dalili za amani Darfur

Wiki hii imekuwa njema kwa mustakabali wa jimbo la Darfur ambalo kwa muda mrefu limeshuhudia mgogoro wa wenyewe kwa wenyewe. Hizi ni taarifa za kujumuishwa kwa waasi wa zamani wa kikundi cha JEM-SUDAN kwenye jeshi la kitaifa nchini Sudan kufuatia hatua ya kikundi hicho kutia saini makubaliano ya Doha kuhusu amani Darfur.
Kwa mujibu wa Ujumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika huko Darfur, UNAMID umesema hilo ni kundi la kwanza kutoka takribani askari 2700 ambao hatimaye...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani