Kabla ya kuuanza mwaka mpya, kutana na video ya matukio ya soka ya kuchekesha kwa mwaka 2015 …

Mtu wangu wa nguvu najua tunaelekea kuuaga mwaka 2015 na kuingia mwaka mpya 2016. Kaabla ya kumalizika mwaka 2015 naomba nikusogezee video ya matukio ya kuchekesha katika soka yaliyotokea kwa mwaka 2015. Katika hii video kuna matukio ya Pep Guardiola na Frank Ribery. Jamaa kumbiss Zlatan Ibrahimovic. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka […]

The post Kabla ya kuuanza mwaka mpya, kutana na video ya matukio ya soka ya kuchekesha kwa mwaka 2015 … appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

Kutana na video ya mkusanyiko wa chenga 20 za maudhi kwa mwaka 2015 za Neymar wa FC Barcelona …

Bado siku chache tu mtu wangu wa nguvu tuumalize mwaka 2015 na kuingia mwaka 2016, kuna mengi yametokea kwa mwaka 2015 katika tasnia tofauti tofauti, siku sita zimebakia ili kuweza kufikia mwaka mpya 2016 ila katika soka naomba nikusogezee video ya chenga 20 za maudhi za staa wa soka wa Brazil anayekipiga katika klabu ya […]

The post Kutana na video ya mkusanyiko wa chenga 20 za maudhi kwa mwaka 2015 za Neymar wa FC Barcelona … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Jikumbushe matukio ya kuchekesha katika soka 2016

1280x720-v1h

Mtu wangu wa nguvu ambaye bado unasubiri michezo ya leo October 19 2016 ya UEFA Champions League, sio mbaya ukijikumbusha na matukio madogo madogo ambayo yanachekesha katika soka, naambiwa haya yote yametokea mwaka 2016. ALL GOALS: Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1

The post VIDEO: Jikumbushe matukio ya kuchekesha katika soka 2016 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Bongo5

Tanesco kuuanza mwaka mpya na bei juu za umeme

Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (EWURA) imetangaza ongezeko la bei ya umeme kwa wastani wa asilimi 8.5.


Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta ‘EWURA’ Felix Ngamlagosi.

Akizungumza Ijumaa hii na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta ‘EWURA’ Felix Ngamlagosi alisema baada ya EWURA kufanya uchambuzi wake haikuona sababu ya kuongeza kwa asilimia 18.19 badala yake ikapunguza hadi wastani wa...

 

3 years ago

Michuzi

Video ya Matukio ya mwaka 2015 katika Umoja wa Mataifa

2015 – mwaka uliosheheni matukio ya aina yake na picha za kutisha: Maiti ya mtoto mdogo wa kiume akisombwa hadi ufukweni, kiashiria cha janga la wakimbizi Milioni 60: wananchi wa Paris, Beirut na Nairobi wakikmbia mashambulizi ya kigaidi, na nchi zilizosalia magofu kutokana na mapigano yasiyoisha. 
Matukio ya mwaka 2015, yanakumbusha changamoto ambazo Umoja wa Mataifa umekumbana nazo katika miaka 70 ya tangu kuanzishwa kwake- lakini yanatupatia muhtasari wa mafanikio yatokanayo na...

 

2 years ago

MillardAyo

TOP10: Matukio 10 ya kukumbukwa katika soka kwa mwaka 2016

top-10-stories

Kabla mwaka 2016 haujaisha na kuingia mwaka 2017 kuna mambo mengi ya kukumbuka katika soka kwa mwaka 2016, kama ni mfuatiliaji wa mchezo wa soka najua kuna habari nyingi sana ambazo zimepita na inawezekana zimeacha kumbukumbu katika kichwa chako, millardayo.com inakusogezea baadhi ya matukio 10 ya kukumbukwa kwa mwaka 2016. 1- November 29 2016 moja […]

The post TOP10: Matukio 10 ya kukumbukwa katika soka kwa mwaka 2016 appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Global Publishers

Baadhi ya Matukio ya Kukumbukwa kwa Mwaka 2015

1.Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dk.Jakaya Kikwwete akisalimiana na Rais wa Uganda , Yoweri Mseven baada ya kumaliza mda wake.Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais wa Uganda, Paul Kagame baada ya kumaliza muda wake.2.Mama Salma Kikwete (katikati) akisalimiana na mmewe,Dk.Jakaya Mrisho Kikwete baada ya kuachia kijiti cha uraisiMama Salma Kikwete (katikati) akisalimiana na mumewe, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete  mara baada ya kuachia kijiti cha uraisi3.Jeshi la ulinzi la Tanzania lilivyopendeza siku hiyo ya Novemba 5,2015.Jeshi la ulinzi la Tanzania lilivyopendeza siku ya kuapishwa kwa Rais Magufuli Novemba 5, 2015.4.Tukio la maji kuja daraja la jangwani kipindi cha mvua mwezi Februari 2015.Tukio la maji kujaa katika daraja la Jangwani kipindi cha mvua mwezi Februari 2015.

5.Raisi wa awamu ya tano wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Dk. John Pombe Magufuli alivyoapishwa.Raisi wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe...

 

3 years ago

Michuzi

MATUKIO MAKUBWA YA MUZIKI WA DANSI NCHINI KWA MWAKA 2015

BENDI MPYA•Tarehe 31-Jan-2015, BMM Classic Band, ilizinduliwa katika ukumbi wa BMM Mwenge, opposite TRA.•Tarehe 21-Feb-2015,  JJ Band yazinduliwa katika ukumbi wa. JJ Band ni bendi dada ya Skylight Band itakayokuwa inatumbuiza mjini Mwanza katika hotel ya Jembe ni Jembe Resort. •Tarehe 06-Mar-2015 (Ijumaa), Ruby Band ilitambulishwa rasmi katika ukumbi wa Coco Beach Pub ambapo pia ilizindua video ya wimbo mpya wa “Noma”.•Tarehe 18-Jul-2015 (Jumamosi), Stars Band yazinduliwa katika ukumbi wa...

 

3 years ago

MillardAyo

Haya ndio matukio 10 ambayo yatateka hisia za watu wengi wa soka kwa mwaka 2016

Tayari tumemalizana na mwaka 2015 na sasa tupo katika mwaka 2016, kila mtu anapanga mipango yake katika huu mwaka kuhakikisha kila kitu chake kinatimia. Wakati watu wakiwa wanapanga mipango yao hiyo, katika soka haya ndio matukio 10 ambayo watu wa soka wanasubiri kuyaona yakitokea kwa mwaka 2016. 1- Tuzo ya mchezaji bora wa Dunia Ballon […]

The post Haya ndio matukio 10 ambayo yatateka hisia za watu wengi wa soka kwa mwaka 2016 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

Michuzi

KANUNI MPYA ZA HUDUMA ZA ZIADA ZA MWAKA 2015 ZA SHERIA YA MAWASILIANO YA KIELEKTRONIKI NA POSTA YA MWAKA 2010

 Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Sayansi na TekinolojiaPriska Olomi (kushoto) , akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) Dar es Salaam leo, kuhusu kutungwa kwa kanuni za huduma za ziada kwa makampuni ya simu nchini zitakazo walinda watumiaji wa huduma hizo,kulia ni Mkuu wa kitengo cha Sheria wa Wizara hiyo,Veronika Sudayi. (Picha na Hassan Silayo).
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KANUNI MPYA ZA HUDUMA ZA...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani