KAGERA SUGAR, JKT RUVU WATOSHANA NGUVU KAITABA KWA SARE YA 0- 0

Na Faustine Ruta, BukobaLigi Kuu Vodacom imeendelea tena Jumamosi na katika Uwanja wa Kaitaba tukishuhudia Timu ya Kagera Sugar ikitoka sare tasa ya 0-0 dhidi ya Timu ya JKT Ruvu inayoshikilia nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa Ligi kuu Vodacom msimu huu. 
Kikosi cha Timu ya JKT Ruvu kinachonolewa na Kocha wa zamani wa Simba, Kagera Sugar, Ashanti United na sasa JKT Ruvu King Kibadeni' kilionekana kukosa mbinu kuifunga Timu ya Kagera Sugar kipindi cha pili baada ya kuonekana kuwa na nguvu kwa...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

KAGERA SUGAR V/S JKT RUVU WATOSHANA NGUVU KAITABA KWA SARE YA 0-0

Kikosi cha Timu ya JKT Ruvu kilichoanza kupambana na Timu ya Kagera Sugar.Kikosi cha Timu ya Kagera Sugar kilichoanza dhidi ya Timu ya JKT Ruvu leo kwenye Uwanja wa Kaitaba Mjini Bukoba na kutoshana nguvu kwa kutoka sare ya 0-0.Mchezaji wa JKT Ruvu Hassan Dilunga akiwa chini ya ulinzi wa Wachezaji wa Kagera Sugar.Rashid Mandawa mchezaji wa zamani wa Kagera Sugar akijiandaa kuingia wakati wa kipindi cha pili cha mchezo huo kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu...

 

2 years ago

Michuzi

VPL: KAGERA SUGAR 1 vs 1 RUVU SHOOTING, VENANCE LUDOVIC AOKOA JAHAZI KAITABA LEO.

Na Faustine Ruta, Bukoba.

Timu ya soka ya Kagera sugar imelazimisha sare ya kufungana bao 1 kwa 1 na timu ya soka ya Ruvu shooting katika mzunguko wa Ligi kuu Vodacom Tanzania bara ikiwa ni mzunguko wa kwanza tangu ligi imeanza mwezi uliopita mchezo ambao umepigwa katika uwanja wa nyumbani wa Kaitaba Bukoba Mjini.

Ligi kuu Vodacom Tanzania bara timu ya kagera sugar kwa mara ya kwanza katika mzunguko huo ulioanza August 26 kagera sugar ilifungwa na Mbao Fc ya Jijini Mwanza bao 1...

 

3 years ago

Habarileo

Kocha aizungumzia sare ya Azam kwa JKT Ruvu

KOCHA Msaidizi wa Azam FC, Dennis Kitambi amesema sababu ya timu yao kufanya vibaya katika mechi za karibuni ni wachezaji wao kukosa ari ya kupambana hasa wanapocheza kwenye uwanja wao wa nyumbani.

 

5 years ago

Michuzi

STAND UNITED WATUA BUKOBA! WAFANYA MAZOEZI KAITABA TAYARI KWA KUUMANA NA KAGERA SUGAR KESHO JUMAMOSI

Wachezaji wa Stand United wakifanya mazoezi yao ya Mwisho kwenye Uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini tayari kwa kuumana na Wenyeji wao Kagera Sugar kesho Jumamosi tarehe 18, 2014
Na Faustine Ruta, BukobaJumla ya wachezaji 26 wa Timu ya Stand United ya Shinyanga wametua mjini Bukoba leo  kwa ajili ya kipute cha Ligi kuu ya  Vodacom msimu wa 2014-15 na  wenyeji wao Kagera Sugar wamefanya mazoezi yao kwa mara ya kwanza Kagera kwenye Uwanja wa Kaitaba.Wachezaji hao, wakiongozwa na Kocha Mkuu Emmanuel...

 

3 years ago

Michuzi

KAGERA SUGAR WAFURAHIA KURUDI NYUMBANI, WAJIFUA KWA MARA YA KWANZA KWENYE UWANJA WA KAITABA MJINI BUKOGA

Viongozi wa Timu ya Kagera Sugar, Wanamkurukumbi wakiteta jambo leo kwenye Uwanja wa Kaitaba kwa mara ya kwanza Tangu Uwanja huo ukamilike hivi karibuni. Na sasa ukiwa tayari kwa Michezo mbalimbali ikiwemo Mitanange ya Ligi Kuu Vodacom. Kagera Sugar wanajifua kujiandaa kwa Mchezo wao wa tarehe 3 Septemba, 2016 dhidi ya Mwadui kutoka Shinyanga ambapo nmchezo huo utapigwa katika Uwanja huo ambao umejengwa tayari kwa Viwango vya Fifa. ‘Wanankurukumbi’ walipambana hadi siku ya mwisho kukwepa...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Yanga yaichapa Kagera Sugar kaitaba

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea jana jumamosi ya October 22 2016 kwa Mabingwa watetezi wa ligi hiyo klabu ya Yanga kutoa kipigo kikali kwa wenyeji wake Kagera Sugar.

Yanga imetoa kipigo hicho katika uwanja wa Kaitaba Bukoba na kuandika historia ya kumfunga Kagera Sugar kwa goli 6 – 2, idadi ambayo imefanya ndio kuwa mchezo wa kwanza wa ligi kuu kufungana kwa idadi kubwa ya magoli kwa msimu wa 2016/2017.

Matokeo ya mengine mechi za ligi haya hapa:

matokeo ya mechi ligi kuu Tanzania bara

 

vpl-league

 

 

The post Yanga yaichapa Kagera...

 

5 years ago

GPL

YANGA SC YAPIGWA NA KAGERA SUGAR KAITABA LEO

BAO pekee la kiungo Paul Ngway, dakika ya 52 jioni ya leo limeipa Kagera Sugar ushindi wa 1-0 dhidi ya Yanga SC, Uwanja wa Kaitaba, Bukoba katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
Yanga SC ilimaliza mchezo huo pungufu, baada ya Nahodha wake, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 80 na refa Abdallah Kambuzi wa Shinyanga, baada ya kumpiga kichwa Rashid Mandawa wa Kagera. Baada ya mchezo...

 

3 years ago

MillardAyo

Baada ya kuichapa Mtibwa Sugar, Simba yaendeleza kipigo kwa JKT Ruvu … (+Pichaz)

Ligi Kuu soka Tanzania bara iliendelea kwa michezo mitano kupigwa katika viwanja tofauti, kwa upande wa Dar Es Salaam klabu ya JKT Ruvu ilikuwa mwenyeji wa Simba katika mchezo wa 15 wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2015/2016. Simba ilikuwa mgeni huku huu ukiwa mchezo wao wa pili kucheza bila kuwa na kocha wao […]

The post Baada ya kuichapa Mtibwa Sugar, Simba yaendeleza kipigo kwa JKT Ruvu … (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

Kwa sare ya Azam FC vs JKT Ruvu, Yanga sasa inahitaji point tatu kuwa Bingwa

bg

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea leo May 4 2016 kwa klabu ya Azam FC kucheza mchezo wake wa 27 wa Ligi Kuu dhidi ya klabu ya JKT Ruvu na kubakisha michezo mitatu ya Ligi ili kuweza kumaliza msimu wa 2015/2016. Azam FC wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani wa Azam Complex Mbande Chamazi, wamelazimishwa sare […]

The post Kwa sare ya Azam FC vs JKT Ruvu, Yanga sasa inahitaji point tatu kuwa Bingwa appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani