KAGERA SUGAR YAENDELEZA UBABE KWA SIMBA, YANGA SC NAO WAGONGWA 1 - 0 MUSOMA

TIMU ya Kager Sugar ya Bukoba imeendeleza ubabe wake wa kihistoria kwa Simba SC baada ya kuichapa 1-0 jioni ya leo Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam.
Nahodha Msaidizi na beki wa kushoto wa Simba SC, Mohamed Hussein 'Tshabalala ' alijifunga dakika ya 41 akiwa katika harakati za kuokoa mpira uliopigwa na Paul Ngalyoma kutoka upande wa kulia kuipatia timu yake ya zamani bao pekee la ushindi leo.
Simba SC ilijitahidi kujaribu kusawazisha bao hilo baada ya hapo, lakini Kagera Sugar inayofundishwa...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Mwananchi

Simba yaendeleza ubabe kwa Yanga

Mshambuliaji Emmanuel Okwi alitumia juhudi binafsi kumtungua kipa, Ally Mustapha katika dakika ya 51 na kuipa Simba ushindi mnono wa bao 1-0 dhidi ya wachezaji 10 wa Yanga jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

3 years ago

MillardAyo

PICHA: Yanga yaendeleza rekodi ya ubabe dhidi ya Mtibwa Sugar

dsc_0274

Mechi za Ligi Kuu soka Tanzania bara zimechezwa leo Jumatano ya October 12 2016 katika viwanja tofauti Tanzania, kwa upande wa mabingwa watetezi wa Ligi hiyo klabu ya Dar es Salaam Young Africans wameshuka dimbani kucheza mchezo wao wa 7 wa Ligi Kuu Tanzania bara dhidi ya Mtibwa Sugar uwanja wa Uhuru. Yanga ambao wamekuwa […]

The post PICHA: Yanga yaendeleza rekodi ya ubabe dhidi ya Mtibwa Sugar appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Yanga yaendeleza ubabe kwa Simba kwa kuifunga mara ya 31 (+Pichaz)

DSC_0604

February 20 2016 Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena kwa mechi kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali Tanzania bara, uwanja wa Taifa Dar Es Salaam ndio ulichezwa mchezo uliokuwa umeteka hisia za mashabiki wengi wa soka, kwani ilichezwa mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga. Simba ambao walikuwa wanajitahidi kusaka point tatu na kulipiza […]

The post Yanga yaendeleza ubabe kwa Simba kwa kuifunga mara ya 31 (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

Dewji Blog

Yanga yaendeleza ubabe kwa Simba, yaichapa goli mbili kwa bila

Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) imeendelea leo jumamosi kwa michezo mitano huku mchezo ulivuta hisia za mashabiki wengi wa soka ukiwa ni pambano la watani wa jadi Yanga na Simba.

Katika mchezo huo ambao Yanga ilikuwa wenyeji umemalizika kwa Yanga kuendeleza ubabe kwa  watani zao Simba baada ya kuwafunga goli mbili kwa bila na huku ikikumbukwa kuwa mchezo wa mzunguko wa kwanza Yanga iliibuka na ushindi sawa na ushindi wa leo.

Mchezo ulianza kwa timu zote kushambuliana kwa zamu huku Simba ikionekana...

 

3 years ago

Michuzi

YANGA YAENDELEZA UBABE KWA CERCALE DE JOACHIM YA MAURITIUS, YAITUNGUA 2-0 TAIFA LEO

Wachezaji wa timu ya Yanga, wakishangilia sambamba na mashabiki wao, baada ya kufunga goli la pili dhidi ya timu ya Cercale De Joachim ya nchini Mauritius, katika mchezo wao wa marudiano wa Mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika, Uliochezwa jioni ya leo kwenye uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam. Yanga imeshinda 2-0. Picha zote na Othman Michuzi.Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe akiondoka na mpira na kumuacha Beki wa Timu ya Cercale De Joachim ya nchini Mauritius, katika mchezo wao wa...

 

2 years ago

Bongo5

Manara awajibu Yanga baada ya kupinga malalamiko ya Simba kwa mchezaji wa Kagera Sugar

Baada ya kamati tendaji ya Yanga kupitia kwa mjumbe wake Salum Mkemi kutanganza kupinga malalamiko ya Simba dhidi ya Kagera Sugar kwa kumtumia mchezaji wao Mohamed Fakih kwenye mechi kati ya Kagera Sugar dhidi ya Simba, afisa habari wa Simba Haji Manara ametoa taarifa rasmi akiwataka Yanga kutulia.

Kuna taarifa iliyotolewa na klabu ya Yanga inayoonyesha kuishinikiza Bodi ya ligi kutokutenda haki juu ya rufani yetu dhidi ya klabu ya Kagera Sugar kwa kumchezesha mchezaji Mohammed Fakih...

 

3 years ago

MillardAyo

Baada ya kuichapa Mtibwa Sugar, Simba yaendeleza kipigo kwa JKT Ruvu … (+Pichaz)

Ligi Kuu soka Tanzania bara iliendelea kwa michezo mitano kupigwa katika viwanja tofauti, kwa upande wa Dar Es Salaam klabu ya JKT Ruvu ilikuwa mwenyeji wa Simba katika mchezo wa 15 wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2015/2016. Simba ilikuwa mgeni huku huu ukiwa mchezo wao wa pili kucheza bila kuwa na kocha wao […]

The post Baada ya kuichapa Mtibwa Sugar, Simba yaendeleza kipigo kwa JKT Ruvu … (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

Zanzibar 24

Simba yairamba Kagera Sugar; Ubaoni Simba 2- 0 Kagera Sugar

Simba imezidi kujichimbia kileleni baada ya kuichapa Kagera Sugar kwa mabao 2-0 katika mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba  yaliyofungwa na Muzamiru Yasini na Shiza Kichuya. Ni ushindi ambao unawafanya vijana wa Joseph Marius Omog, kocha Mcameroon wafikishe pointi 23 baada ya kucheza mechi tisa za Ligi Kuu, wakiendelea kuongoza kwenye msimamo. MECHI NYINGINE LEO: JKT Ruvu 1-1 Mwadui Stand United 1-1 African Lyon

The post Simba yairamba...

 

4 weeks ago

Malunde

SIMBA YAENDELEZA UBABE...YAICHAPA KMC CCM KIRUMBA,YAISHUSHA AZAM FC

SIMBA SC imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuwachapa 2-1 KMC, zote za Dar es Salaam katika mchezo uliofanyika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Ushindi huo unaifanya Simba SC ifikishe pointi 66 baada ya kucheza mechi 26 na kupanda hadi nafasi ya pili ikiizidi kwa wastani wa mabao tu, Azam FC inayoangukia nafasi ya tatu, huku Yanga SC ikiendelea kuongoza kwa pointi zake 74 za mechi 32.
Dalili mbaya kwa KMC zilianza kuonekana mapema tu, baada ya baada ya...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani