Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje akutana na Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Italia

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha (mwenye tai) akisalimiana na Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Luigi Scotto alipotembelea Wizarani leo.Balozi Gamaha akisalimiana na Kansela Raffaele De Benedictis kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Italia ambaye alifuatana na Balozi Scotto walipotembelea Wizara ya Mambo ya Nje leo. Balozi wa Italia (katikati) akimtambulisha Kansela Benedictis kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Italia kwa Kaimu...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

KAIMU KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MBUNGE KUTOKA UTURUKI

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushiriano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhan M. Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Mhe. Zehra Taskesenlioglu, Mbunge na Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge wa Bunge la Uturuki wanaounda Kundi la Wabunge Marafiki na Wabunge wa Bunge la Tanzania alipofika Wizarani tarehe 23 Februari, 2018. Katika mazungumzo yao walizungumzia umuhimu wa kukuza na kuimarisha mahusiano kati ya Tanzania na Uturuki katika nyanja mbalimbali ikiwemo elimu.  Balozi wa Uturuki...

 

3 years ago

Michuzi

Dkt. Mlima akutana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya India

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Aziz Mlima akiwa katika na mazungumzo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa India, Mhe. Amar Sinha, Mazungumzo hayo yalijikita katika kuboresha na kukuza mahusiano kati ya Tanzania na India hasa kwenye nyanja ya Viwanda ambayo itazalisha ajira kwa vijana na kukuza biashara baina ya nchi hizo mbili. Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia, Balozi Mbelwa Kairuki (wa kwanza kushoto), na maafisa wa Wizara ya...

 

3 years ago

Michuzi

Waziri Mahiga akutana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya India


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) kulia akimkaribisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa India, Bw. Amar Sinha alipokuja kumtembelea Ofisini kwake na Kufanya naye Mazungumzo kuhusu umuhimu wa kuimarisha uhusiano wa kihistoria uliopo kati ya Tanzania na India. Mhe. Waziri akiwa katika mazungumzo na mgeni wake ambapo walijadili namna Tanzania na India zitakavyoweza kushirikiana katika sekta mbalimbali kama vile uwekezaji, elimu, afya,...

 

1 year ago

Michuzi

KAIMU KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU WA MASUALA YA AFRIKA KUTOKA CANADA


Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhan M. Mwinyi akizungumza na Mkurugenzi Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kusini na Mashariki mwa Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Canada, Bw. Marc-André Fredelte. Katika mazungumzo yao walijadili masuala ya ushirikiano katika masuala ya diplomasia, biashara na maendeleo. Bw. Fredelte yupo nchini kwa ziara ya kikazi. Habari zaidi BOFYA HAPA

 

4 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MARA YA KWANZA NA WATUMISHI WOTE WA WIZARA


Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Libarata Mulamula akizungumza katika kikao chake cha kwanza na Watumishi wote wa Wizara tangu alipoteuliwa na Rais hivi karibuni kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Mkutano huo ulifanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Juni, 2015. Pamoja na mambo mengine Balozi Mulamula aliwahimiza Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje...

 

4 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Wizara ya mambo ya nje akutana kwa mazungumzo na wageni mbalimbali waliotembelea Wizarani

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi Maalum wa Serikali ya China katika masuala ya Afrika, Balozi Zhong Jianhua alipotembelea Wizarani tarehe 17 Novemba, 2015.Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Samuel Shelukindo kwa pamoja na Afisa Mambo ya Nje, Bw. Medard Ngaiza wakifuatilia mazungumzo kati ya Balozi Mulamula na Balozi Zhong Jianhua...

 

4 years ago

Vijimambo

BALOZI WA CHINA AMTEMBELEA KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akimkaribisha Balozi wa China hapa nchini, Mhe.Lu Youquig alipomtembelea Wizarani kwa mazungumzo ya kudumisha ushirikiano wa nchi hizi mbili.Mkalimani wa Balozi wa China Bi.Wang Fang akisalimiana na Katibu Mkuu
Balozi wa China hapa nchini, Mhe.Lu Youqing akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula.Katibu Mkuu, Balozi Mulamula...

 

4 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA TAIFA LA SWEDEN

Mgeni rasmi kwenye sherehe ya Siku ya Taifa la Sweden, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika kwenye makazi ya Balozi wa Sweden hapa nchini. Mhe. Lennarth Hjelmaker (hayupo pichani).Balozi wa Sweden hapa nchini, Mhe.Balozi Lennarth Hjelmaker akifungua hafla hiyo iliyofanyika usiku wa tarehe 09/06/2015 katika Makazi ya Balozi huyo Masaki Jijini Dar es Salaam. Balozi Lennarth akimkaribisha Balozi...

 

5 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje atembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Zambia

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Bw. John Haule (kulia anayeangalia nyaraka) akipata taarifa kutoka kwa Bw. Gration Kamugisha, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kitengo cha Miradi Hazina (U.T.T) kuhusu mikakati ya kuboresha nyumba zinazomilikiwa na Ubalozi, Lusaka- Zambia kwa kuingia ubiya na UTT, kulia kwa Bw. Haule ni Katibu Mkuu wa Hazina, Bw. Servacius Likwelile wa kwanza kushoto akisikiliza. Kikao hiki kilifanyika Ofisini kwa Balozi wa Tanzania nchini Zambia,...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani