KAIMU MURUGENZI MKUU NIDA AFANYA ZIARA SHINYANGA KUKAGUA MAENDELEO YA ZOEZI LA USAJILI NA UTAMBUZI WA WATU

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), Ndg. Andrew W. Msssawe amekutana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Shinyanga na kusisitiza umuhimu wa kukamilisha Usajili wananchi mkoani humo mwezi Mei mwaka huu ili NIDA kupata muda wa kutosha kufanya uhakiki na mapingamizi kwa wale wote waliosajiliwa; na kuwezesha Mamlaka kuzalisha vitambulisho kwa wakati.
Kauli hiyo ameitoa wakati wa ziara yake mkoani Shinyanga kukagua maendeleo ya zoezi la Usajii na Utambuzi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

KAIMU MKURUGENZI MKUU NIDA AFANYA ZIARA KUKAGUA SHUGHULI ZA USAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA MKOANI IRINGA


Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Ndugu Andrew W. Massawe yuko mkoani Iringa kukagua maendeleo ya zoezi la Usajili na Utambuzi wa watu; ambapo pamoja na mambo mengine anatazamiwa kushuhudia sherehe za uzinduzi wa utoaji Vitambulisho vya Taifa kwa wananchi wa Wilaya ya Mufindi na kuzinduliwa kwa kampeni ya Usajili wa wananchi na wageni wenye umri wa miaka 18 na kuendelea wanaoishi mkoani humo.Katika ziara yake; leo amekutana na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mhe....

 

4 years ago

Michuzi

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) yazindua rasmi zoezi la Usajili na Utambuzi wa Watu mkoani Mtwara

Ndugu Joseph Makani, Mkurugenzi Mifumo ya Komputa akisoma hotuba kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA, wakati wa uzinduzi wa kuanza kwa zoezi la Usajili na Utambuzi wa Watu mkoani Mtwara.Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imezindua rasmi zoezi la Usajili na Utambuzi wa Watu kwa wananchi na wakazi wa mkoa wa Mtwara, zoezi ambalo litadumu kwa siku 14 kuanzia Jumatatu tarehe 18/08/2014. Akizungumza katika sherehe fupi ya uzinduzi wa zoezi hilo kwa niaba...

 

11 months ago

Malunde

Picha : DC SHINYANGA AFANYA ZIARA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO SHINYANGA VIJIJINI

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro amefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo ikiwemo ya maji katika kijiji cha Nyida na Mendo pamoja na mradi wa umwagiliaji maji (Skimu), kwenye mashamba ya mpunga katika kata ya Nyida katik halmashauri ya wilaya ya Shinyanga (Vijijini). 
Matiro amefanya ziara hiyo Februari 8,2018 na alianza ziara yake katika kijiji cha Nyida kwa kukagua mradi wa umwagiliaji maji (Skimu), kwenye mashamba ya mpunga yenye ukubwa hekta 421 sawa na hekali 1052.5...

 

2 years ago

Michuzi

DC SHINYANGA AFANYA ZIARA KATA YA DIDIA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO


Mbali na kutembelea miradi hiyo ambayo mradi wa maji wa visima virefu,zahanati ya Didia na Kituo cha Polisi Didia pia amezungumza na wananchi wa kijiji cha Chembeli kilichopo katika kata ya Didia. 
Matiro alikuwa ameambatana na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Shinyanga lakini pia watalaam mbalimbali kutoka halmashauri ya wilaya ya Shinyanga wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo,Bakari Kasinyo. 
Tazama picha za matukio yaliyojiri wakati wa ziara ya Mkuu wa...

 

2 years ago

Michuzi

RC SHINYANGA AFANYA ZIARA WILAYANI KISHAPU KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

Na Robert Hokororo

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack amefanya ziara wilayani Kishapu kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo.
Katika ziara hiyo Telack alikagua mradi wa huduma ya maji kutoka Ziwa Victoria uliopo kata ya Maganzo na maendeleo ya ujenzi wa zahanati kata ya Shagihilu.
Mradi mwingine ni wa mjasiriamali wa kusindika alizeti na kukoboa nafaka za mpunga na mahindi ambao unatarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni.Kwenye kata ya Kishapu eneo la Mhunze alitembelea mradi mwingine wa ghala...

 

1 year ago

Michuzi

KAIMU MKURUGENZI MKUU NIDA AWASILI MARA TAYARI KWA UZINDUZI WA ZOEZI LA USAJILI; AKIWA AMEAMBATANA NA KAMISHNA GENERALI WA IDARA YA UHAMIAJI NCHINI

Kaimu Mkurugenzi Mkuu (NIDA), Ndg Andrew W. Massawe amewasili mkoani Mara akiwa ameambatana na Kamishna Generali wa Idara ya Uhamiaji nchini Dkt. Anna Peter Makakala tayari kwa uzinduzi rasmi wa kuanza kwa zoezi la Usajili Vitambulisho vya Taifa kwa wananchi wa Mkoa huo utakaofanywa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mhandisi Hamad Masauni.Mara baada ya kuwasili viongozi hao walipokelewa na Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Adam Malima ambaye aliwatambulisha kwa wananchi wa Bunda kabla ya...

 

9 months ago

Malunde

Picha : DC MATIRO AFANYA ZIARA KATA YA SOLWA SHINYANGA VIJIJINI KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO


Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro amefanya ziara katika kata ya Solwa halmashauri ya wilaya ya Shinyanga kukagua miradi ya maendeleo na kusikiliza kero za wananchi.


Matiro alitembelea vijiji vyote vya kata ya Solwa kukagua miradi ya maendeleo na kufanya kazi na wananchi ikiwa ni pamoja na kuwaunga mkono wananchi wa Solwa kwani ni kata inayoongoza kwa wananchi kuchangia katika shughuli za maendeleo.

Akizungumza wakati wa ziara yake hiyo aliyoifanya hivi karibuni,Matiro aliwapongeza...

 

4 years ago

Michuzi

WANANCHI WENGI WAJITOKEZA ZOEZI LA USAJILI NA UTAMBUZI WA WATU MKOANI MTWARA

Zoezi la Usajili Vitambulisho vya Taifa limeendelea mkoani Mtwara, ambapo wananchi wamejitokeza kwa wingi kujisajili, kama wakazi hawa wa Wilaya za Tandahimba na Newala walivyokutwa wakishiriki kikamilifu kujisajili.
Moja ya changamoto kubwa iliyojitokeza ni wakazi wengi hususani maeneo ya vijijini kukosa mashine za photocopy, huku baadhi wakikosa nyaraka muhimu za kuwatambulisha. Changamoto nyingine ni waombaji wengi kutokuwa na taarifa sahihi za umri wao binafsi na wazazi huku...

 

2 years ago

Michuzi

WANANCHI WENGI WAJITOKEZA ZOEZI LA USAJILI NA UTAMBUZI WA WATU MKOANI MTWARA

Zoezi la Usajili Vitambulisho vya Taifa limeendelea mkoani Mtwara, ambapo wananchi wamejitokeza kwa wingi kujisajili, kama wakazi hawa wa Wilaya za Tandahimba na Newala walivyokutwa wakishiriki kikamilifu kujisajili.

Moja ya changamoto kubwa iliyojitokeza ni wakazi wengi hususani maeneo ya vijijini kukosa mashine za photocopy, huku baadhi wakikosa nyaraka muhimu za kuwatambulisha. Changamoto nyingine ni waombaji wengi kutokuwa na taarifa sahihi za umri wao binafsi na wazazi huku baadhi...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani