KAJALA AKWAMA PESA YA KUMTOA MUMEWE JELA

Licha ya mkwanja kumtembelea, msanii wa filamu Bongo, Kajala Masanja amekwama kupata pesa ya kumlipia faini mumewe Faraji Chambo ili aweze kutoka jela.Akizungumzia ombi la mumewe huyo kumtaka kutofuja pesa badala yake amlipie faini ili aondokane na mateso ya gerezani, Kajala alisema ni kweli anampenda sana mumewe na angetamani kufanya hivyo lakini kiasi cha shilingi milioni 200 kinachotakiwa si kidogo hivyo hawezi kukipata.
“Nampenda sana mume wangu, hilo halina ubishi na pia najua anateseka...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

GPL

KAJALA AKWAMA PESA YA KUMTOA JELA MUMEWE

Stori: Imelda Mtema Licha ya mkwanja kumtembelea, msanii wa filamu Bongo, Kajala Masanja amekwama kupata pesa ya kumlipia faini mumewe Faraji Chambo ili aweze kutoka jela. Msanii wa filamu Bongo, Kajala Masanja akiwa na mumewe mahakamani. Akizungumzia ombi la mumewe huyo kumtaka kutofuja pesa badala yake amlipie faini ili aondokane na mateso ya gerezani, Kajala alisema ni kweli… ...

 

3 years ago

GPL

KAJALA AMLIZA MUMEWE JELA

Mussa Maeja Baada ya kuenea kwa madai kuwa staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ amepangishiwa bonge la mjengo na kigogo mmoja (jina kapuni), mumewe Faraji Agustino anadaiwa kulizwa na vitendo vya mkewe huyo vinavyomuumiza akiwa jela. ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1MWyDk1

 

3 years ago

Global Publishers

Kajala amwangukia jpm kuhusu mumewe

kajalaKajala Masanja ‘Kay’

Dar es Salaam: Mtoto mzuri anayebamba kwenye Bongo Movies, Kajala Masanja ‘Kay’ amemuangukia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli ‘JPM’ kuwa kama ikitokea akatoa msamaha wa wafungwa, amkumbuke  mumewe, Faraji Agustino ambaye yupo gerezani Segerea jijini Dar akitumikia kifungo cha miaka saba.

Akizungumza na Amani hivi karibuni, Kajala alisema kuwa amekuwa akimuwaza mumewe huyo na suluhisho kuu kwa sasa litakalomfanya Faraji atoke gerezani ni...

 

3 years ago

Global Publishers

Kajala aenda kumlilia mumewe gerezani!

Kajala-Masanja-5331Na Imelda Mtema, AMANI

DAR ES SALAAM: Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ hivi karibuni amekwenda kumlilia mumewe, Faraji Chambo anayetumikia kifungo cha miaka kumi na mbili gerezani.

Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni mtu wa karibu wa Kajala, mwanamama huyo alitinga kwenye Gereza la Ukonga, Dar alikofungwa mumewe ambapo alipata nafasi ya kumjulia hali kisha kumwaga machozi akimuonea huruma anavyosota gerezani hasa akikumbuka walivyokuwa wakiishi kabla ya msala huo.

kajala na mumewe Kajala...

 

5 years ago

Michuzi

MKE AZIRAI BAADA YA KUHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA MITANO YEYE NA MUMEWE

Asia Hamisi akiwa amezirai mahakamani
baada ya kuhukumiwa miaka mitano jela
Watu wawili wa familia moja Frank Charles na mkewe Asia Khamis wamehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela au kulipa faini ya shilingi milioni moja kila mmoja kwa kosa la kukutwa na madawa ya kulevya aina ya bangi. Hakimu wa mahakama ya wilaya ya Mbeya Maria Batulaine amewatia hatiani wanandoa hao baada ya  kuridhishwa na ushahidi usio shaka wa mashahidi wanne wa upande wa mashitaka. Imedaiwa na Mwendesha mashitaka...

 

2 years ago

BBCSwahili

Lionel Messi kulipa maelfu ya pesa kukwepa jela

Messi anatarajiwa kulipa jumla ya euro 255,000 badala ya kwenda jela.

 

4 years ago

Vijimambo

NDOA NDOANO:MKE AMWAGIA MUMEWE MAJI YA MOTO BAADA YA KUULIZWA NA MUMEWE KWANINI AMECHELEWA KURUDI NYUMBANI!!

Mwanamke mmoja katika wilaya ya Bunda, mkoani Mara, amemfanyia ukatili mume wake kwa kumwagia maji ya moto yaliyokuwa yametengwa kwa ajili ya kupikia ugali.Kwa mujibu wa jeshi la polisi wilayani hapa, tukio hilo lilitokea juzi, saa 4:30 usiku, katika mtaa wa Nyamakokoto, mjini Bunda, baada ya kuzuka ugomvi ulitokana na mwanamke huyo (jina linahifadhiwa) kuchelewa kurudi nyumbani.Mwanaume huyo amejeruhiwa vibaya mume wake sehemu mbalimbali za mwili wake, hali iliyopelekea kulazwa katika...

 

2 years ago

Bongo Movies

Kajala Kajala Aanika Mwanaume wa Kumuoa

MUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja, amefunguka kuwa, endapo ataolewa tena, basi kigezo cha kwanza cha huyo mtarajiwa wake kitakuwa ni kudekezwa.

Kajala ambaye aliolewa kisha ndoa yake kupata matatizo na mumewe kufungwa gerezani na hivi karibuni kuachiwa, alisema endapo itatokea ameolewa kwa mara nyingine basi kigezo cha huyo mwanaume ni lazima awe anayejua kudekeza.

“Nampenda mwanaume mwenye mapenzi ya kweli lakini zaidi ya yote mimi napenda kudekezwa hivyo mwanaume atakayenioa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani