KAKA WA TUNDU LISSU AFUNGUKA ALICHOKIONGEA TUNDU LISSU BAADA YA KUTOKA ICU

Kaka wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, Alute Mughwai ameeleza jinsi alivyomtoa mdogo wake chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) na kile ambacho alikisema mara tu baada ya kutoka ndani kwa mara ya kwanza.
Akizungumza na Mwananchi leo Jumatano, Alute amesema Lissu mara baada ya kutoka si yeye pekee alifurahi hata ndugu zake waliokuwapo walifurahia tukio hilo.
“Manesi walipanga kumtoa nje Jumamosi (Oktoba 14) na kwa kuwa Lissu alijua tunakwenda, aliwaeleza wasimtoe wasubiri ndugu zake...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

Alichosema Tundu Lissu kwa mara ya kwanza baada ya kutoka ICU

Kaka wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, Alute Mughwai ameeleza jinsi alivyomtoa mdogo wake chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) na kile ambacho alikisema mara tu baada ya kutoka ndani kwa mara ya kwanza.

Akizungumza na Mwananchi leo Jumatano, Alute amesema Lissu mara baada ya kutoka si yeye pekee alifurahi hata ndugu zake waliokuwapo walifurahia tukio hilo.

“Manesi walipanga kumtoa nje Jumamosi (Oktoba 14) na kwa kuwa Lissu alijua tunakwenda, aliwaeleza wasimtoe wasubiri ndugu zake...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Tundu Lissu afunguka baada ya Lowassa kuonana na Rais Magufuli

Baada ya Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa kumtembelea Rais Magufuli Ikulu jana January 9, 2018 Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu  ambaye yupo nchini Ubelgiji kwa ajili ya matibabu ametoa mtazamo wake kuhusu suala hilo.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Lissu amepost picha inayomuonesha Lowassa akiwa Ikulu na kuandika maelezo haya; “Na hatukatai kuzungumza na Magufuli kuhusu matatizo mengi na makubwa yanayoikabili nchi yetu.”

“Lakini ni muhimu na lazima viongozi wakuu wa chama...

 

2 years ago

Malunde

MKE WA TUNDU LISSU AFUNGUKA KWA MARA KWANZA....DEREVA WA LISSU ASEMA HANA KUMBUKUMBU TUKIO LA KUPIGWA RISASI

Nairobi. Kwa mara ya kwanza, Alicia Magabe ambaye ni mke wa Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amezungumzia tukio la mumewe kushambuliwa kwa risasi na kudokeza kwamba haliwezi kuwa limetokana na sababu nyingine isipokuwa kazi ambazo amekuwa akizifanya.
Pia amezungumzia kuhusu afya yake na kueleza kuwa bado siyo nzuri na kuwaomba Watanzania waendelee kumuombea.
Mbali ya Alicia ambaye pia ni mwanasheria, dereva wa Lissu naye amezungumza akisema ameathiriwa kwa kiasi kikubwa na...

 

2 years ago

Channelten

Alichokiongea Tundu Lissu Dodoma kuhusu Siku ya wafanyakazi duniani

TUNDU LISU

Mmoja wa mawakili wa kujitegemea nchini Bw. Tundu Lissu amewahimiza wafanyakazi nchini kupitia vyama vyao vya wafanyakazi kuhakikisha wanashikamana kudai haki zao za msingi, ili tija wanayotoa iendane na mapato.

Bw. Lissu ameitoa rai hiyo mjini Dodoma, wakati alipokutana na wanachama wa shirikisho la vyama huru vya wafanyakazi (TAFETU), ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani.

Bw. Lissu ambaye pia ni rais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida...

 

2 years ago

Malunde

GODBLESS LEMA : TUNDU LISSU BADO YUPO ICU

Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ambaye sasa yupo Kenya amefunguka na kueleza kuwa hali ya Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu sasa ina afadhali ukilinganisha na hali aliyokuwa nayo siku mbili zilizopita ila amedai mpaka sasa bado yupo ICU.

Lema amesema hayo alipokuwa akifanyiwa mahojiano na BBC Swahili na kudai kuwa hali ya kiongozi huyo inazidi kuimarika ukilinganisha na siku za awali ambazo alikuwa amefanyiwa shambulio hilo.

"Mgonjwa anapokuwa yupo hospitali tena kwenye chumba cha...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Kauli ya Tundu Lissu baada ya kutoka mahakamani leo

UCHWAA

August 02 2016 Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu Dar es salaam imetangaza tarehe 28 August 2016 kuwa ndio siku itakayoanza kusikiliza kesi inayomkabili mbunge wa Singida mashariki Tundu Lissu baada ya kupata maelezo ya tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi dhidi ya Rais John Pombe Magufuli. Akisomewa maelezo ya awali na Hakimu wa mahakama hiyo Yohana Yongolo Inadaiwa June 28 2016 Tundu Lissu alitoa maneno ya uchochezi […]

The post VIDEO: Kauli ya Tundu Lissu baada ya kutoka mahakamani leo...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Neno la mwanzo kutoka kwa Tundu Lissu baada ya kuzinduka

Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa (CHADEMA) Tundu Lissu ambaye anapatiwa matibabu nchini Kenya kufuatia kujeruhiwa kwa risasi na watu wasiojulikana siku ya Septemba 7, 2017 amezinduka na kutoa neno kwa Mwenyekiti wake wa CHADEMA.

Katika ujumbe ambao umewekwa na Mbunge waArushaa Mjini Godbles Lema unasema kuwa kiongozi huyo alipopata fahamu aliweza kutoa maneno machache akimtaka Mwenyekiti kuendeleza mapambano.

Tundu Lissu kwa sasa amelazwa nchini Kenya akipatiwa matibabu...

 

1 year ago

Malunde

JOB NDUGAI AFUNGUKA SABABU ZA KUTOMUONA TUNDU LISSU HOSPITALI....SASA ATAENDA BAADA YA KRISMAS,MWAKA MPYA
Spika wa Bunge, Job Ndugai ametoa sababu zilizomfanya ashindwe kwenda kumjulia hali mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwa katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya.

Spika huyo, ambaye amelaumiwa na Lissu kwa kushindwa kumjulia hali, amesema hali ya sintofahamu iliyojitokeza nchini humo baada ya uchaguzi mkuu ilikuwa kikwazo kwake.

Akizungumza jana na waandishi wa habari nyumbani kwake Kisasa mjini hapa, Ndugai alisema sintofahamu hiyo ilisababisha baadhi ya wanasiasa...

 

2 years ago

MwanaHALISI

Tundu Lissu afunguka Bombardier ilivyokamatwa

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amelitaka Bunge kumshitaki Rais Magufuli kwa kusababisha hasara kubwa wakati akiwa waziri, anaandika Hamisi Mguta. Lissu amesema kuwa Rais Magufuli amefanya mambo mengi bila kufuata sheria ambayo kwa sasa madhara yake ndio yanaanza kuonekana ikiwemo kukamatwa kwa ndege ya Tanzania aina ya Bombardier Q400 ...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani