KAKAKUONA : Rais Magufuli, wafanye wapinzani jicho lako la pili

Kama ningeteuliwa kuwa mshauri wa Rais katika masuala ya siasa, ushauri wangu wa kwanza kwa Rais John Magufuli, ungekuwa kuruhusu mikutano ya ‘kitaifa’ ya vyama vya siasa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

4 months ago

Mwananchi

KAKAKUONA: Rais Magufuli atafakari upya hili la akaunti

Nimemsikiliza kwa makini Rais John Magufuli akitaja mzia sababu za kuivunja bodi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuwa ni pamoja na kufungua akaunti maalumu kwenye benki ya biashara.

 

1 year ago

StarTV

Rais Magufuli awataka wapinzani kuondoa tofauti zao

 

Rais wa awamu ya Tano Dokta John Pombe Magufuli amevitaka vyama vya upinzani nchini kuondoa tofauti zao na badala yake washirikiane pamoja katika kuwatumikia watanzania ili kufanikisha azma ya kuwaletea wananchi maendeleo.

Kauli hiyo ameitoa mara baada ya kuapishwa rasmi na kuwa rais wa Jamhri ya muungano wa Tanzania awamu ya tano Katika Sherehe zilizofanyika JIjini Dar es Salaam.

Kushushwa kwa  Bendela ya Rais inaonesha kufikia ukomo kwa uongozi wa Serikali ya awamu ya nne na sasa...

 

10 months ago

StarTV

UVCCM yawashauri wapinzani kutoubeza Utendaji wa Rais Magufuli

Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM umevishauri vyama vya upinzani hususani UKAWA kutobeza utendaji wa Rais wa awamu ya tano Dokta John Magufuli na badala yake wamuunge mkono kwa maendeleo ya nchi.

vlcsnap-2016-05-19-11h46m55s165

Hayo yamesemwa na Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasihaji Sera, Utafiti na Mawasiliano wa UVCCM Abubakar Asenga alipozungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya umoja huo jijini Dar es Salaam.

Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM wamesema siasa za kupinga maendeleo kwa sasa...

 

3 months ago

Mtanzania

RAIS MAGUFULI KAULI ZAKO KUWA DARAJA LA WAPINZANI ?

Rais John Magufuli

Rais John Magufuli

NA JAVIUS KAIJAGE,

DESEMBA 31 mwishoni mwa   mwaka jana, Rais John Magufuli akiwa katika mapumziko  yake mafupi, alitua  mkoani  Kagera ikiwa zimepita siku 112 tangu kutokea kwa tetemeko la ardhi.

Akihitimisha ziara yake ya siku mbili mkoani humo, Januari  2, mwaka huu  katika  viwanja vya shule ya Sekondari   ya Ihungo  mjini Bukoba, Rais  aliwahutubia mamia ya wananchi waliofurika kumsikiliza.

Katika hotuba yake iliyojaa  msisimuko, Mheshimiwa Rais aliwapa pole wakazi wa...

 

3 years ago

Mwananchi

Wawekezaji gesi watazamwe kwa jicho la pili

Wakati shughuli za uwekezaji zikiendelea kwa kasi ili kuleta mapinduzi ya kiuchumi, mpaka sasa inakadiriwa kuwapo na utajiri wa futi za ujazo trilioni 46 huku Serikali kupitia Shirika la Maendeleo la Petroli nchini (TPDC) likiendelea kusaini mikataba na kampuni mbalimbali katika shughuli za utafutaji wa nishati hiyo.

 

4 months ago

Zanzibar 24

Rais Magufuli akutana na Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais mstaafu wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais mstaafu wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

mwinyi4

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais mstaafu wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais mstaafu wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.

The post Rais Magufuli akutana na Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi appeared first on Zanzibar24.

 

9 months ago

MillardAyo

Mrema kawajibu wapinzani wanaosema Rais Magufuli hazingatii haki za binadamu, katiba

mrema

June 14 2016 Mwenyekiti wa chama cha TLP na mbunge wa zamani wa jimbo la vunjo Agustino Mrema amekutana na vyombo vya habari nakuzungumza mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuvitaka vyama vya upinzani kutomhukumu Rais Magufuli kwa sababu hana nia ya kuua upinzani kama wanavyodai. Mbele ya waandishi wa habari Mrema amesema wapinzani ndio waliokubuhu […]

The post Mrema kawajibu wapinzani wanaosema Rais Magufuli hazingatii haki za binadamu, katiba appeared first on MillardAyo.Com.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani