‘Kama Manula tungepigwa 10’

Nyota wa zamani wa Yanga na Tanzania, Kitwana Manara amesema kama si umakini wa kipa Aishi Manula, Taifa Stars ingeweza kufungwa hata mabao 10-0 kwenye mchezo wa juzi dhidi ya Nigeria.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwanaspoti

Kichuya aukubali usajili wa Simba wa nyota kama Bocco, Kapombe na Manula

Kiungo mshambuliaji wa Simba, Shiza Kichuya amesema anaamini timu yake itafanya vizuri kutokana na usajili inaofanya.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Magazeti ya Tanzania  Leo Jumapili December 10 2017

Kama kawaida Zanzibar24 tayari imeshakusogezea stori kubwa zilizotengeneza headline katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania  Leo Jumapili December 10 2017. Chukua time yako kwa kupitia Stori zote kali za udaku, siasa, michezo, burudani na mambo mengine mbali mbali.

 

 

 

 

The post Magazeti ya Tanzania  Leo Jumapili December 10 2017 appeared first on Zanzibar24.

 

3 years ago

MillardAyo

Good morning: Tayari nimekurekodia habari Hot za magazeti yakisomwa redioni Leo Feb 10…

MAMAMAA

Kila siku huwa natenga time yangu kwaajili ya kuhakikisha hazikukosi stori zote za magazeti zikisomwa redioni, na tayari nimekurekodia. Baadhi ya zilizosikika ni pamoja na Vyama 9 vya siasa kati ya 14 vimetangaza kutoshiriki uchaguzi wa marudio Zanzibar uliopangwa kufanyika Machi 20, Jeshi la Polisi Morogoro limemkamata Mfanyabiashara anayedaiwa kuhifadhi shehena za soda na juisi ‘chooni’, Sakata la […]

The post Good morning: Tayari nimekurekodia habari Hot za magazeti yakisomwa redioni Leo...

 

3 years ago

Habarileo

Manula ajitetea kuvurunda Azam

KIPA Aishi Manula wa Azam FC, amesema upepo mbaya uliopita kwenye timu yao umechangia kufanya vibaya kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu unaoelekea ukingoni.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Manula asaini rasmi Simba

       HABARI njema kwa mashabiki wa Simba ni kwamba kipa bora zaidi nchini kwa sasa, Aishi Manula, amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo akimfuata straika, John Bocco ambaye kitambo kamwaga wino.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Manula kuibukia Simba kesho

Kipa Aishi Manula anatarajia kujiunga na Simba kesho katika kambi Eden Vale, Johannesburg, Afrika Kusini  kujiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu Bara

 

4 years ago

TheCitizen

Injuries force Manula out of Stars squad

Azam Football Club first choice goalkeeper, Aishi Manula, has been ruled out of the Africa Cup of Nations (Afcon) qualifiers match against Nigeria’s Super Eagles on September 5 at the National Stadium in Dar es Salaam.

 

2 years ago

Habarileo

Simba- Manula katunyima pointi tatu

KOCHA msaidizi wa Simba, Jackson Mayanja amemtaja kipa wa Azam FC, Aishi Manula kuwa ndiyo kikwazo cha timu yake kushindwa kupata pointi tatu katika pambano la juzi lililozikutanisha timu hizo kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

 

3 years ago

Mwananchi

Manula afichua siri ya udakaji penalti zake

Kipa namba moja wa Azam, Aishi Manula amesema huwa habahatishi kupangua penalti nyingi na siri ya kuwa ubora wake wa kudaka penalti unatokana na mambo makubwa matatu.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani