Kama uliikosa mechi ya Azam FC Vs Yanga Full Time 2-2, nimeyanasa magoli hapa

we

Azam FC na Yanga March 5 2016 zilicheza mchezo wao wa mzunguuko wa pili wa Ligi Kuu na kutoka sare ya goli 2-2. Huu ni mchezo wa 16 kwa Yanga na Azam FC kukutana, timu hizo zimefungana mara tano kila mmoja na mara sita kutoka sare. Yanga na Azam FC hazijawahi kutoka sare ya kutofungana. […]

The post Kama uliikosa mechi ya Azam FC Vs Yanga Full Time 2-2, nimeyanasa magoli hapa appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

Uliikosa mechi ya Yanga Vs Kagera Sugar April 3 2016? magoli ninayo hapa, Full Time 3-1

3 (1)

April 3 2016 Yanga walikuwa uwanja wa Taifa Dar Es Salaam kucheza dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2015/2016, katika mchezo huo Yanga walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 3-1. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line […]

The post Uliikosa mechi ya Yanga Vs Kagera Sugar April 3 2016? magoli ninayo hapa, Full Time 3-1 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

FULL HD: Magoli ya mechi ya FA ya Yanga vs Azam FC May 25 2016, Full Time 3-1

2X6A9536

May 25 2016 uwanja wa Taifa Dar es Salaam, vilabu vya Yanga na Azam FC vilikutana kucheza mechi ya fainali ya Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC), katika mchezo huo Azam FC ilifungwa magoli 3-1, magoli ya Yanga yakifungwa na Amissi Tambwe dakika ya 9 na 47 huku Deus Kaseke akipachika goli la mwisho, […]

The post FULL HD: Magoli ya mechi ya FA ya Yanga vs Azam FC May 25 2016, Full Time 3-1 appeared first on MillardAyo.Com.

 

3 years ago

MillardAyo

Kutoka Kigali Nimeyanasa magoli ya Yanga Vs APR, Full Time 2-1

1

March 12 Yanga ilicheza mchezo wake wa kwanza wa raundi ya pili katika michuano ya klabu Bingwa Afrika dhidi ya APR ya Rwanda na Yanga kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2-1 katika uwanja wa Amahoro Kigali Rwanda. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma […]

The post Kutoka Kigali Nimeyanasa magoli ya Yanga Vs APR, Full Time 2-1 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli na penati za mechi ya Yanga vs Azam FC August 17, Full Time 2(1-4)2

IMG_0335

August 17 2016 uwanja wa Taifa Dar es Salaam ulichezwa mchezo wa Ngao ya Hisani kati ya Mabingwa wa Ligi Kuu msimu wa 2015/2016 klabu ya Dar es Salaam Young Africans na mshindi wa pili wa Ligi Kuu Azam FC hiyo ikiwa ishara ya kukaribia kuanza kwa msimu mpya wa Ligi, mchezo ulimalizika kwa Azam […]

The post VIDEO: Magoli na penati za mechi ya Yanga vs Azam FC August 17, Full Time 2(1-4)2 appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Haikuonyeshwa lakini nimeyanasa magoli ya Yanga vs GD Esperanca May 7 2016, Full Time 2-0

football-goal-scored

May 7 2016 klabu ya Dar es Salaam Young Africans ilicheza mchezo wake wa kwanza wa hatua ya 16 bora ya Kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya klabu ya GD Esperanca ya Angola uwanja wa Taifa Dar es Salaam, Yanga walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2-0, magoli yakifungwa na Simon Msuva dakika ya […]

The post VIDEO: Haikuonyeshwa lakini nimeyanasa magoli ya Yanga vs GD Esperanca May 7 2016, Full Time 2-0 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

Kama ilikupita mechi ya FC Midtjylland Vs Man United, ninayo video ya magoli yote hapa, Full Time 2-1

3159FE5900000578-0-image-a-105_1455832097057

Klabu ya Manchester United bado ipo katika kinyang’anyiro cha kuwania Kombe la EUEFA Europa, kombe ambalo ni la pili kwa ukubwa barani Ulaya baada ya Kombe la Klabu Bingwa barani Ulaya, Man United usiku wa February 18 walikuwa wageni wa FC Midtjylland, walikubali kipigo cha goli 2-1. Magoli ya FC Midtjylland yalifungwa na Pione Sisto dakika ya 44 […]

The post Kama ilikupita mechi ya FC Midtjylland Vs Man United, ninayo video ya magoli yote hapa, Full Time 2-1 appeared first on...

 

3 years ago

MillardAyo

Kama ulikosa mechi ya Chelsea dhidi ya Man City, magoli yote yapo hapa, Full Time 5-1 Feb 21

4928

February 20 Kombe la FA Uingereza liliendelea kwa michezo mitatu kupigwa katika viwanja vitatu Uingereza, klabu ya Blackburn Rovers walikuwa wenyeji wa West Ham United, Tottenham Hotspur walikuwa wenyeji wa Crystal Palace, mwisho ukachezwa mchezo kati ya Chelsea dhidi ya Man City. Mchezo wa Chelsea dhidi ya Man City ndio mchezo uliokuwa unasubiriwa kwa hamu na […]

The post Kama ulikosa mechi ya Chelsea dhidi ya Man City, magoli yote yapo hapa, Full Time 5-1 Feb 21 appeared first on...

 

3 years ago

MillardAyo

Video ya magoli ya mechi ya Azam FC Vs Esperance ya Tunisia April 10, Full Time 2-1

DSC_0229

Jumapili ya April 10 ilikuwa zamu ya Azam FC kuiwakilisha Tanzania dhidi ya klabu ya Esperance ya Tunisia katika mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika, Mchezo ambao umemalizika kwa Azam FC kuibuka na ushindi wa goli 2-1. Magoli ya Azam FC yalifungwa na Farid Musa  dakika ya 68 na Ramadhani Singano dakika ya 70, […]

The post Video ya magoli ya mechi ya Azam FC Vs Esperance ya Tunisia April 10, Full Time 2-1 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Yalivyonaswa magoli ya mechi ya Yanga vs Mwadui FC, Full Time 2-1

w2

Baada ya TFF kusogeza mbele michezo kadhaa ya Yanga ili kuwapa nafasi ya kujiandaa na michezo ya Klabu Bingwa Afrika, April 13 2016 ilikuwa ndio siku ya kucheza moja kati ya michezo yao ya viporo, Yanga walicheza dhidi ya Mwadui FC uwanja wa Taifa Dar es Salaam na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2-1. Unataka […]

The post VIDEO: Yalivyonaswa magoli ya mechi ya Yanga vs Mwadui FC, Full Time 2-1 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani