Kamati Kuu CCM kukutana kesho

Rais mstaafu Jakaya Kikwete

Rais mstaafu Jakaya Kikwete

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

KAMATI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CC) inatarakuwa kukutana kesho jijini Dar es Salaa chini ya Mwenyekiti wake Rais mstaafu Jakaya Kikwete.

Taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na Msemaji wa CCM, Christopher ole Sendeka, ilieleza kuwa kikao hicho pamoja pamoja na mambo mengine kitajadili masuala kadhaa ya chama hicho ikiwa kutangazwa kwa tarehe ya mkutano mkuu maalumu.

Katika mkutano huu inatarajiwa Kikwete, atakabidhi...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Vijimambo

KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM KUKUTANA DAR ES SALAAM FEBRUARI 28


Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM itakuwa na kikao cha kawaida cha siku moja mjini Dar es Salaam tarehe 28 Februari,2015.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

 

4 years ago

Michuzi

KAMATI KUU CHADEMA KUKUTANA DAR ES SALAAM KESHO NA KESHOKUTWA


Taarifa inatolewa kwa vyombo vya habari kuwa kuwa Kamati Kuu ya Chama, chini ya Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, itakutana Mei 3-4, katika kikao chake cha kawaida kwa mujibu wa Katiba ya Chama.

Katika kikao hicho cha siku mbili kitakachofanyika jijini Dar es Salaam, pamoja na masuala mengine ya kitaifa kuhusu hali ya kisiasa nchini kwa ujumla na mengine mahsusi yanayohusu uendeshaji wa chama, KK itapokea taarifa, kujadili na kufanya maamuzi kuhusu;

1.     Maandalizi ya Chama kuelekea Uchaguzi...

 

4 years ago

Habarileo

Kamati Kuu ya CCM kukutana leo

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya KikweteWAJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM wanakutana leo katika ukumbi wa makao makuu ya CCM Kisiwandui mjini hapa chini ya mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete.

 

5 years ago

Mwananchi

Kamati Kuu CCM kukutana leo

Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi inakutana leo kwa ajili ya kupitisha jina la mgombea wa chama hicho kwa nafasi ya uwakilishi wa Jimbo la Kiembe samaki.

 

4 years ago

Michuzi

KAMATI KUU YA CCM KUKUTANA MEI 23,DODOMA

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akifafanua jambo mbele ya waandishi wa Habari leo (hawapo pichani) ,jijini Dar es Salaam, kuhusiana na kubadilika kwa tarehe ya mkutano wao kufuatia kuingiliana na Mkutano wa Baraza la Wawakilishi.Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye Akizungumza na waandishi wa Habari leo ,jijini Dar es Salaam, kuhusiana na kubadilika kwa tarehe ya mkutano wao kufuatia kuingiliana na Mkutano wa Baraza la Wawakilishi.=========  ========  ======= Na...

 

4 years ago

Michuzi

RIPOTI KAMILI YA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM KUJULIKANA KESHO.

 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akizungumza jambo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Ndugu Adam Kimbisa,wakati akitoka nje mara baada ya kumaliza kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ya CCM Taifa usiku huu,kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja,Zanzibar,kikao hicho kilianza mnamo majira ya saa sita mchana na kumalizika usiku mnamo saa mbili na ushehe hivi huku mambo mbalimbali yakiwa...

 

2 years ago

CCM Blog

DK. SHEIN KUONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM, KESHO MJINI ZANZIBAR

Dk. SheinZANZIBAR
Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, inatarajiwa kufanya kikao chake kesho Septemba 18 mwaka huu, chini ya Makamu  Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, Rais wa Zanzibar  Dk. Ali Mohamed Shein.

Taarifa iliyotolewa na Katibu wa Kamati Maalum ya NEC Zanzibar wa Idara ya Itikadi na Uenezi Waride Bakari Jabu,  imesema kikao hicho cha siku moja kitafanyika katika Ukumbi wa Afisi kuu ya CCM, Kisiwandui kuanzia saa 4:00 asubuhi.

Pamoja na mambo mengine, kikao...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani